Derimto..................Happy Birthday

HB Derimto

Sijui mi besdei yangu nani ataianzishia sredi??:lol:
 
Happy birthday mkuu. Uongeze mengine mingi kwa afya, mafanikio na furaha
 
Ah kumbe ulikuwa bado hujaniuliza Laaziz?? Mwenzio nshaanza kufungasha!! ...........Haya nimestopisha uniulize basi.

Asali wangu huko hatuhitaji mabegi ni vinguo vichache vinywaji kadhaa hasa maji na mswaki pamoja vyakula vya kia aina malazi ni kwenye gariiiiiiiii! Natafuta gari lenye kitanda tulinyanyue zetu
 
......................Mh mwanaume wa kibantu ni wa kibantu tu...............yaani badala ya kusema ngoja nimtafute MJ1 tujifiche tufungue wote we unanbagua...................Nirudishie birthday yangu.

Tulia nasi si unajua utaratibu wa kiafrica utapata cha kwako we vuta pumzi kidogo hapo sebuleni na wageni wakati mie natafuta chemba ya kwenda kuifungulia hii zawadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom