Na lile la mitihani kuchukuliwa baada ya kusahihishwa na kwenda kukaa na watu wasiojulikana kwa miezi miwili maana ya ni nini? ni kina nani hawa watu? na ni kwa nini wakae na mitihani iliyokwisha sahihishwa kwa miezi miwili?.....Ndalichako atujibu hili.Maana mitihani ya tanzania hatuandiki majina unaweza singizia kuwa saa ya kusaisha labda wanaangalia majina ya wakristo na wanajua huyo ni mwislamu.
mitihani huwa tunaandika namba tunapoifanya ila majibu tunapewa kwa majina stuka, funguka, ndalichako na timu yako tumechoka jamaniNa lile la mitihani kuchukuliwa baada ya kusahihishwa na kwenda kukaa na watu wasiojulikana kwa miezi miwili maana ya ni nini? ni kina nani hawa watu? na ni kwa nini wakae na mitihani iliyokwisha sahihishwa kwa miezi miwili?.....Ndalichako atujibu hili.
Asante,nimeipata....waache waendelee kupiga kelele,wenzao wanasonga
Usije kushangaa ukijakugundua kuwa Ndalichako mwenyewe hafurahishwi katika kushiriki kwake katika kuwafelisha wa wanafunzi wa Kiislamu ila ndio hana budi kuutumikia mfumo (Kanisa) uliomuweka pale!Ni kweli Tanzania ina mfumo kristo-
PakaJimmy umeeleza vizuri....Kwa kuanzia tu, hili neno Mfumokristo mimi naliona kama ni neno la kejeli na dharau kwa kiongozi wa dini hiyo.
Ingekuwa limetumika kwa upande wa pili, lingezua maandamano, mihadhara, matusi na hata uharibifu phyisical.
Hawa watu wangekuwa na STAHA kwa wenzao wangetumia jina tofauti na hilo waliloamua kulitumia.
Kusema Mfumokristo ni direct attack kwa Kristo. Ni sawa ningesema MfumoMohamed(SAW)... really it doesnt sound moral, pleasant or rather decent!
Tuanze na hapo kwanza.
Naamini siko nje ya utaratibu.
Hans,
..katika jedwali uliloleta frm 1973 to 1999 wenyeviti wa NECTA walikuwa ni Vice Chancellors wa UDSM.
..pia Prof.Mwaikambo ndiye mwanamke pekee aliyepata kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa Necta, ambapo yeye na Prof.Mmari[former sokoine & udsm vc] walishika nafasi hiyo wakitokea nje ya chuo kikuu cha DSM.
..baada ya hao wawili, utamaduni wa VC wa UDSM kuwa mwenyekiti wa NECTA umerejeshwa kwa uteuzi wa Prof.Mukandala.
NB:
..je, kwa experience yako ulipokuwa shuleni umewahi kuonewa kutokana na imani yako?
Kwa kuanzia tu, hili neno Mfumokristo mimi naliona kama ni neno la kejeli na dharau kwa kiongozi wa dini hiyo.
Ingekuwa limetumika kwa upande wa pili, lingezua maandamano, mihadhara, matusi na hata uharibifu phyisical.
Hawa watu wangekuwa na STAHA kwa wenzao wangetumia jina tofauti na hilo waliloamua kulitumia.
Kusema Mfumokristo ni direct attack kwa Kristo. Ni sawa ningesema MfumoMohamed(SAW)... really it doesnt sound moral, pleasant or rather decent!
Tuanze na hapo kwanza.
Naamini siko nje ya utaratibu.
Mwanangu shule. Jaribu kujiuliza wakati tunapata uhuru na baadaye waislamu na wakristo walikuwa na uwiano gani. Acha hilo. Je sifa za wahusika zilitegemea dini zao au taaluma na uwezo wao wakati wa kuwachagua au kuwateua? Je wahusika si watanzania? Leo kwa mfano tuna rais muislam na makamu wake na hakuna anayehoji kwa vile wote ni watanzania. Hebu mwanangu dodosa angalau hata ufisadi uone kama unaangalia dini. Mie naona hoja yako kama haina mashiko kwa vile vigezo vya dini ulivyotumia haviingii akilini. Nakupa mfano mdogo. Jijini Dar es salaam kwa sasa ukitafuta vibaka wengi unaweza kukuta ni wa dini fulani. Hili si tatizo la dini bali uwiano wa uhangaikaji, elimu na mila. Hebu nenda kwenye mihadhara uone mfumo Islam unavyofanya kazi ambapo wahubiri uchwara na vihiiyo wanaweza kujifanya mabingwa wa kuchambua na hata kutukana ukrisito na hakuna anayeshika panga. Je haya yangefanywa na upande wa pili hali ingekuwaje? Mwanangu nakusihi uache fikra mgando uangalie mambo kwa macho badala ya miwani ya udini. Hebu tumia utanzania badala ya udini utaelewa.