Ningekuwa Dkt. Mwigulu ningekubali mdahalo na Mpina ili kuonesha Ukomavu wa Demokrasia ndani ya CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
PhD holder yoyote midahalo ni sehemu ya maisha kama ilivyokuwa kwa Prof. Lipumba huko Duniani.

Ningekuwa Dr. Mwigulu PhD nisingeipoteza fursa hii adhimu ya Mdahalo kati ya Waziri wa Fedha wa CCM na Mbunge wa CCM ambaye ni Waziri wa zamani.

Sisi Wakristo mdahalo wa Yesu Kristo na Shetani pale Mlimani uliimarisha zaidi Imani yetu kwa Mungu wa Mbinguni na Mwana wake Masihi wa Mungu Yesu Kristo.

Nawatakia Baraka tele😀
 
Watu wamepora fedha nyingi sana, hakuna haja ya Mdahalo Mwigulu na wenzake wasimamishwe Kizimbani wakipatikana na hatia wafilisiwe kisha wafungwe vofungo virefu ili uwe mfano kwa vizazi vijavyo.
 
Unakumbuka TRAB na TRAT?

Mwigulu hana hamu na Mpina, anatamani jamaa awe anazimiwa mic akiingia bungeni bahati mbaya ndio haiwezekani, amwshabanwa akapaniki akatoa majibu ya kila aina, ya ...

- Hasira.

- Dharau.

- Kejeli.

- Kiburi.

Lakini Mpina ndio anazidi kuchoma sindano zake kwa mgonjwa.
Hii vita ni hatari sn
 
PhD holder yoyote midahalo ni sehemu ya maisha kama ilivyokuwa kwa Prof. Lipumba huko Duniani.

Ningekuwa Dr. Mwigulu PhD nisingeipoteza fursa hii adhimu ya Mdahalo kati ya Waziri wa Fedha wa CCM na Mbunge wa CCM ambaye ni Waziri wa zamani.

Sisi Wakristo mdahalo wa Yesu Kristo na Shetani pale Mlimani uliimarisha zaidi Imani yetu kwa Mungu wa Mbinguni na Mwana wake Masihi wa Mungu Yesu Kristo.

Nawatakia Baraka tele😀
Mkuu, hivi thesis ya mh. Mwiguru inapatikana wapi?
 
PhD holder yoyote midahalo ni sehemu ya maisha kama ilivyokuwa kwa Prof. Lipumba huko Duniani.

Ningekuwa Dr. Mwigulu PhD nisingeipoteza fursa hii adhimu ya Mdahalo kati ya Waziri wa Fedha wa CCM na Mbunge wa CCM ambaye ni Waziri wa zamani.

Sisi Wakristo mdahalo wa Yesu Kristo na Shetani pale Mlimani uliimarisha zaidi Imani yetu kwa Mungu wa Mbinguni na Mwana wake Masihi wa Mungu Yesu Kristo.

Nawatakia Baraka tele
Mpina ana akili kuliko Mwigulu, Mwigulu ashukuru Mungu wake wa Msoga lakini nje ya hapo angekuwa anauliza maswali ya nyongeza na kuomba miongozo Bungeni.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
PhD holder yoyote midahalo ni sehemu ya maisha kama ilivyokuwa kwa Prof. Lipumba huko Duniani.

Ningekuwa Dr. Mwigulu PhD nisingeipoteza fursa hii adhimu ya Mdahalo kati ya Waziri wa Fedha wa CCM na Mbunge wa CCM ambaye ni Waziri wa zamani.

Sisi Wakristo mdahalo wa Yesu Kristo na Shetani pale Mlimani uliimarisha zaidi Imani yetu kwa Mungu wa Mbinguni na Mwana wake Masihi wa Mungu Yesu Kristo.

Nawatakia Baraka tele
Ajaribu aumbuke
 
Back
Top Bottom