Diamond Huyooo, anasema, "kama ni pesa wewe kunywa mimi ntanunua"

hio picha ni cover ya audio ya wimbo wake upo mtandaoni free to download---ila hoja mpya ninayoiona imezuka ni kufanana sana kwa huo wimbo na wa pasha ukizisikiliza bit na maudhui ya ndani
 
alivyopanda juu ilikuwa jitihada zake, anayofanya sasa ni akili yake na akiporomoka pia itakuwa ni shauri yake.....Walikuwepo akina MICHAEL JACKSON, the KING OF POP, aliyeujua umaarufu, kamera na pesa toka akiwa miak5 akaporomoka mpaka udongoni, itakuwa huyu aliyeijulia kamera uzeeni?
 
dogo ametisha kwa kweli. namkubali sana diamonda...endelea kuwaumiza,...........iyo stail tu kwanza ni promo tosha ya singo yako..cant wait
 
Akili yako ndogo kama ya Diamond.

Unatoka mapovu kwa ajili ya mafanikio ya wenzako?? Unaumia kabisa roho wakati wenzako wanateleza na raha zao?? Looo!!!! ajabu ya wabongo hii. jiunge na wewe freemason uwe stori mjini. pole zako champion wa wivu afrika mashariki na kati.
 
Ulinisoma lakini???

i only talk about his down to earth personality, mengine siyajui hilo la elimu limekuja kutokana na baadhi kukandya. makosa kama wrong life decision anayofanya kwa sasa yanatokana na environment iliyomzunguka kwa sasa, its about pombe, ngono na misosi, and he should ahve done better iwapo angekua na upeo zaidi, he is a massive talent in our country na east africa, he is unique, na ana busara sana tu....

pamoja na hayo, si kila mtu ni bakhresa au tabu mangara, wengine huhitaji elimu kupevuka zaidi na wengine hata elimu haiwasaidii, unless una povu jingine umeshindwa pa kulitolea....

KUDOS DIAMOND,

Umeeleweka lakini dogo ana mijengo yake anajenga sasa hapo sijui mnasemaje!!!!!!!!!!
 
Mi sielewi watu huku naona pumba sasa mtu anasema udongoni mara nini? Kwani kuna mtu asiyekufa anyooshe kidole juu basi ka yupo mafanikio ya dimond ni juhudi zake sasa we kwa nini uumie au ndo wivu wa kike fu****************ckkcckkcckkcck
 
Umeeleweka lakini dogo ana mijengo yake anajenga sasa hapo sijui mnasemaje!!!!!!!!!!

that was my praise... with a little kujiendeleza, atafika mbali, asije akaishia kama akina nature, Q-Chilla na Mr. Blue
 
Dogo anajua, wote tunalifahamu. Ila anaboa baadhi ya mashauzi yake. Ktk music anafanya vizuri sana, ila i ****en hate maskendo yake mara kavua boxer mara tutasikia ame... na....

Chukia mchezaji, penda mchezo
 
Courtesy mwanangu basi tangulia wewe kuonja hayo mauti kama unadhani mchezo. Muhimu aina ya maisha ya mtu yanaweza kumuwaisha. I wishi you well to hell.
 
Calculator huna hata adabu. Mie niwe na wivu na kiumbe kama huyu asiyejua hata alipo na aendapo. Huna adabu wewe kama unaona kuna watu wenye akili wanamuonea wivu mpuuzi kama huyu. Huenda nawe ni wale wale malimbukeni na maskini wa kunuka.
Koh..koh..koh..!!!!!daahh nimechek sn hapa leo
 
Pilipili ya shamba yawashaia nini nyie watu? Mnatoa ushauri wakati hata maisha yenu hamyaoni, mnamuombea mtu mabaya kisa "point" yako uliyosema itimilizwe! nyie ni wabaya sana moyoni..bora niwe na mnywa pombe kama ndugu kuliko mtu kwenye fikra kama hizi.

Bata kula diamond, you worked hard for your fame..haters gonna hate.
 
Back
Top Bottom