CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

Hata mie nimekutana na mabasi 20 yanakwenda Arusha maeneo ya mlandizi.
 
Katika kuficha aibu kesho na kuiongopea dunia kwamba kinaungwa mkono Arusha,chama cha wananchi-CUF kimepeleka maelfu ya wafuasi wake kutokea Dar kwenda Arusha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu amekutana na msururu wa mabasi yapatayo saba-7 yakiondoka Ubungo huku yakipambwa bendera za CUF na nyimbo za hamasa za wafuasi hao.
Wachunguzi wa siasa wanasema ni aibu kubwa kwa chama kusafirisha wafuasi umbali wa mwendo wa saa 10 kisa kujaza uwanja na kuhalalisha hila chafu dhidi ya vyama vingine.

Source:Facebook Wall Page-Mwasiwelwa Perfect.

Ajali itawaumbua
 
kama ni kweli basi itakuwa vichekesho yaani watoke na wanachama wao dar mpaka arusha ili wakawahutubie kwenye mikutano yao heeeh! sasaaa si bora wangefanya mikutano yao dar tu ili kuepuka gharama za usafiri,maladhi,nk labda kama wanasemina huko vinginevyo hao waratibu wa hiyo safari na mikutano wanamatatizo ya akili ...hii sio demoklasia
 
Kuolewa kuzuri mkuu wangu ni lazima ufuate masharti ya bwana.
 
Mkuu kesho muwe Live kutupa kila kinachoendelea.

Usihofu Mkuu, nitakuwepo maeneo ya Kwangulelo kuanzia saa tano asubuhi nikiwasubiri. Nitaendanao hadi eneo la mkutano! Nashukuru kamchina kangu kanauwezo wa ku"upload!"
 
Katika kuficha aibu kesho na kuiongopea dunia kwamba kinaungwa mkono Arusha,chama cha wananchi-CUF kimepeleka maelfu ya wafuasi wake kutokea Dar kwenda Arusha.Kwa mujibu wa shuhuda wetu amekutana na msururu wa mabasi yapatayo saba-7 yakiondoka Ubungo huku yakipambwa bendera za CUF na nyimbo za hamasa za wafuasi hao.
Wachunguzi wa siasa wanasema ni aibu kubwa kwa chama kusafirisha wafuasi umbali wa mwendo wa saa 10 kisa kujaza uwanja na kuhalalisha hila chafu dhidi ya vyama vingine.

Source:Facebook Wall Page-Mwasiwelwa Perfect.

Kama SSM? Si Arusha hakuna kitu? Kapa!!! Wataweweseka mwaka huu!!! Magamba si wamewamwagia hela ili wazunguke kutuliza ghasia? Ops kuzima moto!!!! Moto wa umeme/petrol hauzimwi kwa maji!!
 
[h=5]Zitto Kabwe
[/h][h=5]Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005
[/h]
 
just kujikaanga kwa mafuta yao! maji ya moto hayaunguzi nyumba!
 
Usihofu Mkuu, nitakuwepo maeneo ya Kwangulelo kuanzia saa tano asubuhi nikiwasubiri. Nitaendanao hadi eneo la mkutano! Nashukuru kamchina kangu kanauwezo wa ku"upload!"

Nashukuru sana mkuu wangu.
 
Kama SSM? Si Arusha hakuna kitu? Kapa!!! Wataweweseka mwaka huu!!! Magamba si wamewamwagia hela ili wazunguke kutuliza ghasia? Ops kuzima moto!!!! Moto wa umeme/petrol hauzimwi kwa maji!!

Kutumika ni kubaya sana mkuu
 
Hawa wanaenda kufanya fujo na anayetafutwa ni chadema wala siyo mkutanoM wametumwa hao cha kufanya ni kuachana nao maana hawataathiri chcochote hapo nyumbani kwa chadema!
 
Kwani CUF ina hasara gani wakati mume ndio anagharamia?

Unapatikana wapi nikupe kinywaji utulize kiu? You nailed it properly!!!! Mambo yanavuja maana kila kitu kimegeuka cha kichina!!! hata usalama wa nchi!!! Baadhi yao nao wanachoshwa ni kwa vile wanaogopoa ku-Kombe (late Imran Kombe).
 
Hawa wanaenda kufanya fujo na anayetafutwa ni chadema wala siyo mkutanoM wametumwa hao cha kufanya ni kuachana nao maana hawataathiri chcochote hapo nyumbani kwa chadema!

Tafadhali viongozi wa chama Arusha kuweni macho.Achaneni na hawa mamluki.
 
Back
Top Bottom