Freeman Mbowe unatuachaje?

lord atkin

Senior Member
Sep 30, 2018
197
683
Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?

Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?

Mnamuogopa??
 
kiuhalisia mbowe akiondoka chama kina kufa mbowe ni mstaaf=rabu anajuwa siasa lisu ana jazba ambayo haitakiwi katika siasa heche ni mbumbumbu wa siasa na anatamaa na madaraka tu akiwa hajy=ui ataenda kufanya nini
 
Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?

Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?

Freeman Mbowe unatuachaje?
Kuwezi serious ,itawezekana vipi Mbowe akabidhi chama wakati yeye ndio ajira yake ya kudumu?
 
Mtoa hoja Mr.Mbowe sio tatizo, wewe pigana na usitegemee upiganiwe, why hujiulizi ccm itaondoka lini madarakani maana hawana cha kujivunia ,elimu imekuwa ICU, wale maadui wakubwa ,UJINGA, UMASIKINI, MARADHI sasa wamepata mjukuu wao RUSHWA, hadi leo huku lingusenguse Sina maji Safi wala salama,nikiugua ni kukimbilia kwa waganga wa kienyeji, waja wazito ni shida mno kwao kujifungua salama, royal families watoto wao wanasoma Canada, UK,USA etc etc, wakihitimu wanarudi na kuendelea kutawa
 
Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?

Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?

Freeman Mbowe unatuachaje?
Nafikiri tukuulizeni ninyi kwamba Bandari mnarudisha lini?
 
Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?

Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?

Freeman Mbowe unatuachaje?
Kwanza limalizike hili la Dpw na katiba mpya ndio tuje kwenye hoja yako.
 
Hatimaye ule mwaka ambao Freeman Aikael Mbowe alitangaza kuwa ataachia Uenyekiti wa CHADEMA na kumkabidhi kiongozi mpya yaani mwaka 2023 umefika na unakaribia kuisha Swali ni Freeman Mbowe unatuachaje?

Mwaka 2023 unakaribia kwisha hakuna hata dalili za uchaguzi ndani ya CHADEMA na haijulikani ni nani mrithi ambaye Mbowe amemuandaa au anatuachia atakayeweza kuvaa viatu vyake?

Freeman Mbowe unatuachaje?
Mwl. Nyerere mwaka 1980 alitaka kuiachia nafasi yake ya uongozi lakini mazingira yakamlazimisha kuahirisha uamuzi huo mpaka ilipofika mwaka 1985.

Hali kadhalika Mh. Mbowe mazingira ya kisiasa ya sasa yanamlazimisha kushikilia nafasi hiyo kwa uchache sana hadi ifikapo mwaka 2030 lakini "pepo" lisipotoka na kusalimu amri basi ni lazima ifike mpaka 2035. Kumbuka kuwa huyu ni mtoto wa ubatizo wa Mwl. Nyerere.
 
Back
Top Bottom