CV ya Freeman Mbowe hii hapa

Status
Not open for further replies.
Weka ya baba na mama yako tuanzie hapo. Mvuto hauletwi na CV bali utendaji. Nina uhakika CV za wazazi wetu siyo nzuri kisomi mbona tuna mvuto nao. Acha ujinga
Tatizo lako malezi

Inatakiwa kipindi cha nidhamu kianzishwe nyumbani kwenu
 
Angalia uwezo wa mtu-achana na ma cv.kuna ma profesa na madokta wengi ndani na nje ya nchi lakini ni bure
Mkuu hakuna taifa au chama cha kisiasa kimeendelea kwa uwezo wa ngumbalu lazima wasomi wawepo ili kutunga manifesto za chama n.k

Mnakutatisha tamaa chaso Dodoma ambao tulifljua fika tutapata majibu humu
 
Nimemwambia aweke ya wazazi wake kwanza tuone. Mbona anawakubali, ni kwa vile wanatenda pamoja na kuwa na CV isiyo nzuri kisomi. Wamemfikisha pale alipo bila CV ya maana
In jamii forum " We dare to talk openly "

Tusaidie chaso dodoma
 
Tatizo lako malezi

Inatakiwa kipindi cha nidhamu kianzishwe nyumbani kwenu
Sawa, kumbe mkuki kwa nguruwe,!!! Sijasema tusi lolote let us have a comparative CVology and then make an association study in relation to social outputs between those with good CVs and those without!
 
cv pekee aliyonayo ni mwenyekiti wa maisha wa saccos ya chadema
 
Sawa, kumbe mkuki kwa nguruwe,!!! Sijasema tusi lolote let us have a comparative CVology and then make an association study in relation to social outputs between those with good CVs and those without!
But don't run the reality , jaribu kuwa muungwana maana , masuala ya CV humu yametamalaki na kuhusishwa na uongozi hivyo Mimi Ni kutaka kufaham kiongozi wa KUB , wasifu wake nafikiri swali liko clearly sana

Kwani halina makandokando

Mkuu tusaidie kwa niaba ya wana Chaso Dodoma
 
Hii inawezekana vipi? Mbowe hata high school certificate ya Kitanzania hana yaani ile standard kabisa kwamba unafaulu kidato cha nne mwisho daraja la III ndiyo upate nafasi ya kwenda high school, kama anayo basi itakuwa ya kununua lkn siyo ile standard ya kwetu, ndiyop aweze kushika akili za wanachadema wote tena baadhi nasikia wa PhD, hili linawezekana vipi?
 
wewe nawe bana...mbona yule wa gentleman au low class degree ya uchumi pale mlimani alikuwa anawaongoza maprofesa wote waliopo CCM.....Au nyani haoni kundule
 
wewe nawe bana...mbona yule wa gentleman au low class degree ya uchumi pale mlimani alikuwa anawaongoza maprofesa wote waliopo CCM.....Au nyani haoni kundule

Lakini Mbowe hata mtihani wa Kidato cha nne hakupita, kwa standard yetu ya Kitanzania!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom