Ataisha vibaya limbukeni huyu. Yuko wapi mr Nice, Muumin na wengine waliozuzuliwa na usupastaa wa Bongo?
Ataisha vibaya limbukeni huyu. Yuko wapi mr Nice, Muumin na wengine waliozuzuliwa na usupastaa wa Bongo?
Calculator huna hata adabu. Mie niwe na wivu na kiumbe kama huyu asiyejua hata alipo na aendapo. Huna adabu wewe kama unaona kuna watu wenye akili wanamuonea wivu mpuuzi kama huyu. Huenda nawe ni wale wale malimbukeni na maskini wa kunuka.
mmmh! mbona vidole vyake mkono shoto vimekomaa? nahisi anatangaza wimbo mpya