KengeWaKijani
Senior Member
- Jun 28, 2012
- 103
- 16
anaitwa nani?
Said Sambala A.k.a Comrade Sambala on FB
anaitwa nani?
Kuna waliopoteza wake, watoto, wapendwa wao hakika mtekaji wa Ulimboka ni shujaa.
unaonekana kijana kumbe UMEZEEKA AKILI NENDA KASOME CCM HAWAJA SOMA NDO MAANA WANAPEWA VYEO OVYO
aliyemteka dr. Ulimboka ni shujaa
wangu wa karne"
kauli ya diwani wa kata ya mondo-kondoa,dodoma(ccm)
namnukuu..........
"siku ya mashujaa na
shujaa wangu wa karne...
Jana ilikuwa siku ya mashujaa
tanzania. Siku ambayo
huazimishwa kila mwaka
kuwakumbuka mashujaa wetu
ambao wametoa mchango
mkubwa wa kuikomboa nchi.
Kwa upande wangu shujaa
wangu wa mwaka na karne hii.
Ambaye ntamkumbuka ni
yule aliyefanikisha na
kumteka dkt ulmboka.
Aliyemteka dkt ulimboka
ameleta ukombozi mkubwa
kwa watanzania masikini na
hasa wagonjwa ambao
walikuwa wakifa kwa sababu za
mgomo wa madktari kudai
mishahara zaidi.
Kwangu mimi dkt ulimboka ni
msaliti wa taifa lake.
Na aliongoza mgomo haramu
ulioua watanzania wasio na
hatia kwa tamaa zake.
Tangu shujaa huyo alipomteka
ulimboka afanikishe azma yake
alikomesha mgomo na mijadala
yote ya madaktari na mpaka
sasa haisikiki tena
hongera shujaa wetu wa
mwaka kwa kukomesha
mgomo."
mwisho wa kunukuu.................
Naomba mnisaidie nyie mmemwelewaje na hii kauli yake?
Mbuge wake anaitwa JUMA NKAMIA.
Tukisema CCM mlimteka Dr ulimboka mnakuja juu, sasa yameanza kujidhihirisha toka ktk kauli zenu
Hivi hajui kwamba haitakiwi kujadili maana kesi iko mahakamani?
Huyo diwani hata siku mke wake akibakwa, atamwita mbakaji ni shujaa.
ngoja niondoke tu nami nisije nikapigwa ban
Aliyemteka Dr. ULIMBOKA NI SHUJAA
WANGU WA KARNE"
Kauli ya Diwani wa Kata ya Mondo-Kondoa,Dodoma(CCM)
Namnukuu..........
"SIKU YA MASHUJAA NA
SHUJAA WANGU WA KARNE...
Jana ilikuwa Siku ya Mashujaa
Tanzania. Siku ambayo
huazimishwa kila mwaka
kuwakumbuka mashujaa wetu
ambao wametoa mchango
mkubwa wa kuikomboa Nchi.
Kwa upande wangu Shujaa
wangu wa Mwaka na karne hii.
AMBAYE NTAMKUMBUKA NI
YULE ALIYEFANIKISHA NA
KUMTEKA DKT ULMBOKA.
Aliyemteka Dkt Ulimboka
ameleta Ukombozi mkubwa
kwa watanzania masikini na
hasa wagonjwa ambao
walikuwa wakifa kwa sababu za
mgomo wa Madktari Kudai
Mishahara Zaidi.
Kwangu mimi Dkt Ulimboka ni
Msaliti wa Taifa lake.
Na aliongoza mgomo haramu
ulioua watanzania wasio na
hatia kwa Tamaa zake.
Tangu Shujaa huyo alipomteka
Ulimboka afanikishe Azma yake
alikomesha mgomo na Mijadala
yote ya madaktari na mpaka
sasa Haisikiki tena
HONGERA SHUJAA WETU WA
MWAKA KWA KUKOMESHA
MGOMO."
Mwisho Wa kunukuu.................
NAOMBA MNISAIDIE NYIE MMEMWELEWAJE NA HII KAULI YAKE?