Diamond Huyooo, anasema, "kama ni pesa wewe kunywa mimi ntanunua"

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
3833_462440953799440_1162365134_n.jpg
 
Calculator huna hata adabu. Mie niwe na wivu na kiumbe kama huyu asiyejua hata alipo na aendapo. Huna adabu wewe kama unaona kuna watu wenye akili wanamuonea wivu mpuuzi kama huyu. Huenda nawe ni wale wale malimbukeni na maskini wa kunuka.

Unatoka mapovu kwa ajili ya mafanikio ya wenzako?? Unaumia kabisa roho wakati wenzako wanateleza na raha zao?? Looo!!!! ajabu ya wabongo hii. jiunge na wewe freemason uwe stori mjini. pole zako champion wa wivu afrika mashariki na kati.
 
hilo ni tangazo la wimbo, huwez kunywa glasi 4 kwa mara moja bana...............
 
Kila kitu kina wakati wake,huu ni wakati wake na utapita watakuja wengine
 
mmmh! mbona vidole vyake mkono shoto vimekomaa? nahisi anatangaza wimbo mpya
 
Back
Top Bottom