CV ya Freeman Mbowe hii hapa

Status
Not open for further replies.
Acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna CV za kina Prof Majimarefu, Lusinde, Kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona CV ya Mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache Watanzania tuwajadili viongozi wetu.

double standard.ni ujinga kutoruhusu mtu wako ajadiliwekwakuwa unampenda
 
kama cv yake ni hii aligombeaje u raisi wakati sheria ilikuwa inataka mgombea awe na angalau digrii?
 
Ritz na magamba wenzako, mbona mnajadili hewa? Kwani hiyo CV ya Mbowe iko wapi? Mbona inafahamika kwamba wanao-update tovuti ya Bunge ni vilaza ambao hawajui wajibu wao? CV za wabunge wengi kwenye hiyo tovuti hazipo au hazijakaa sawa sawa. Mimi kwa mfano, nilisoma na Freeman Mbowe darasa moja pale Minaki Kidato cha Tano na Sita tukichukua HGE (1979/81) lakini haijaandikwa kwenye hiyo CV yake katika tovuti hiyo ya kichovu ya Bunge. Nyie vipi? Anzeni kwa kuikosoa hiyo tovuti ya Bunge badala ya kuanza kuzusha upuuzi kuhusu Kamanda Mbowe. Nafurahi kwamba Freeman hapendi kujibizana na majuha wa aina yenu.

Wacha porojo kama ulisoma na Mbowe sisi inatuhusu nini hii CV ipo kwenye tovuti ya bunge na Mbowe ni mbunge kwani yeye hajaiona mpaka wewe huwe msemaji wake, basi mpigie simu umwambie.
 
Mods wa jukwaa hili sasa wamekua dhaifu hawana kazi nyingine zaidi ya kupiga watu BAN za uonevu humu ndani na ninashangaa sana sasa hivi Mods mnaacha hizi thread kuhusu CV za wabunge hazina maana yoyote kama kuna mtu anazitaka ni bora aende kwenye tovuti ya Bunge ataona mwenyewe Mods hii kitu rekebisheni Thread za CV hatuzitaki humu ndani

Haha kama nakuona ulivyoyajaza kwenye suruali pole ndugu ndio siasa hiyo
 
kama ungekaa kimya ningesema umetoroka mirembeQUOTE=Ritz;4188421]Acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna CV za kina Prof Majimarefu, Lusinde, Kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona CV ya Mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache Watanzania tuwajadili viongozi wetu.[/QUOTE]
 
Nimeamini kuna watu ukiwagusa humu wanaporomosha MITUSI hasa mbona kwa wengine hamsemi.
Haya O level alikuwa Kolila Secondary (alinitangulia), ameshawahi kufanya BOT keshawahi kuishi New York au tuwaambie na kazi alizozifanya huko? acheni hasira na utoto muwe Bias mwageni CV zake hapa
 
Wateule..acha upuuzi wewe...CV gani unaweka sasa?Umeteuliwa na Magamba nini?
Unashangaza unapoweka Cv ya mheshimiwa ambaye hana Elimu (According to you) halafu Employment status Eti BANK OF TANZANIA,how come?acha ujinga bhana ...
 
Sijui kwa nini unayaweka haya mambo ya Usalama wa Taifa katika CV ya Mbowe,cv ambayo inaonekana haipo.
Lakini ni kweli kabisa kuhusu Usalama wa Taifa. Kwanza lile ni jeshi,lipo hapa,lipo katika kila nchi. Kwa hiyo wakifanya kazi vibaya,hawawenzi kuwa dismantled kwa ujumla wao. Of course mtu akiingia kule hatoki,kama vile maafisa wa Jeshi ni maafisa wa Jeshi for life.
Complaint yangu mimi ni kwamba Usalama wa Taifa ipo katika Wizara ya Utawala Bora. Hiyo maana yake nini? Maana yake Usalama wa Taifa wanatazama wapi hakuna Utawala Bora ili warekebishe? Utawala ni administration. Kama wao hawafahamu kuhusu administration wanaweza kukagua Utawala Bora? Wale ni Secret Service,kazi yao ni kutembea karibu na viongozi,ili mtu asiwashamblie viongozi. Au kukusanya intelligence kufahamu kama kuna mtu anatishia usalama wa viongozi. Hizi ni bodygurad activities ambazo hazina uhusiano wowote na utawala bora. Inachotakiwa ni kwamba wao wawe tu excecutioners,watekelezaji,if someone has been pointed out to them kwamba haongozi vema.
Ukisema unataka wasimamie Utawala Bora it means wataiongoza nchi kama inavyoongozwa Usalama wa Taifa,ambayo hatujui inaongozwa vipi,kwa vile mambo ya kule ni siri,hatujui kama kuna manung'uniko au vipi.
Sasa matatizo yanatokea;ingawa it is very clear nchi ipo katika matatizo makubwa ya kiusalama,it is not clear who is to blame;kama wao wanafanya mambo bila kufuata kanuni,au wanapokea amri ambazo sio clear.
 
gamba wewe... tuwekee ya chenge, mwigulu,mkapa,ballali,karamagi,maige,mataka,kafumu,ndulu,werema,jaji wa kesi - lema na mpendazoe,pinda,nape...kisha tuambie cv zao zimeisaidia vipi nchi hii ....then peruuz na kudadis cv za lula da silva, abeid amani karume relate na michango yao kwa watu wao....
wale wote uliowaorodhesha hapo juu hawajatoa mchango wowote ktk taifa hili? We huna macho kweli,propaganda za kijinga kama hizo haziwafikishi popote ,hamna lolote nyie wauza sura tu
 
C.V to me sounds nothing to me , what sounds good is what you have inside your mind. i can make a sweet C.V but empty upstairs. C.V just direct employer to know who you are before Questions you. so to my side C.V are just somebody's words of arrangement

how best can one measure the capability of human kind,how can you judge what lives in a mind of a person, if cv is nothing y is it that mbowe and his freinds used education level by ranking the special seat contestants in order of education. Dont lie the world's best academicians uses cv to learn others. Take him back to sch. I dought if u have a good cv. If happens a learned person abuses his power that can not nullify the good of education. Tunataka wasomi ndugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom