Diamond Huyooo, anasema, "kama ni pesa wewe kunywa mimi ntanunua"

Anapiga sana pesa kwa sasa dogo yuko juu kisawa sawa!ajipange tu hasa kwenye majumba ya ukweli akiweza hata 10 awekeze huko tu!!yatamlinda sana baadae
 
Unatoka mapovu kwa ajili ya mafanikio ya wenzako?? Unaumia kabisa roho wakati wenzako wanateleza na raha zao?? Looo!!!! ajabu ya wabongo hii. jiunge na wewe freemason uwe stori mjini. pole zako champion wa wivu afrika mashariki na kati.
Tatizo la wabongo mafanikio kidogo basi unabweteka..Sasa watu wakikushauri unasema wana wivu..Kwa hiyo hata kama anafanya visivyo watu wamchekelee tu??? Mbona wengine hawasemwi ila yeye tu??? Kumbuka lisemwalo lipo kama halipo linakuja... (btw hii ni sawa na mwanamke ambaye anayeambiwa na rafikize kuwa mume wake fataki na yeye anawaambia kuwa awanamuonea wivu kwa kuwa anapendwa..mwisho wa siku anapata matatizo anaanza kulialia)
 
Teh teh kwi kwi kwi JF raha kumoyo,nimemkumbuka Mr EBO ktk wimbo wake mmoja kuna maneno haya,I LOVE NEW YORK lakini bado HUJAFIKA.
 
Anapiga sana pesa kwa sasa dogo yuko juu kisawa sawa!ajipange tu hasa kwenye majumba ya ukweli akiweza hata 10 awekeze huko tu!!yatamlinda sana baadae

Huyu hata moja hawezi kujenga au kununua, kama hakuwa makini atakuja kupanga getto!!
 
Calculator huna hata adabu. Mie niwe na wivu na kiumbe kama huyu asiyejua hata alipo na aendapo. Huna adabu wewe kama unaona kuna watu wenye akili wanamuonea wivu mpuuzi kama huyu. Huenda nawe ni wale wale malimbukeni na maskini wa kunuka.

Vp wewe una nini cha maana kumzidi huyo Diamond? Moja ya tofauti zenu we unamjua maisha yake af yeye hakujui hata chembe.
 
Tatizo la wabongo mafanikio kidogo basi unabweteka..Sasa watu wakikushauri unasema wana wivu..Kwa hiyo hata kama anafanya visivyo watu wamchekelee tu??? Mbona wengine hawasemwi ila yeye tu??? Kumbuka lisemwalo lipo kama halipo linakuja... (btw hii ni sawa na mwanamke ambaye anayeambiwa na rafikize kuwa mume wake fataki na yeye anawaambia kuwa awanamuonea wivu kwa kuwa anapendwa..mwisho wa siku anapata matatizo anaanza kulialia)
Sio kila ushauri wa mtu unaweza ukauchukua, af mumshauri nyie kama akina nani? Na management yake inafanya kazi gani ka kila mtu anataka kuwa mshauri wake?
Vp pesa unazozitafuta wewe kuna watu huwa wanakuja kukushauri bila ya kuwaomba?
 
Babu/bibi/baba/mama.....Mlengwa hapa sio Diamond peke yake..ni wabongo wote!!! Na kama wewe huwezi kusikia ushauri wa watu wengine eti sio "management yako" basi una matatizo....Duniani tunaishi na watu na ndio wanatuona tunavyofanya na kutushauri.....
Na ushauri lazima uje uwe mbaya achana nao kama mzuri chukua haijalishi ni nani kakupa(hata kama adui yako).
Think ndugu..think
 
Kusema ukweli Diamond anafanya vizuri kwenye soko la muziki hapa East Africa.. Napenda sana shows zake kwa jinci anavyojituma.. Anastahili haya mafanikio aliyonayo sasa.. Ila ni vizuri akafikiria investments ndani na nje ya muziki.. Acije kuwa kama msanii mmoja maarufu sana hapa bongo.. Waliomtumia wana vitega uchumi vya maana yeye kaishia kupata nyumba Mbagala..
 
Mpempe vidonge vyake ,akitema akimeza shauri yake!
Unatoka mapovu kwa ajili ya mafanikio ya wenzako?? Unaumia kabisa roho wakati wenzako wanateleza na raha zao?? Looo!!!! ajabu ya wabongo hii. jiunge na wewe freemason uwe stori mjini. pole zako champion wa wivu afrika mashariki na kati.
 
Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond

unaliza watu humu duh hadi wanataka kutukana wa jf wengine kama bado hawajawatukana.

ukisema show laki moja kiingilio watu watajaa na kulilia kuingia ukumbini hata wakizuiwa kuwa pamejaa, una X-factor moja yaani acha tu

Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond, Go Diamond...
 
Kila kitu kina wakati wake,huu ni wakati wake na utapita watakuja wengine

Umenena vyema, ila ujue kabla wakati haujapita huwa unatengeneza ujao. Anatumiaje wakati alio nao kwa manufaa ya baadae? Hawa tunawaita "kioo cha jamii", Jamii yenyewe ni sisi, tuna haki ya kuhoji pindi tunapoona kioo chenyewe kinaingia ukungu hakuna maswala ya wivu hapa wala nini.
 
Hivi ni nani ambaye anamsaidia Mr.Nice hela ya kuendeshea maisha yake?Kila mtu ana maisha yake na kama mtu ukiharibu mipango yako ya maisha ya baadae hakuna wa kumlaumu na hakuna wa kukushikia bakora kukufanya ufanye vitu vya maana kwa ajili yako mwenyewe hapo baadae.

Akishuka kimuziki na kuporomoka kimaisha bado atabaki kuhangaika yeye na ndugu zake na hapo ule ukioo wa jamii hukamilika maana atakuwa anazidi kutoa funzo kwa wengine ambao watakuwa juu wakati huo.
 
Back
Top Bottom