Diamond Huyooo, anasema, "kama ni pesa wewe kunywa mimi ntanunua"

3833_462440953799440_1162365134_n.jpg
Mtoto wa kiislamu anavunja maadili aliyofundishwa madrasat kisa superstar.
 
Tatizo la wabongo mafanikio kidogo basi unabweteka..Sasa watu wakikushauri unasema wana wivu..Kwa hiyo hata kama anafanya visivyo watu wamchekelee tu??? Mbona wengine hawasemwi ila yeye tu??? Kumbuka lisemwalo lipo kama halipo linakuja... (btw hii ni sawa na mwanamke ambaye anayeambiwa na rafikize kuwa mume wake fataki na yeye anawaambia kuwa awanamuonea wivu kwa kuwa anapendwa..mwisho wa siku anapata matatizo anaanza kulialia)

mi sijaona kama alishauriwa, ila calculator alimponda ataisha vibaya. Ingekuwa ni hivyo watu wangeogopa kufanikiwa basi, maana si wataisha vibaya. Hapo anapiga promo wimbo wake mpya. Ni sawa ana mambo yake ambayo si mazuri ila hayahusu hapo. Akipata matatizo na alishauriwa kimpango wake ila kama anakimbiza itabaki hivyo tu kuwa anakimbiza kwa sasa
 
Ana maisha gani zaidi ya aibu mwanangu? Unataka kujua maisha yangu ili yakusaidie nini? Kujua au kutojua maisha ya huyo juha kunaniongezea au kunipunguzia nini? Siku atakapoingizwa kaburini kwenye mfuko wa lambo ndipo utaelewa nilichomaanisha mwanangu juha.
 
dogo yuko down to earth basi tu elimu inampiga chenga
Kwani Bakhresa amesoma shule gani? yaani ujinga wa mtu binafsi mnataka kusingizia Elimu? Kina Tabu Mangala waliojenga lile jengo la Yanga na Karume akawapa pesa walisoma wapi? mbona wasomi wanashindwa kufanya kile kilichofanywa na wazee kitambo!?
 
Sio kila ushauri wa mtu unaweza ukauchukua, af mumshauri nyie kama akina nani? Na management yake inafanya kazi gani ka kila mtu anataka kuwa mshauri wake?
Vp pesa unazozitafuta wewe kuna watu huwa wanakuja kukushauri bila ya kuwaomba?

Duh, basi mkuu. Umempa stahiki yake..
 
Ana maisha gani zaidi ya aibu mwanangu? Unataka kujua maisha yangu ili yakusaidie nini? Kujua au kutojua maisha ya huyo juha kunaniongezea au kunipunguzia nini? Siku atakapoingizwa kaburini kwenye mfuko wa lambo ndipo utaelewa nilichomaanisha mwanangu juha.

Wewe kinakuuma nini?? Maisha ya watu yanakutoa povu kiasi hiki?? Mind your own business.
 
Don't be stupid. Maisha gani anayo huyu zoba kama wewe? Ungejua maana ya maisha wala usingehanikiza kama ufanyavyo. Again, you can go to hell completely and forever ad infinitum.
 
Atamwacha vipi wakati nasikia Dogo ni shabab kinyama, ana mpini wa hatareeee ndo maana hata mama yenu wema haambiwi wala hasikii kwa dogo, na mizoezi anayofanya utamtaka? miuno ka feni,we hyo miutamu kuna mwanamke hata ka akisikia jamaa ni kicheche atavumulia kuiacha
 
Hey people! Shut the f*ck up and enjoy his music. Am I the only man in Tanzania who wish this hard working man all the best? If you feel like kumshauri ni bora ukamshauri baba yako so that he can make more money. Work hard, play hard. F*ck you haters. NICE SONG. ENJOY. NATAKA KULEWA.
 
Kwani Bakhresa amesoma shule gani? yaani ujinga wa mtu binafsi mnataka kusingizia Elimu? Kina Tabu Mangala waliojenga lile jengo la Yanga na Karume akawapa pesa walisoma wapi? mbona wasomi wanashindwa kufanya kile kilichofanywa na wazee kitambo!?
Ulinisoma lakini???

i only talk about his down to earth personality, mengine siyajui hilo la elimu limekuja kutokana na baadhi kukandya. makosa kama wrong life decision anayofanya kwa sasa yanatokana na environment iliyomzunguka kwa sasa, its about pombe, ngono na misosi, and he should ahve done better iwapo angekua na upeo zaidi, he is a massive talent in our country na east africa, he is unique, na ana busara sana tu....

pamoja na hayo, si kila mtu ni bakhresa au tabu mangara, wengine huhitaji elimu kupevuka zaidi na wengine hata elimu haiwasaidii, unless una povu jingine umeshindwa pa kulitolea....

KUDOS DIAMOND,
 
Wivu tu. kutesa kwa zamu, mwacheni dogo ale bata zake kwa nafasi zake. kama una hasira nae, tafuta na wewe usupastaa wako. Ala!!!!!!!!!!
Unajiita Calculator kumbe kazi yako ni ku-calculate vijisenti vya huyo dogo na ukishamfilisi unasepa siyo? Kumbe ndio maana unatetea, lakini kumbuka hata uwe unajua mapenzi kiasi gani huwezi kuukumbatia upepo!
 
Ulinisoma lakini???

i only talk about his down to earth personality, mengine siyajui hilo la elimu limekuja kutokana na baadhi kukandya. makosa kama wrong life decision anayofanya kwa sasa yanatokana na environment iliyomzunguka kwa sasa, its about pombe, ngono na misosi, and he should ahve done better iwapo angekua na upeo zaidi, he is a massive talent in our country na east africa, he is unique, na ana busara sana tu....

pamoja na hayo, si kila mtu ni bakhresa au tabu mangara, wengine huhitaji elimu kupevuka zaidi na wengine hata elimu haiwasaidii, unless una povu jingine umeshindwa pa kulitolea....

KUDOS DIAMOND,
Wrong timing, povu la nini!! yani mimi nikae hapa kuanza kupiga tarumbeta ya kusifia maisha ya mtu mwingine!! my foot hata kama mimi ni mjinga lakini sijafikia ujinga huo.
 
Wrong timing, povu la nini!! yani mimi nikae hapa kuanza kupiga tarumbeta ya kusifia maisha ya mtu mwingine!! my foot hata kama mimi ni mjinga lakini sijafikia ujinga huo.

Thank you,

I do appreciate life in different way.... nampigia tarumbeta yoyote mwenye mafanikio, its my nature and I am proud of...

You can keep your foot with you, and i will continue appreciating talents, achievements and success of others as i do celebrate my milestones everyday... kama ni ujinga, basi afadhali ya mjinga kwa kwenda, kuliko otherwise

Good day matola,
 
Huyu kijana kifua chake, mie nafwaaaaaaaaaaaa! Nipo hapa kando naangalia mnavyomdadavua, semeni yoteeeee nibakizieni kifua kwa kukipa masifa!
 
Ana maisha gani zaidi ya aibu mwanangu? Unataka kujua maisha yangu ili yakusaidie nini? Kujua au kutojua maisha ya huyo juha kunaniongezea au kunipunguzia nini? Siku atakapoingizwa kaburini kwenye mfuko wa lambo ndipo utaelewa nilichomaanisha mwanangu juha.
Kila nafsi lazima itaonja mauti,usije kushangaa unamtangulia!!Mungu ndio mjua hatma yetu
 
Wivu tu. kutesa kwa zamu, mwacheni dogo ale bata zake kwa nafasi zake. kama una hasira nae, tafuta na wewe usupastaa wako. Ala!!!!!!!!!!

Vipi mbona kama unakeleka vile na wewe ni mmoja kati ya wale wanaomzuga kwa kumwita dear seetheart?! Kumbuka kumwambia hivyo si kwamba wanamuonea gele bali wanamkumbusha kuwa huwa zinaisha hizo......!! Bora fanya cha maana. Pia kumbuka hawezi kuendelea kuwa supreme milele huu ni mpito tu kama rais wetu anavyosemaga kila siku.
 
Back
Top Bottom