Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Yes! Kwa sababu wananchi wake ni wakristo na wengine niwaislam so inawezekana BUT sio kama wewe udhaniavyo!

Hapa hatuendi kwa dhana

hapa ni JAMII FORUMS tunakwenda kwa ushahidi na uzito wa hoja kutetea huo ushahidi ulioletwa
 
Mleta Uzi ni mlevi peleka kwenye jukwaa husika unajaza jukwaa hili hizo pumba zako nenda kashtaki kwa kadhi


Unakiuka maadili ya mjadala na sheria za JF

acha kunishambulia mimi...jobu hoja kwa hoja

mimi sitokushambulia wewe binafsi hata kama sikubaliani na wewe

hoja ijibiwe na hoja

kama huna la kujibu kuhusu mada nakushauri uwe msomaji kwa sababu nishasema hapa tunakwenda kwa hoja na si kushambuliana wala kutishana
 
endeleeni tu kuuleta udini taratibu.ckuhiyo ikifika kuanza kutafuta chanzo cha udini na kusema kwamba ulianzia kwenye mitandao ya kijamii ukiwemo JF, bac tusijekataa na kupinga na kuanza kutafuta vyonzo vingine vya udini.
 
Hans sijakushambulia wala sina haja ya kufanya hivyo. Hoja yako kaka inahitaji majibu ya namna hiyo. Nasisitiza tatizo la Tanzania siyo ulilotengeneza la udini bali jinsi mtu anavyoliona. Tatizo ni ufisadi na uongozo mbovu. Nimekwambia udurusu ufisadi uone kuwa hoja ya dini si hoja kitu. Tuna watu kama Andrew Chenge na Dk Idris Rashid wanajulikana walikula pesa ya rada. Hapa kuna dini kweli? Chini ya Ali Hassana Mwinyi kulikuwa na uuzaji holela wa wanyama kule Loliondo sawa na huu wa sasa chini ya Kikwete sawa na wizi wa EPA chini ya Mkapa hapa kaka kuna dini ? Ingawa kila mtu ana haki ya kuamini atakavyo, kuna haja ya kuwa na mantiki. Mfano nimeuliza hawa wahadhiri uchwara wa kiislam wanaochokoza na kutukana wakristo kama wasingekuwa na mfumoislam kama unavyotaka tuanze kufikiri si wangeshafikishwa mahakamani. Kwa taarifa mihadhara ilianza wakati wa Mwinyi na imefufuka sana wakati wa Kikwete. Jiulize ni kwanini? Isitoshe kwenye hoja yangu ya kwanza sijakushambulia zaidi ya kukupa mazingira yanayoonyesha kuwa suala la udini ni tatizo lako na si mfumo.
 
Ni kwa nini katika hoja yako umeamua kulinganisha ukristo na uislamu tu? Vipi kuhusu imani zingine ambazo zipo hapa Tanzania? Nijuavyo mimi,nafasi nyingi hizo za juu kama za wenyeviti na wakurugenzi zinapatikana kwa kuteuliwa kama sijakosea na kwa maana hiyo, kuna baadhi yao hao wameteuliwa na marais waislamu! Kwa mantiki hiyo, unataka kuniambia kuna waislamu wanasaidia kuboresha huo mfumo kristo? Cha msingi hapa ni kuhakikisha tu kwamba wanaopatiwa nafasi sehemu yoyote ile ndani ya serikali wawe wamepatiwa kwa sababu ya sifa zao na si kwa sababu ya dini zao! Tusipende sana kuyaangalia haya mambo kwa macho ya kiimani kwa sababu imani ni zaidi ya uislamu na ukristo!
 
Unakiuka maadili ya mjadala na sheria za JF

acha kunishambulia mimi...jobu hoja kwa hoja

mimi sitokushambulia wewe binafsi hata kama sikubaliani na wewe

hoja ijibiwe na hoja

kama huna la kujibu kuhusu mada nakushauri uwe msomaji kwa sababu nishasema hapa tunakwenda kwa hoja na si kushambuliana wala kutishana

Hans Roger Dibagula,
Naomba uniambie Waziri/Katibu mkuu/Kamishina/DEO/Mkuu wa shule nk akiwa mwiislamu anafanya nini tofauti na mfumo wa kisheria katika taasisi wanazoziongoza? Leo hii Tanzania raisi, makamu wake wote ni waislamu je lipi tofauti limejitokeza kwa waumini wa dini ya kiislamu! Mimi naona wanafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria. Tatizo ambalo tunalo watanzania wengi ni kufikiria kidini na kutaka kutenda kidini. Kwa Taarifa tu Tanzania/Tanganyika haitakuwa nchi ya kikristo wale ya kiislamu! Tukifahamu hili hii mijadala ya udini itaisha. Mimi naonga mkono kama kweli uteuzi wa nafasi mbalimbali katika nchi yetu unaangalia dini ndiyo kigezo, huu utakuwa ubaguzi wa kidini lazima tuuondoe.
 
Mimi nadhani its about time watu tukaacha ujinga wa kutukanana na kuogopa kuambiana ukweli. Mmmoja kati ya msingi mkubwa wa mtandao wa Jamii Forum ni kukubali mawazo ya watu mbali mbali na hata wale ambao hatukubaliani nao.

Naomba huu mjadala ulenge kwenye kujibu hoja badala ya kuwatukana waleta hoja.
Hans Roger Dibagula hivi hao wakuu wamejulikana vipi kwamba ni waislam au wakristo? Kwa kuangalia majina yao au walikiri wanatoka katika dini tajwa?
 
Last edited by a moderator:
endeleeni tu kuuleta udini taratibu.ckuhiyo ikifika kuanza kutafuta chanzo cha udini na kusema kwamba ulianzia kwenye mitandao ya kijamii ukiwemo jf, bac tusijekataa na kupinga na kuanza kutafuta vyonzo vingine vya udini.

bila shaka hujauelewa mjadala, hebu rudia tena kuisoma thread then naamini utakuja na mchango mzuri kuliko huo hapo!
 
mfumo kristo upo sana mfano nchi imeshawah kuwa na mawazir wakuu wangap? kati ya hao waislam walikua wangap? sio bahat mbaya ni makusud kabisa na nyerere ndo kaanzsha udin huo,.bunge asilimia 85 ni wakristo na serikalin sio ukristo tu bal umetawala ukatoliki...lkn 2tafika tu kwa waislam JIHAD ni faradh na ukifa unaitetea dini yako unaenda pepon ...dini ya mungu tutaitetea kwa hali yoyote wakusikilizwa ni ALLAH s.w pekee naye amesema -waislam mmeruhusiwa kupigana na makafir kwa sbb mmedhulumiwa...
 
Safi sana kaka

Lakini waislam wao wanadai kuwa tangu kuondoka kwa Mkoloni Wakristo wamekuwa kama mabaki ya wakoloni na ukoloni. Ukiondoa shule za msingi na sekondari za Kata, huko katika shule za sekondari za Serikali, vyuo vya kati na vyuo vikuu wanafunzi na wafanyakazi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80. Siku hizi katika shule za Kata wanafunzi Waislamu wameanza kuonekana. Katika taasisi za elimu mfano T.I.E, TEA, NECTA, Bodi ya Mikopo, I.A.E na vyuo vyote nchini, uongozi umekuwa ni mali ya Wakristo. Ushaidi huo hapo juu

Lakini wa kristo walijibu vilivyo hizi hoja na huko mwanzo walidai kwamba hamna Muislamu mwenye elimu ya kutosha kuongoza. Kwa siku za hivi karibuni madai yao kwa wale Waislamu wachache waliofanikiwa kupata elimu ni kuwa hawafai kwa vile wana, "udini".

Lakini ukitazama data zilizopo ukweli kunabaki kuwa katika Wizara ya Elimu (MOEVT) tangu Wizara hiyo kuundwa uongozi umekuwa mali ya Wakristo kwa zaidi ya asilimia 90. Nafasi kama ya Kamishina wa Elimu haijawahi hata kuwa na Kaimu Muislamu na wala haitarajiwi chini ya Mfumochristo. Nafasi za wakurugenzi nazo zimemilikiwa na Wakristo. Mfumokristo umejikita barabara.

Uongozi wa Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu nao umemilikiwa vilivyo. Nafasi za Maafisa elimu Wilaya na Mikoa na wakaguzi wakuu wa elimu wa Kanda kwa zaidi ya asilimia 85 zinaendelea kuwa miliki ya hawa Wakristo.

Kwenye hili, naamini waislam wanaolalamika hoja wanayo kwani kwenye elimu hili lilishapigiwa sana kelele lakini hakuna hata moja lilofanyika na matokeo yake ni hizi data zilizotolewa na wizara ya elimu zinaonyesha wazi kuna matatizo na watawala wao wamezidi kuziba masikio

Sisemi waislam wapewe kwa sababu ya imani zao lakini ninachosema kuwa kuwepo kwa fairness na hasa ukizangatia kulikuwepo kwa tuhuma zamani na juzi juzi not only wizarani mpaka kwenye idara kama NECTA.

Hans Roger Dibagula,

..wanachohitaji Waislamu ni waalimu waliohitimu, na mazingira mazuri ya ufundishaji, ktk shule zao. waziri wa elimu, katibu mkuu, kamishna wa elimu, wote hawana msaada wa moja kwa moja ktk kuwainua Waislamu kielimu.

..pia u have to consider what it takes mpaka mhusika afikie kuwa kamishna, au mkurugenzi ktk wizara ya elimu. mimi nadhani kuna watumishi wengi tu wenye sifa, Waislamu na Wakristo, lakini hawapati nafasi hizo.

..kuhusu tuhuma dhidi ya NECTA kwa kweli nimeridhika na maelezo yaliyotolewa na jinsi suala zima lilivyoshughulikiwa. kulingana na taarifa ya Waziri Dr.Kawambwa, matokeo yaliangaliwa upya kwa masomo yote na siyo somo la islamic knowledge tu. baada ya uchunguzi huo ilibainika kwamba ni matokeo yote yalikuwa safi, isipokuwa yale ya Islamic knowledge.

..kitu ambacho nimejifunza ktk sakata hii ya matokeo, na kimenisikitisha na kunikatisha tamaa, ni kwamba masomo kama, Bible knowledge, na Islamic knowledge, yanatumika ktk kuamua daraja[division] la mtahiniwa. Yaani ktk mfumo wetu wa upangaji matokeo, masomo ya dini yana weight sawa na masomo kama Mathematics,Physics,Chemistry, etc etc. Mimi nadhani mtindo huo ukome. Tunawadanganya wenetu.

..Kuhusu shule za kata, nadhani Waislamu, na wa-Tanzania kwa ujumla, wanapaswa kuwa waangalifu sana na hizo takwimu wanazopewa. Kuna kashfa za baadhi ya wanafunzi "kufaulu" kwenda sekondari na wanapofika huko inagundulika kwamba hawajui kusoma na kuandika. Tambwe Hiza alikuwa mikoa ya kusini kupiga kampeni za CCM akadai kwamba sasa hivi 97% ya wanafunzi "wanafaulu" kwenda sekondari!!!Tuangalie QUALITY badala ya QUANTITY.

NB:

..badala ya kujishughulisha na majedwali ya vyeo, ingependeza kama tungejielekeza ktk kuwatetea wanetu wapatiwe mazingira bora zaidi ya elimu.

..tuwatetee waalimu wapatiwe mafunzo ya kutosha, na mafao mazuri, ili waweze kutoa huduma bora kwa tafa letu.
 
Sasa mleta hoja unadhani uwiano uweje wakati sisi waislam hatutaki kwenda shule ila madrasa tu ndo deal. uongozi hautolewi kwa uwiano wa udini. Jamani tusijidanganye wenzetu wakristo wanasoma elimu Dunia kuliko sisi na kama ni mfumo kristo basi sisi waislam ndo tunauleta kwa kutokutaka kusoma elimu Dunia. Mufti mkuu mwenywe hana elimu Dunia na huyo Pengo ana shule ya kutosha unategemea nini kama si kulalamika kila siku
 
Mkubwa acha kuangalia ulipoangukia, jaribu kuchunguza mahali palipo kufanya ujikwae. Mtazamo wenu hasi juu ya elimu dunia ya "kimagharibi" ndiyo umewafikisha hapo mlipo. Kisa, eti elimu dunia (formal education) ililetwa na wazungu (wakisto). Angalizo: Nafasi hizo zote ulizoanisha watu wanapatiwa kutokana na viwango vya elimu walivyonavyo na si kwa dini walizonazo. Kuna kiongozi mmoja alishawahi kuwahimiza msome kwa bidii, kazaneni kupeleka watoto shule kama navyokazana kuwapeleka madrasa. Mimi wakati nakua uswahilini nilikua nayaona mambo hayo, watoto wa wenzetu walikua wakitega shule hawafanywi chochote na wazazi wao. Lakini siku wakitega chuo (madrasa) walikua wanakula nyereti si mchezo. Nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja (wa kutoka visiwani) alikua jirani na tulisoma wote na alikua anapenda kusoma mbaya! Lakini baba yake alikua hataki kabisa kusikia habari ya shule na alikua akimkazania habari za mdrasa tu. Kuanzia nauli, matumizi na ada ni mama yake alikua akimpa. Sasa kati hali kama hiyo unatarijia nini?? Mkubwa nothing comes from nothing... I think it's about time for you to stop lamenting and start acting!! Pelekeni watoto shule na muwafuatilie kama mnavyowafuatilia madrasa!
 
Hii mijadala ndio inayoibua chuki katika mioyo ya watu.hebu ifikie mahali mahali tuepuke swala hl. Watanzania sote ni ndugu na yule anataka kutugawa kwa ajili ya udini ni miongo mwa watu wajinga na wapumbavu na vichwa vyao vimejaa majani. Na hawa suki zote humtukuza shetani maana MUNGU wetu si mbaguzi bali shetani.. Nadhambi hii iwale wote wailetao na familia zao.
 
Maendeleo ya nchi hayaletwi kwa kigezo cha dini.ukisema vyuo vikuu vingi vinaongozwa na wakristo,bas hebu tulinganishe na vile vinavyoongozwa na waislam.mfano pale udom,kuna ubaguzi wa wazi wazi kwa wakrisu,baadhi ya viongozi wa chuo wanadiriki kuweka vikao na wanafunzi waislam kuhakikisha wanakamata nafasi zote chuon na kuwaondoa wakristu,ushahidi upo lakini hakuna mtu analalamika hapo.sasa nchi inaongozwaje na mfumo kristo hapo?
 
Mnaangaika nae wa nini huyu tatizo la kimsingi hapa ni shule ndio hakuna wamekalia kukariri ma juzuu na makaswida yao wenzao wakristo wanakamua nondo za kufamtu kwenye maseminali yao na mashule yao ya dini
 
Hii topic imekaa kimtego na kiasi flani kama uchokozi kama sio uchonganishi Kwa upande wangu sihitaji data kuchangia hoja hii bali nitaenda na uhalisia Viongozi wakuu Nyerere 1961 – 1984 Alikuwa na timu yake kimuundo kuanzia chini mpaka juu Mwinyi 1985-1995 Alikuwa na timu yake kimuundo kuanzia chini mpaka juu Mkapa 1995-2005 Alikuwa na timu yake kimuundo .......................mpaka juu Kikwete 2005 ....... Anatimu yake kimuundo ................................ mpaka juu Kila kiongozi anamamlaka kamili ya kuteuwa na kusimamia maendendeleo ya watanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi. Kila kiongozi anamamlaka kamili kubadilisha uteuzi mara aingiapo madarakani ilikupata timu bora kumuwezesha kuutumikia umma wa watanzania kwa ufanisi na kuleta tija kwa maendeleo ya mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. 1. Tazama uwiano wa dini za watu hao(marais) ratio ni 1:1- Mfumo kristo unatoka wapi ilihali viongozi waloshika madaraka wanauwiano sawa?- Nyerere Alitambua udhaifu wa kielimu kati ya wakristo na waislam, alitaifisha shule nyingi ilikuwezesha watanzania wa dini zote kuwa nafulsa za kupata elimu hususani waislam.- Mwinyi amekuwa madarakani miaka 10 nini kawafanyia waislam kielemu tumkumbuke? Je huyu naye pamoja na mamlaka yote ni mmoja wa mfumo kristo?- Mkapa walau alitoa majengo kwa dhamira kama ya mwalimu Nyerere morogoro kama ndivyo mfumo kristo unawawezesha waislamu sio kuwabaguwa.- Kikwete mpaka sasa miaka inayoyoma hana la maana analofanya zaidi ya kuwagawa watanzania kwa mahubili yake ya hovyo wakati wa kampaeni alihubili chuki za udini ameziasisi ameshindwa kudhibiti. 2. Katika kutafuta kazi au kutoa kazi, muajili atafanya makosa makubwa kama atafanya hivyo- kwa kuangalia dini kama kigezo (hatari ya chuki za kidini)- Kwa kubalance watumishi kwa maana ya imani na dini zao (uwezo itabidi uwe kando hatakama huna sifa basi upewe nafasi yaani fareness???????)- Kwa kubalance idadi ya watumishi kwa maana ya rangi zao 3. katika kuomba kazi sijawahi kusikia au kuona hasa za taasisi za umma interview- Inafanywa kwa vigezo vya dini ya mtu au rangi ya mtu Hata hivyo historia inaweza kuwa mwalimu wa matokeo ya nini kitatokea hapo baadayIdadi kubwa ya wakristu madarakani ni matokeo ya kupiga umande hapo kabla wakati upande wa pili waliamini katika elimu ahera na sio elimu dunia. Mwisho sioni kama kuna ukweli wowote kwenye hizi data za mleta maada, hasa anaposema wakuu wa shule Dar es salaam wote ni wakristu hapo nimepata majibu kwamba upo uwezekano mkubwa wa kupika baadhi ya takwimu.
 
Uwiano ulioleta hauna uchanganuzi wa kina ni simpo mno. Sijui unaelimu gani. Kama huna data usilete utumbo humu.

Kabla ya kuja na takwimu za uongozi ungeanza na takwimu za shule za wakristo na waislam tokea uhuru.

Utagundua toka uhuru waislamu hawakuwa na shule kabisa walijenga misikiti kila mtaa. Mwinyi alipokuwa madarakani aliwaambia hili. Pili hata baada ya shule za wakristo kutaifishwa hawakuwapeleka watoto wao huko eti zina makanisa hazina madrasa wala misikiti hivyo selikali iwajengee misikiti shuleni tena kwenye shule walizokubali kuziachia wakristo na upole na uelewa wao.

Sasa ata shule zao nyingi usimamizi mbovu. wanalia na necta. Mbona zipo chache kama sakafa na kiseke za mwanza taaluma yao inaimalika. Ila nyingine ni hoi kweli.

Vyuo vikuu wanacho kimoja tena cha kupewa tu. Na zaidi kimekosa vigezo kikajitoa kwenye mfumo wa TCU. Wakristo wanavyo zaidi ya 10

Je ipi idadi halisi ya wakristo na waislamu tanzania?

Je hawa waislamu wanaolilia kuonewa na necta matokeo yao ya mitihani ya shule yako vipi? Huwa wanaongoza kila mtihani ya ndani ya shule alafu mtihani wa mwisho wanafelishwa? Kama ni hivyo lete data. Jina la mwanafunzi na matokeo yake toka form one na ya mwisho.

Lete data ya watu wenye elimu kuanzia digrii kati ya waislamu na wakritu. Na pia lete idadi ya watumishi wa uma kati ya waislamu na wakristo.

Ukitaka kuleta usawa wa kidini bila kuchanganua haya nakuona huna akili. Au waislamu wote waliosoma watakuwa na wadhifa. Na wakristo watadili majina angalau wapate upendeleo huo

Naomba utumie akili kuchambua hili sio hisia za kidini
 
jamani mfumo wa utawala tanganyika ni mwendelezo wa utawala wa kurithi toka kwa wenzetu wakoloni,sintasema sana lakini huko kwa wenzetu walimilikiwa na utawala wenye asili ya ukristo uingereza watawala ni wakristo, zaidi ya hapo sheria zote zilizokuwa zinatumika ni kutoka kwa watawala hasa walioko kwaenye biblia e g mussa,pirato na makabila mengine hadi athabu zilitoka huko lakini zimekuwa zikirekebishwa kwa jinsi dunia inavyokwenda,baadae kukawa na mchanganyiko na tabia toka uhindini nazo zikachanganywa,tukumbuke yote haya yalikuwa before crist na after crist na sio muislam .tulipopokea utawala toka kwa waingereza tayari tabia tulikuwa tumerithi na vitu vingi sana ikewemo culture, taboos na hata leo hao wasilam wanategeme sana kuiga vitu vingi toka kwa wenye asili ya utawala wa ukristo mfano music unaochezwa au kuimbwa leo tz ukiangalia sana una asili ya huko na sio ,,,,, lakini unawapa fedha.wingi kati ya ukristo na uislam wengi ucristo halina mjadala isipokuwa ni ubishi na wengi ambao hawajaenda shule ni waslam sababu dini yao haina msingi wa elimu hii isipokuwa una msingi wa elimu ahera wakasahau kuwa elimu,chakula na dawa = mtu akipata elimu ya dini anakuwa mwerevu.waliosoma sheria hawasumbuki sana haya kwani yako wazi na wanajua sana
 
mfumo kristo upo sana mfano nchi imeshawah kuwa na mawazir wakuu wangap?na nyerere ndo kaanzsha udin huo,.bunge asilimia 85 ni wakristo na serikalin sio ukristo tu bal umetawala ukatoliki...
Kwani hao wabunge wanawekwa na nani na implication yake ni nini? (obvious wanakubalika na wengi bila kuangalia imani yake)
Wengine si wanateuliwa na JK? kwanini asiteue waislam wote/wengi?bila shaka nchi ina taratibu za kuteua kwa kuangalia merit and not imani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom