CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

hahahha.nakuonea Huruma, yaani mumeua nchi yenu bure?Hkauna mtanganyika anaemiliki Ardhi zanzibar, hakuna kugombea udiwani hata Ubunge
Hakuna shida ya Ardhi Tanganyika tuna ardhi ya kutosha kabisa tena hata Dar es salaam bado kuna mapori kama msitu wa Pande ambako wanapewa viwanja waathirka wa mafuriko.
Zanzibar nzima ni sawa na jimbo moja tu la Ubungo kura alizopata Mnyika ni sawa na kura alizopata Dr Shein Zanzibar nzima.
 
So what?
 
Ndio unaongea nini hapa, u-tanganyika wangu huwezi kuufuta kwa kuandika hapa JF..

Kuhusu zenj, mimi nawaunga mkono iundwe serikali tatu; na wazenj serikali yao wajitawale; na watanganyika wajitawale; kwenye muungano tunagawana sawa kwa sawa..

Na siku ikianza vita ya mawazo, silaha nk. nitawaunga mkono wazenj kwasababu wanadai haki, siwezi kujiunga kwa wanaopenda kudhulumu na ku-oppress watu..

Sioni ila naona kuwa jambo hili liko karibu sana..kufika

Hiyo ndoto ya serekali tatu sahau. Mngekuwa na akili hiyo msingekubali kuolewa na ccm na sasa mnatekeleza sera zake.

Na sera ya ccm ni serikali mbili na hilo mnalitambua lakini bado mmekubali kuolewa kutokana na tamaa za madaraka na kugundua kwamba hamna uwezo wa kuiongoza zanzibar achilia mbali Tanzania.
 
Hivi huyu si ndio alikuwa anawadanganya Wapemba wenzake? muangalieni leo anavyong'ara mpaka ile sigida yake imefutika na havai tena kazu na baraghashia ni suti kwa kwenda mbele, akiwakuta misukule wake ndio anawadanganya Sawa sawa? na misukule yote ina inaitikia sawaaaa!!

KikweteOpp_Leader_pic00011.jpg
 
Kumbe hoja ya serikali tatu siyo yenu chadema tena? lol

Hakuna chama mwanaume na mwanamke kati ya cuf na ccm; hiyo ni skewed definition kufikia your ill-intention..

CUF wapo kwenye serikali kwa mujibu wa katiba ya zanzibar ambayo bahati mbaya imewakera sana nyinyi chadema..(hata mnataka kupasuka)

Serikali tatu ni sera ya CUF, Chadema na Wataalum wengi wa sheria wameshauri hivyo..sioni ni kwa vipi kusiwe na serikali tatu, na hatimaye serikali ya muungano yenye kutoa fursa sawa kwa pande zote za muungano..

That is the only just cause, yeyote mwenye kupenda haki na mstaarabu atatetea hilo; wapenda dhulma mtashindwa tu..mkuu hata mkichukia..kutakuwa na serikali labda kusiwe na katiba mpya..
 
chuki binafsi
 
kakie HAMAD ukikanyaga wawi Kabla ya March nitavua nguo kweupeeeeeee.nilikuwa wawi nikikupigia simu wakata, utabaki unalala kwenye vyombo vya habari, mahakamani na Huku kinondoni. Mtu anakukimbia kwake?HR kwishnei

Tatizo malaria sugu inaelekea hadi umejiita hvyo still unaugua malaria.....nadhani itakua kichwani hii, Mimi sin a undugu na Hamad Rashid.....natokea bara a.k.a Tanganyika Kama mnavyotamani iwe though haiwezi rudi. Sioni dhambi ya mtu kuishi daslaaam has a ukitilia maanani ndio jiji kuu ktk INJI hii na channel zoooote kubwakubwa za noti zinaanzia hapa. Hamad Rashid ni mwanasiasa wa kweli na anasimamia haki ndio maana naweza kumsapoti. Funguka ww mambo ya kuitana amiii amii kinafiki mm cyawezi.....na hat a Hamad rashid akienda ndivyo sivyo sin a sababu ya kumsapoti.
Harakati za kweli huja na kufanikiwa tu kwa wale wenye nia ya dhati. Unaonekana uko makini lakini jitahidi kuondokana na hizo sera za kuabudu watu.
 
Hiyo ndoto ya serekali tatu sahau. Mngekuwa na akili hiyo msingekubali kuolewa na ccm na sasa mnatekeleza sera zake.
Na sera ya ccm ni serikali mbili na hilo mnalitambua lakini bado mmekubali kuolewa kutokana na tamaa za madaraka na kugundua kwamba hamna uwezo wa kuiongoza zanzibar achilia mbali Tanzania.

Mkuu Mwita Maranya, ni heri kwanza ujue unajadiliana na mtu wa namna gani kwani wapo wengine utadhani chizi, mara oh, wanataka kunya nje ya jengo, mara oh wanataka kuvua nguo na kuziweka kichwani, mara oh mimi blah blah blah...

Hebu shuhudia huu mtiririko;
Mimi mtanganyika lakini ikianza vita ya kujitenga nitajiunga na wazenj
Mwita Maranya said:
Mtu mwenyewe mpemba unamdanganya nani hapa eti we mTanganyika. Hakuna mTanganyika mjinga kama wewe, labda uwe wa kwanza.
Ndio unaongea nini hapa, u-tanganyika wangu huwezi kuufuta kwa kuandika hapa JF..
Tumeshawafundisha kuidai Tanganyika yenu, that was great achievements ever,..

Kaazi kweli kweli...
 
Mkuu Mwita Maranya, ni heri kwanza ujue unajadiliana na mtu wa namna gani kwani wapo wengine utadhani chizi, mara oh, wanataka kunya nje ya jengo, mara oh wanataka kuvua nguo na kuziweka kichwani, mara oh mimi blah blah blah...

Hebu shuhudia huu mtiririko;

Kaazi kweli kweli...

Wewe huwezi kusema kitu chochote maana unasukumwa na mambo mawili makubwa unyerereism na ukristo period; huna hoja zaidi ya hapo..
 
Kumbe hoja ya serikali tatu siyo yenu chadema tena? lol

Hakuna chama mwanaume na mwanamke kati ya cuf na ccm; hiyo ni skewed definition kufikia your ill-intention..

CUF wapo kwenye serikali kwa mujibu wa katiba ya zanzibar ambayo bahati mbaya imewakera sana nyinyi chadema..(hata mnataka kupasuka)

Serikali tatu ni sera ya CUF, Chadema na Wataalum wengi wa sheria wameshauri hivyo..sioni ni kwa vipi kusiwe na serikali tatu, na hatimaye serikali ya muungano yenye kutoa fursa sawa kwa pande zote za muungano..

That is the only just cause, yeyote mwenye kupenda haki na mstaarabu atatetea hilo; wapenda dhulma mtashindwa tu..mkuu hata mkichukia..kutakuwa na serikali labda kusiwe na katiba mpya..

Nikukumbushe tena kwamba ccmB hamuwezi kuchukua uongozi wa nchi hii, kwahiyo wazo la kuunda serikali tatu hamuwezi kulifanikisha.
Chadema tutachukua nchi na tutaunda serikali tatu lakini hatutaruhusu zanzibar kujiunga na OIC, hiyo si sera yetu.
 
Tumeshawafundisha kuidai Tanganyika yenu, that was great achievements ever,..

Nilikuambia tangu awali kwamba wewe ni mpemba ukawa unarukaruka kama kunguru wa zanzibar. Ona sasa ulivyojiumbua mwenyewe!

Naam Tanganyika ni nchi yetu na waTanganyika tutaendelea kuwa na final say katika mustakabali wa Tanzania.
 
Tatizo malaria sugu inaelekea hadi umejiita hvyo still unaugua malaria.....nadhani itakua kichwani hii, Mimi sin a undugu na Hamad Rashid.....natokea bara a.k.a Tanganyika Kama mnavyotamani iwe though haiwezi rudi. Sioni dhambi ya mtu kuishi daslaaam has a ukitilia maanani ndio jiji kuu ktk INJI hii na channel zoooote kubwakubwa za noti zinaanzia hapa. Hamad Rashid ni mwanasiasa wa kweli na anasimamia haki ndio maana naweza kumsapoti. Funguka ww mambo ya kuitana amiii amii kinafiki mm cyawezi.....na hat a Hamad rashid akienda ndivyo sivyo sin a sababu ya kumsapoti.
Harakati za kweli huja na kufanikiwa tu kwa wale wenye nia ya dhati. Unaonekana uko makini lakini jitahidi kuondokana na hizo sera za kuabudu watu.

Kwa kuangalia mtiririko wa post zako na huu uzi ulio uanzisha, wewe ni Hamad Rashid kama c ww mwenyewe bac mtu wako wa karibu. By the way kuondoa propaganda yote hii nenda Wawi tuöne
 
Nikukumbushe tena kwamba ccmB hamuwezi kuchukua uongozi wa nchi hii, kwahiyo wazo la kuunda serikali tatu hamuwezi kulifanikisha.
Chadema tutachukua nchi na tutaunda serikali tatu lakini hatutaruhusu zanzibar kujiunga na OIC, hiyo si sera yetu.

Ala kumbe tatizo lako ni OIC, (meaning hamtaki uislam na waislam), mtaumia sana..mkuu

Baada ya serikali tatu kukamilika, siyo tu Zanzibar itajiunga na OIC bali na Tanganyika pia itajiunga na OIC, tutakuwepo wengi kwa ajili ya maslahi ya dini yetu huku Tanganyika..kutakuwa na vita isiyoiisha ya kiitikadi na silaha when necessary
 
Nilikuambia tangu awali kwamba wewe ni mpemba ukawa unarukaruka kama kunguru wa zanzibar. Ona sasa ulivyojiumbua mwenyewe!

Naam Tanganyika ni nchi yetu na waTanganyika tutaendelea kuwa na final say katika mustakabali wa Tanzania.

Nimeshakwambia mimi ni mtanganyika, lakini kama unataka niwe mpemba (hapa JF) sina shida pia..kwani upemba si kilema

Besides, hayo final say yamekaribia kukatika sasa, soon katiba mpya itawapa haki wazenj, na sisi watanganyika tusio penda opressors tutawa support
 
Kumbe hoja ya serikali tatu siyo yenu chadema tena? lol

Hakuna chama mwanaume na mwanamke kati ya cuf na ccm; hiyo ni skewed definition kufikia your ill-intention..

CUF wapo kwenye serikali kwa mujibu wa katiba ya zanzibar ambayo bahati mbaya imewakera sana nyinyi chadema..(hata mnataka kupasuka)

Serikali tatu ni sera ya CUF, Chadema na Wataalum wengi wa sheria wameshauri hivyo..sioni ni kwa vipi kusiwe na serikali tatu, na hatimaye serikali ya muungano yenye kutoa fursa sawa kwa pande zote za muungano..

That is the only just cause, yeyote mwenye kupenda haki na mstaarabu atatetea hilo; wapenda dhulma mtashindwa tu..mkuu hata mkichukia..kutakuwa na serikali labda kusiwe na katiba mpya..

Kama cuf hamjaolewa na ccm imekuwaje wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi ktk idara na wizara, makatibu wakuu ktk wizara za SUK hakuna mwanacuf, wameteuliwa toka toka ccm peke yake?
 
nilitegemea nguvu kubwa wanayotumia kujitetea juu ya tuhuma zao kwa mh Hamad Rashid wangeitumia Igunga walikopoteza mvuto kwa wapiga kura ingekuwa ni busara,lakini kwa vile ni zidumu fikra sahihi za mwenywkiti wa chama basi mgando wa kifkra hautoisha ndani ya vichwa vyao.Bora Lipumba umepata kazi nzuri isiyo na kelele,katibu wako kapata serikali nia ikiwa ni madaraka kilichobaki kwenu huku bara ni mazishi ya CUF.Igunga walishastuka wakawamwaga bado alfajiri .Amkeni kumekucha imarishani chama chenu msikubali kuwa chama cha msimu
 
Nimeshakwambia mimi ni mtanganyika, lakini kama unataka niwe mpemba (hapa JF) sina shida pia..kwani upemba si kilema

Besides, hayo final say yamekaribia kukatika sasa, soon katiba mpya itawapa haki wazenj, na sisi watanganyika tusio penda opressors tutawa support

Kama unaukana upemba wako sema tu tutakupa utanganyika wala hatuna hiyana.
Ingawa huu ni muendelezo wa tabia zenu za kukana asili yenu tumewaona wengi na kuna mmoja hapa JF huwa anasema tu bila aibu kwamba yeye kawasaliti ndugu zake na kwenda kwa wajomba huko mashariki ya kati. Kwahiyo unapoukana upemba wako sikushangai.
 
Kama cuf hamjaolewa na ccm imekuwaje wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi ktk idara na wizara, makatibu wakuu ktk wizara za SUK hakuna mwanacuf, wameteuliwa toka toka ccm peke yake?

Wote ni wazanzibar na hakuna chama dume wala jike la kuoa na kuolewa hiyo ni skewed definition for your ill-intentions..

walioteuliwa ni wazanzibar wanatumikia wazenj, huwezi ku-perfect system kwa muda wa mwaka au miaka..

Subira ni sifa ya muungwana na muislam, na wazenj ni waislam na waungwana, sasa nyie chadema kinawauma nini kama cuf hawakufaidi? kama siyo hasidi na chuki mkuu?
 
Back
Top Bottom