CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

Katika kuficha aibu kesho na kuiongopea dunia kwamba kinaungwa mkono Arusha,chama cha wananchi-CUF kimepeleka maelfu ya wafuasi wake kutokea Dar kwenda Arusha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu amekutana na msururu wa mabasi yapatayo saba-7 yakiondoka Ubungo huku yakipambwa bendera za CUF na nyimbo za hamasa za wafuasi hao.
Wachunguzi wa siasa wanasema ni aibu kubwa kwa chama kusafirisha wafuasi umbali wa mwendo wa saa 10 kisa kujaza uwanja na kuhalalisha hila chafu dhidi ya vyama vingine.

Source:Facebook Wall Page-Mwasiwelwa Perfect.

Maelfu ya wafuasi kwenye mabasi saba? Hivi kweli kuna ubongo ama matope kichwani? Halafu hao "wachunguzi wa kisiasa" waliozungumza na mtu asiyeweza kufikiria sawasawa kama wewe ni waakina nani? Waandishi wa Tanzania Daima?
 
kama ni kweli basi itakuwa vichekesho yaani watoke na wanachama wao dar mpaka arusha ili wakawahutubie kwenye mikutano yao heeeh! sasaaa si bora wangefanya mikutano yao dar tu ili kuepuka gharama za usafiri,maladhi,nk labda kama wanasemina huko vinginevyo hao waratibu wa hiyo safari na mikutano wanamatatizo ya akili ...hii sio demoklasia

kuna kazi...!!
 
CDM kuwen makin kuna uwezekano mamluki wakafanya fujo kesho alaf wakaisingizia chadema.
 
Tatizo la CDM ni kile waswahili wanachosema 'Kijiba cha roho' kwani wanapoona wenzao wamefanikia basi wao huwauma sana, huu ni ushadadiaji sana wa siasa bila kujua maana yake ni nini. CDM kila sehemu wanataka wao waonekana ni vinara , hata pale pasipo stahiki mfano misibani na makanisani. Km na cuf na wao wamekubalika arusha shida iko wapi? hii thread imekaa kimajungu, fitna, jazba na kimagumashi zaidi. Nenda kajipange upya , jana mmefanywa vibaya mza leo mmeanza mengine tena

Hivi unaweza kumuonea wivu mbwa akiwa na jike lake?
 
Katika kuficha aibu kesho na kuiongopea dunia kwamba kinaungwa mkono Arusha,chama cha wananchi-CUF kimepeleka maelfu ya wafuasi wake kutokea Dar kwenda Arusha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu amekutana na msururu wa mabasi yapatayo saba-7 yakiondoka Ubungo huku yakipambwa bendera za CUF na nyimbo za hamasa za wafuasi hao.
Wachunguzi wa siasa wanasema ni aibu kubwa kwa chama kusafirisha wafuasi umbali wa mwendo wa saa 10 kisa kujaza uwanja na kuhalalisha hila chafu dhidi ya vyama vingine.

Source:Facebook Wall Page-Mwasiwelwa Perfect.

sasa mabasi 7 yataingia maelfu ya watu!!. Jamani tuweni serious
 
Tatizo la CDM ni kile waswahili wanachosema 'Kijiba cha roho' kwani wanapoona wenzao wamefanikia basi wao huwauma sana, huu ni ushadadiaji sana wa siasa bila kujua maana yake ni nini. CDM kila sehemu wanataka wao waonekana ni vinara , hata pale pasipo stahiki mfano misibani na makanisani. Km na cuf na wao wamekubalika arusha shida iko wapi? hii thread imekaa kimajungu, fitna, jazba na kimagumashi zaidi. Nenda kajipange upya , jana mmefanywa vibaya mza leo mmeanza mengine tena

Hiyo ndoayenu na magamba itawatesa sana
 
Chadema tunakazi kwelikweli yakupambana na hawa wanandoa,mume anatumia polisi,usalama wa taifa,msajili hata majeshi mke anatumia fitna na majungu
 
Katika kuficha aibu kesho na kuiongopea dunia kwamba kinaungwa mkono Arusha,chama cha wananchi-CUF kimepeleka maelfu ya wafuasi wake kutokea Dar kwenda Arusha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu amekutana na msururu wa mabasi yapatayo saba-7 yakiondoka Ubungo huku yakipambwa bendera za CUF na nyimbo za hamasa za wafuasi hao.
Wachunguzi wa siasa wanasema ni aibu kubwa kwa chama kusafirisha wafuasi umbali wa mwendo wa saa 10 kisa kujaza uwanja na kuhalalisha hila chafu dhidi ya vyama vingine.

Source:Facebook Wall Page-Mwasiwelwa Perfect.

Ni kweli kabisa, binafsi nimeona mabasi ma5, yamejaa vijana wenye Tshirt nyekundu, kesho balaa
 
Na nyumba kadhaa za ibada si ajabu zikatumika kuhimiza watu kwenda mkutanoni.

hili limekuwa likitokea najana nilinitinga kwenye nyumba ya ibada tuli hamasishwa kwenda kwenda kumpokea lipumba na baadae tuendekwenye mkutano pia tulipewa vipeperushi..leo tumeambiwa kutakuwa na wasanii kama afande sele...
 
Mkuu nimeku-PM
 
Wekeni picha
603615_3796830481154_1104467570_n.jpg
 
Mkuu wangu kusafirisha watu Dar hadi Arusha kisa mkutano ni ujinga uliopitiliza.

Halafu wakifika hapa Kikatiti wakapopolewa mawe na vijana wa kijiweni watasema wamepigwa na CDM? Werawera karibni Arusha. Msisahau kutembelea Soko la Kilombero!
 
Back
Top Bottom