CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

nimepitia topic zote nilizoziona zinazo husu mkutano wa CUF ulifanyika hapa Arusha nimegundua watu wana chuki sana na CUF lakini nawakumbusha wana chadema siasa sio chuki wala hakuna makosa yoyote watu kutoka dar es salaam kuja hapa Arusha mbona kipindi cha mgogoro wa umeya Arusha mjini walikuja watu kutoka Moshi sikusikia chochote au ndio sera za majimbo lakini siomakosa yenu mulizoea kutawala Arusha bila chama chochote kufanya mkutano lazima mushituke lakini kama ulihudhuria kwenye mkutano hakuna matusi wala kumbeza kiongozi yoyote wa chadema kuweni wastaarabu

Actually we have no time to hate the dead. Tunadeal na CCM kwa hiyo mkewe hawezi kuachwa bila rabsha hata ya kumkanda mume. Halafu zingatia haya;
1. Watu walikuja kutoka Moshi, hiyo ni dalili ya upenzi uliotukuka kiasi mtu anafunga safari ya gharama kwenda kwenye mkutano, hiyo ni tofauti na chama kuwasomba kwa mabasi kwa gharama za chama.

2. Kwenye silabi ya kiswahili, hatuna neno MUSHITUKE, kiswahili kichafu kabisa.

3. Kwenye mashindano ya mbio, unamkimbiza wa mbele yako na sio wa nyuma. Jiulize kwa hali CDM na hali ya CUF, tuna haja ya kudeal na watu.

CUF ni hopeless case. Labda umtafute DOVUTWA mbadilishane mawazo
 
nilimuona yule makamu wa mwenyekiti wa CUF zanzibar akiwaalika wote mjiunge na chama chao. Mnakaribishwa sana wote boko haram, al shabab, al nini sijui nk.

Hamnazo yule, sasa alikuwa anamuomba nani ajiunge wakati wale waliokuwa mbele yake wametokanao Buguruni
 
nimepitia topic zote nilizoziona zinazo husu mkutano wa CUF ulifanyika hapa Arusha nimegundua watu wana chuki sana na CUF lakini nawakumbusha wana chadema siasa sio chuki wala hakuna makosa yoyote watu kutoka dar es salaam kuja hapa Arusha mbona kipindi cha mgogoro wa umeya Arusha mjini walikuja watu kutoka Moshi sikusikia chochote au ndio sera za majimbo lakini siomakosa yenu mulizoea kutawala Arusha bila chama chochote kufanya mkutano lazima mushituke lakini kama ulihudhuria kwenye mkutano hakuna matusi wala kumbeza kiongozi yoyote wa chadema kuweni wastaarabu
Watu kama wewe ni cuf asilia hata jina lenyewe linaashiria hivyo maana unaitwa Boko Haramu. lazima tushtuke maana watu wa Boko Haramu kama ninyi kuja Arusha ni kuhatarisha amani na utulivu wetu, kwani hatutajua ni lini na wapi mtaanzia kujilipua ili kujitoa muhanga.
 
cuf hawawezi mziki wa arusha,kama ulikuwa mjini leo nadhan umeona jinsi cdm inavyopendwa arusha,watu wengi wakitokea mahakani wakielekea ofisi za chadema,kweli cdm arusha ndo habari ya mjini,viva cdm

Ish!! Kwani hujui Kuwait 40% ya wakazi wa arusha. ni kutoka Kili?
 
nimepitia topic zote nilizoziona zinazo husu mkutano wa CUF ulifanyika hapa Arusha nimegundua watu wana chuki sana na CUF lakini nawakumbusha wana chadema siasa sio chuki wala hakuna makosa yoyote watu kutoka dar es salaam kuja hapa Arusha mbona kipindi cha mgogoro wa umeya Arusha mjini walikuja watu kutoka Moshi sikusikia chochote au ndio sera za majimbo lakini siomakosa yenu mulizoea kutawala Arusha bila chama chochote kufanya mkutano lazima mushituke lakini kama ulihudhuria kwenye mkutano hakuna matusi wala kumbeza kiongozi yoyote wa chadema kuweni wastaarabu

Mkuu hiyo thread title na hii content mbona sivielewi...kwa sababu umeandika kana kwamba wachangiaji katika hizo "topic ulizosoma" ni wa CHADEMA!!
 
nimepitia topic zote nilizoziona zinazo husu mkutano wa CUF ulifanyika hapa Arusha nimegundua watu wana chuki sana na CUF lakini nawakumbusha wana chadema siasa sio chuki wala hakuna makosa yoyote watu kutoka dar es salaam kuja hapa Arusha mbona kipindi cha mgogoro wa umeya Arusha mjini walikuja watu kutoka Moshi sikusikia chochote au ndio sera za majimbo lakini siomakosa yenu mulizoea kutawala Arusha bila chama chochote kufanya mkutano lazima mushituke lakini kama ulihudhuria kwenye mkutano hakuna matusi wala kumbeza kiongozi yoyote wa chadema kuweni wastaarabu
Mkuu Boko haram , hawa jamaa CUF Arusha walisoma alama za Nyakati, walijua wazi kuwa wangeleta zile Lugha zao za Mipasho kama za pale Jangwani asee Jombaa hamna rangi wangeacha ona Arusha
 
Last edited by a moderator:
safari hii uchaguzi ar ukirudiwa nacheza kote kote kwa mume nakula pilao na tshirt na cap unaruka kwa bibie nako pilau na na tshirt ikifika uchaguzi tu kura cdm cap napeleka bush kwa mama na baba wakatshirt ntakuwa nimepata dekio langu la ukumbusho
 
Back
Top Bottom