Mhe. Saidi Sambala, moderator na mwanzilishi wa kikundi maarufu kule FB kinachoitwa 'Tanuru la Fikra', ni kada mahiri wa CCM na ni 'Jembe la ENL' , ana njaa kali sanaanaitwa nani?
mwerevu ni wewe unayeleta hoja za kitoto hapaMjadala umepamba moto, matusi yanatawala, hoja hazijibiwi kwa hoja, ni vigumu kuelewa ni nani ambaye ni mjinga na ni nani muelevu.
Mnapojadili hii hoja jaribuni kuiangalia shilingi pande zote mbili
Hapo ndio wanaJF mnaweza kuzungumza lugha moja.
- Ikiwa baba yako na wagonjwa wengine wengi wamealazwa na wanahitaji operation muhimu siku Dr Ulimboka kaitisha mgomo wa madaktai. Na kwa bahati mbaya wakafariki kwa sababu Dr ambaye angewafanyia hizo operation naye aligoma kwa kuitika wito wa Dr Ulimboka
- Ikiwa Dr ulimboka ni kaka yako na yupo katika hali hiyo mpaka sasa.
usilete maoni ya utumbo hlf utulazimishe tuyaheshimu aisee, wapi na wapihata maoni ya kipuuzi yaheshimiwe?
njaa kitu kibaya sana
Hoja ipo wazi kabisa huyo bwana ni shujaa
kamaliza mgogoro na kuokpoa mamia ya masikini wasife
Hoja ipo wazi kabisa huyo bwana ni shujaa
kamaliza mgogoro na kuokpoa mamia ya masikini wasife
Comrade Sambala ‎....KAMA WEWE NDIO MASIKINI MWENZANGU AMBAYE...
BABA YAKO,
MAMA YAKO,
KAKA YAKO,
DADA YAKO,
SHANGAZI YAKO,
MJOMBA WAKO,
AMA MWANAO
ALIKUFA KWA SABABU TU MADAKTARI WALIGOMA MPAKA KWANZA WALIPWE MILIONI 7.
BASI UTAKUWA NA MIMI KUAMINI KUWA ALIYEMTEKA DK ULIMBOKA NDIO SHUJAA KWANI KAKOMESHA MGOMO
. . . . . . . ! Ana 1kB brain