CV ya Freeman Mbowe hii hapa

Status
Not open for further replies.
C.V to me sounds nothing to me , what sounds good is what you have inside your mind. i can make a sweet C.V but empty upstairs. C.V just direct employer to know who you are before Questions you. so to my side C.V are just somebody's words of arrangement
 
hivi hii cv ya Bwana Magwanda ni sahihi ni aibu kwa Rais mtarajiwa 2015 Mimi nashauri atueleze ukweli kwani tunamashaka na ka elimu yake Mr acha usanii
nijulishaine na cv ya jakaya kwani nina mashaka na elimu yake mbona haeleweki na maamuziz yake?
 
Mods wa jukwaa hili sasa wamekua dhaifu hawana kazi nyingine zaidi ya kupiga watu BAN za uonevu humu ndani na ninashangaa sana sasa hivi Mods mnaacha hizi thread kuhusu CV za wabunge hazina maana yoyote kama kuna mtu anazitaka ni bora aende kwenye tovuti ya Bunge ataona mwenyewe Mods hii kitu rekebisheni Thread za CV hatuzitaki humu ndani
 
sina shaka huyu ni gamba aliyeileta hii cv. ameondoa details za msingi zote na kuiacha tupu! hebu tuletee cv kamili please..............
 
Mods wa jukwaa hili sasa wamekua dhaifu hawana kazi nyingine zaidi ya kupiga watu BAN za uonevu humu ndani na ninashangaa sana sasa hivi Mods mnaacha hizi thread kuhusu CV za wabunge hazina maana yoyote kama kuna mtu anazitaka ni bora aende kwenye tovuti ya Bunge ataona mwenyewe Mods hii kitu rekebisheni Thread za CV hatuzitaki humu ndani

Acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna CV za kina Prof Majimarefu, Lusinde, Kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona CV ya Mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache Watanzania tuwajadili viongozi wetu.
 
Sidhani kama ulilazimishwa kuweka CV ambayo haijakamilka, tunaelekea wapi?????????????????????????????????????
 
lakini hata hiyo ni kubwa. ujue huwezi hata kuilinganisha na ya mganga wa kienyeji au muuza karanga
 
Cv, Cv kiyu gani bwana, ni wangapi wanaitwa prof, Dkt lakini hawatusaidii wananchi, wanajaza matumbo yao tu. Tunataka watu wenye uchungu na nchi hii, ambao wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua matatizo kama kina mbowe na Dr magufuli. Waliosoma sanaaaa ndio wanaokula sanaaaa, we do not need them.
CV is nothing to us,Wat we need is wat he has inside hr!The guy is so smart!
 
Mbowe kasoma Secondary gani mbona kaficha? Hawa viongozi mbona wajanja wajanja.
 
USALAMA WA TAIFA
Taasisi hii kwa sasa naona imeshindwa Kazi ya Kulilinda Taifa pamoja na rasilimali zake. Nachofahamu hawa jamaa ilibidi wawe proactive kwenye kuibua pamoja na kupangua njama mbalimbali zenye athari kwa Taifa. Kazi ambayo inatakiwa kufanyika kwa siri huku wakiweka uadilifu mbele ili kuepuka mazingira ya uonevu kwa namna yeyote ile. ......
NB:
"Anayejimilikisha hati ya kutoa roho za wengine ajue nayeye hataishi milele ndani ya dunia hii iliyoumbwa na mwenyezi Mungu"
Mods muwekeeni huyu Thread yake yenye title "Ni sahihi kuendelea kusema tuna usalama wa taifa au tumetengeneza hatari nyingine kubwa zaidi"
 
Nivema tukaepuka kukurupuka. Nani asiejua CV ya Mbowe kuwa angalau kaingia madarasa mpaka University!
 
Acha kulia lia na hoja yako dhaifu hujui maana ya forum mbona kuna CV za kina Prof Majimarefu, Lusinde, Kombe, zinajadiliwa umekaa kimya kuona CV ya Mbowe unatokwa na povu...kama uwezi kuchangia kaa kimya tuache Watanzania tuwajadili viongozi wetu.

sifurahii hata aina ya hizo thread na hapa panageuka kijiwe cha kahawa wakati sehemu ya kuzipata hizo CV si ipo mkuu? kweli kuna matango Pori yamevamia na thread za kijinga, Mods wamelala humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom