Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
Je Wahindi waislamu nao wamo kwenye uzuzu huu? Vipi mbona dini zingine kama Hindu au Buddha zilizoko hapa nchini hatujasikia zikilalamikia mfumo Kristo?
 
nadhani inatubidi kukaa chini na kuangalia malalamiko ya wenzetu waislam kwa undani kwani ata kama wanadhani wananyanyaswa nasi tuna wajibu wa kuwafungulia ukweli wa jinsi gani nchi yetu isivyoweza kupanga mipango ya kukandamiza dini nyingine

serikali ya Tanzania haikandamizi dini yeyote ,bali CCM ndio chama kinachochochea udini na machafuko
 
Juzi Chuo kishiriki cha Tiba Bugando kimepandisha kuwa Chuo Kikuu kamili, nadhani hii itakuwa moja ya ajenda kuonyesha wanaonewa.
 
Kwahiyo wanataka nini?Ama kwa maana halisi,ni nini mapendekezo yao?Kama ni rais mwingine muislam waseme,ccm si wana mtoto wa Mwinyi nadhani.Halafu kuna Malima.Mnao wengi sana.Hivi sasa yuko JK,bado tena kuna Ridhiwani.Wote wana nguvu tu na uwezo wa kuwa Rais kama hayo ndo wanataka.Kama waliweza kutoa mwongozo huko Igunga uliowapa kiongozi wanayemtaka,sioni kwanini wana wasi wasi.
The last time i checked,CDM haijawahi kushika madaraka ya nchi.
 
Hawa waislamu kweli ni machizi, wanadhani hiyo misamaha ya kodi itawafikia wakati hawana kitu. Hawana hospitali za kutosha, shule, vyuo sio desturi yao halafu wanataka msamaha wa kodi. Hata hiyo misamaha ukifuatilia item kwa item utakuta misamaha ya waislamu mingi ni kwenye tende walizoingiza wakati wa mwezi mtukufu wakati upande wa pili ni kwenye madawa ya mahospitalini na vifaa vya kujengea vyuo na mashule.

Ndugu umenipa sababu nyingine ya kuichukia CHADEMA! Kwa mtindo huu nyinyi hamuwezi kupiga kura na unaowaita ,"machizi". Waislamu hawawezi kuwa daraja la wakristo chini ya CHADEMA kufikia malengo yenu! Hapa CCM itaongoza milele au nchi itagawanyika kwa misingi ya kidini!
 
Jana kuna Member humu anajíita Zenji aliaandika 'Mwl Jk alipo kufa waislam tulifurahi sana, huyu kafiri alikandamiza uislamu tunaomba huko aliko aongezewe adhabu' huyu jamaa alimtukana sana mzee wa watu na kumwombea mabaya wakati ameshakufa nae bado anaishi. Kiukweli tangu nimejiunga Jf sijawahi kusoma kitu design hii, na kiliniumiza, jamani kiukweli mjitahidi watoto wenu wapate elimu sio elimu ya madrassa inayopotosha watoto.
 
Ok waswe, tutairusha soft copy ikipatikana. hakuna hata "thinker mmoja" aliyetazama attachment. wengi wao wanabwabwaja tu. if Great thinkers are like this....!!! maliza mwenyewe.
 
Ndugu zangu wanasiasa watatupeleka pabaya,mwancasa aliefilika kwa hoja yupo tayari kuingiza
udini
ukabila
hali zetu.
2kikosa elimu na uwezo wa kutathmin mambo tutafika h2a 2naunga hoja ambazo ni hatari kwa taifa le2 mfano hili la waislam kujidanganya wanaonewa hapa tz na wakristo,siasa chafu tusiendekeze wala kupokea ktk fikra zetu
 
JUMAPILI HII Maelfu ya WAISLAM wamekutana katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuazimia namna nzuri ya kujitatulia matatizo yao yanayosababishwa na walichokiita "mfumo kristo".

Mada kuu ilikuwa ni kuzindua kitabu (cover and some pages attached) kinachotoa ushahidi wa madai yao na Pia wamechukua maazimio ya kujitatulia shida zao kwa njia iliyo nzuuuuuuuuri.

tukipata soft copy ya kitabu chote tutawarushia ma thinker wa jamii forums mkichambue.
Sina cha kuchangia mpaka nisome kitabu kizima word by word. No research, no right to write or speak.
 
JUMAPILI HII Maelfu ya WAISLAM wamekutana katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuazimia namna nzuri ya kujitatulia matatizo yao yanayosababishwa na walichokiita "mfumo kristo".

Mada kuu ilikuwa ni kuzindua kitabu (cover and some pages attached) kinachotoa ushahidi wa madai yao na Pia wamechukua maazimio ya kujitatulia shida zao kwa njia iliyo nzuuuuuuuuri.

tukipata soft copy ya kitabu chote tutawarushia ma thinker wa jamii forums mkichambue.

Mkuu, mimi naona wamefanya vizuri sana walivyokutana ili kujadili mustakabali wao kuhusu huo mfumo unaosemekana ni "mfumo Kristo". Nimeona ktk hizo attachments ukurasa unaozungumzia misamaha ya kodi. Nadhani ni moja ya malalamiko yao.
Lakini wangefanya jambo la maana sana kama wangemuita ashiriki pia, waziri wa fedha ambaye ndiye pekee kwa mujibu wa katiba na sheria zetu mwenye mamlaka ya kutoa misamaha ya kodi kwa makampuni na mashirika yanayoomba misamaha hiyo. Ili naye atoe ufafanuzi kwa nini anawapendelea wakristo. Vinginevyo walitakiwa wajadili bila kulalamika kwamba wanaonewa, bali wajiulize kama kweli wanaonewa ni katika maeneo yepi na wafanye nini ili kujikwamua. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwamba tunaye Mhe. Rais Muislam na viongozi wengi ni mchanganyiko wa dini, vinginevyo ingekuwa taabu zaidi. Wasi wasi wangu isije tukafikia mahala tukasema kwa nini viongozi wengi ni wa ukanda fulani kuliko kanda zingine, au kwa nini wanapendelewa waislam wa ukanda wa pwani zaidi kuliko bara. Tusifike huko, tuchukue tahadhari mapema. Udini ni dhambi, Mungu anawapenda wote, vinginevyo angeua wote wakabaki waislam tu duniani.
 
Kuna kipindi cha Mwangaza wa Jamii kinachorushwa sasa hivi redio imaan 104.4
Kinazungumzia jinsi kanisa linavyoangamiza uchumi wa nchi

ni mjadala mkali kweli kweli.
Washiriki ni wasomi na kiislam waliosoma vyuo vikuu mbali mbali nchini wakiwemo UDSM. UDOM na MZUMBE
 
kinachosikitisha mjadala ni wa kichochezi na hauna takwimu zilizo fanyiwa upembuzi mfano eti zanziba waislamu wako asilimia 99.99.
 
Naushangaa huo mfumo kristo wanaoulalamikia kila siku katika nchi inayoongozwa na rais mwislamu na makamu wake pia mwislamu. Ingekuwa rais ni mkristo mbona ingekuwa balaa!!!
 
nina mashaka sana na uelewa wao pia aina ya elimu waliyo nayo

kwa sababu nchi hii haiongozwi na askofu au mchungaji
 
Kunakipindi cha mwangaza wa jamii
Washiriki ni wasomi wa kiislam Pia ni wahadhiri wa Chuo kikuu cha waislam morogoro
Kinazungumzia kuhusu Hujuma za NECTA kuwafelisha waislam kwa makusudi. kinajarabu kutoa usahidi na wanafunzi walikoumbwa na sakata hilo


ni FM 104.4
 
Mfumo kristo umeletwa na ccm,cha kushangaza waislam bado wanaikumbatia ccm huku haina manufaa kwa maendeleo ya nchi
 
Kunakipindi cha mwangaza wa jamii
Washiriki ni wasomi wa kiislam Pia ni wahadhiri wa Chuo kikuu cha waislam morogoro
Kinazungumzia kuhusu Hujuma za NECTA kuwafelisha waislam kwa makusudi. kinajaribu kutoa ushahidi na wanafunzi waliokumbwa na sakata hilo
ni FM 104.4
Hapa ndipo penye umuhimu zaidi! kama unaweza ku refute ushahidi walioutoa basi fanya hivyo au kaa kimya!
Nikukumbushe tu kuwa Nape alisema atamlinda Ndalichako (the same Nape ambaye alipobanwa kidogo tu na waandishi wa habari alikuwa akilialia "jamani nimewafanya nini kijana mwenzenu", ujue kuwa si Nape peke yake), hivyo Ndalichako sasa ni untouchable, matokeo yake amefanya madudu mengine kuhusu uvujaji wa mitihani na bado ataendelea na mengi tu kwa sababu analindwa........ni wakati sasa kwa Waislamu nasi tuwalinde wetu.
 
Nasikia maneno mengi, nothing concrete. Lawama nyingi bila ushahidi, mara sensa mara NECTA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom