pepekale
Member
- Nov 25, 2010
- 60
- 50
Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM.
Pia soma
Pia soma
Elia F Michael: CCM niacheni niendelee na udiwani wangu
Baada ya uchaguzi wa jimbo la Buyungu ambao tumefanya vizuri kama upinzani,upande wa pili CCM wanaona haitoshi kuwapora chaguo lao wana Buyungu. Wamekuwa wakarimu sana kwangu,wanasema Rais amenipenda na ananihitaji,wengine wameenda mbali zaidi kuwashawishi viongozi wa Kanisa langu kwamba...
www.jamiiforums.com
DSO Kakonko amemtafuta mzazi wangu
Afisa Usalama wa Taifa Wilaya ya Kakonko(DSO KAKONKO) Joseph Komite amempigia simu Baba yangu Mzazi Mchungaji FREDRICK MICHAEL (kwenye picha) akimtaka waonane Juu ya Maswala yangu leo. Baba amenieleza jambo hilo kwamba ameitwa kisha nikamuuliza DSO KAKONKO kwa ujumbe wa mfupi kwa njia ya simu...
www.jamiiforums.com
Kigoma: Diwani wa kata ya Gwarama na MwanaJF, Elia F Michael akamatwa na Jeshi la Polisi
Diwani wa kata ya Gwarama Mh Elia F Michael anashikiliwa na Jeshi la Polisi. Taarifa zinadai kuwa Elia amekamatwa akiwa Katani kwake katika eneo la mkutano wa hadhara alipokuwa amepanga kuongea na wananchi.
www.jamiiforums.com