CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

Hata barubaru alijilipua lakini kila siku yuko busy na mambo ya Cuf as if yeye ndiye msemaji wa maalim seif. Kama na wewe unataka kufuata nyayo si jambo la ajabu.

Muungano ukiendelea kuwepo sahau hiyo ndoto yenu kujiunga na OIC.
Kama mnataka kwenda huko fanyeni kila mnaloweza mvunje muungano, tofauti na hapo Watanganyika tutakuwa na sauti ya mwisho katika maamuzi.

Unajifaraji kuwa mtakuwa na sauti ya mwisho katika thinking kwamba watanganyika mko pamoja?? mimi ni mtanganyika lakini siku ikija vita ya kujitenga zenj ..mimi nitakuwa upande wa zenj..wajitenga

Soon kutakuwa na serikali tatu; ambayo itatoa mamla kwa wazenj kujiunga na OIC; hata kama maranya atachukia
 
Watu gani wamekusanywa kwa malori wewe! Hem ulizia CUF Pemba ikoje, nakuhakikishia hata ifike 2100 ngome ya CUF haitotetereka na sio Pemba tu bali hata Unguja au Zanzibar kwa ujumla, nakupa changamoto ulizia kwao Raisi mstaafu Salmin Amour wananchi wake kuanzia mwaka jana wamefanya nini bila ya kusahau Donge kwao Ali Juma Shamuhuna ambako kwa miaka mingi sana CUF haikuwahi kufanya mkutano hata wa ndani ya matawi.

Hadi sasa bado cuf hamjafanikiwa kufanya mkutano wowote katika jimbo la Ali Juma Shamhuna, nilikuwa huko mwaka jana mwezi january nikaambiwa bado hamjafanikiwa kupenya huko.
 
Unajifaraji kuwa mtakuwa na sauti ya mwisho katika thinking kwamba watanganyika mko pamoja?? mimi ni mtanganyika lakini siku ikija vita ya kujitenga zenj ..mimi nitakuwa upande wa zenj..wajitenga

Soon kutakuwa na serikali tatu; ambayo itatoa mamla kwa wazenj kujiunga na OIC; hata kama maranya atachukia

Hata sasa waTanganyika ndio wenye sauti ya mwisho na itabaki hivyo aidha mnataka ama hamtaki.

Hakuwezi kutokea vita ya wazenji na waTanganyika. Nakuhakikishia hakuna mzenji mwenye akili timamu anayewazia vita na Tanganyika isipokuwa mamluki kama wewe.
 
Hadi sasa bado cuf hamjafanikiwa kufanya mkutano wowote katika jimbo la Ali Juma Shamhuna, nilikuwa huko mwaka jana mwezi january nikaambiwa bado hamjafanikiwa kupenya huko.

chadema vipi mmeshapenya huko? hata katika ngazi ya tawi?
 
Hata sasa waTanganyika ndio wenye sauti ya mwisho na itabaki hivyo aidha mnataka ama hamtaki.

Hakuwezi kutokea vita ya wazenji na waTanganyika. Nakuhakikishia hakuna mzenji mwenye akili timamu anayewazia vita na Tanganyika isipokuwa mamluki kama wewe.

Ujinga ni mzigo vita siyo lazima kupigana ina maana zaidi ya hiyo..na hivi sasa kuna vita vikubwa vya mawazo kuhusu muungano uwe vipi?

Haina mamlaka ki-hivyo; msingekuwa mnalalamika na kuamua kupeleka mapendekezo ikulu (sorry kunywa juice) kuuliza nafasi ya Tanganyika..lol

Time is not the issue..iko siku wazenj wakishika silaha ya kiitikadi; watapata waunganji mkono siyo tu Tanganyika bali dunia kwa ujumla..na siku hiyo mtaachia wenyewe..na zenj itakwenda kufua mbele na kujiunga na OIC, na kuwa Islamic state hata kama mamluki kama maranya atachukia
 
chadema vipi mmeshapenya huko? hata katika ngazi ya tawi?
Chadema iende Zanzibar kutafuta nini wakati lile ni koloni la Tanganyika ambalo tunalitawala kijeshi? na hata Rais wa Zanzibar Tanganyika ndio inaamuwa nani awe Rais, au hujui kuna Rais mmoja anaitwa Jumbe tulimtoa kinguvu na tumemuweka kifungo cha nyumbani Kigamboni?
 
Na hiyo nayo unaiita sifa?, mnaweza ku-maintain injustice for how long?..

Sijawahi kuona dhuluma ikishinda haki, zenj itakuwa huru soon, hata kama matola atachukia..
 
Hii ni sifa kubwa, hapa ndio utajuwa maana ya power, na ndio maana viongozi wa Zanzibar asilimia kubwa wana makazi Dar es salaam lakini hakuna Viongozi wa Tanganyika wenye makazi Zanzibar, hata kama kusoma hujui basi hata picha huoni?
 
Ujinga ni mzigo vita siyo lazima kupigana ina maana zaidi ya hiyo..na hivi sasa kuna vita vikubwa vya mawazo kuhusu muungano uwe vipi?

Haina mamlaka ki-hivyo; msingekuwa mnalalamika na kuamua kupeleka mapendekezo ikulu (sorry kunywa juice) kuuliza nafasi ya Tanganyika..lol

Time is not the issue..iko siku wazenj wakishika silaha ya kiitikadi; watapata waunganji mkono siyo tu Tanganyika bali dunia kwa ujumla..na siku hiyo mtaachia wenyewe..na zenj itakwenda kufua mbele na kujiunga na OIC, na kuwa Islamic state hata kama mamluki kama maranya atachukia

Acha kuniletea uzezeta wako hapa, ile post yako niliyojibu ulikuwa umetumia masaburi kuiandika hata usijue uliandika nini.

Mtu mwenyewe mpemba unamdanganya nani hapa eti we mTanganyika. Hakuna mTanganyika mjinga kama wewe, labda uwe wa kwanza.
 
Usolijua ni kama usiku wa kiza kinene.

Maalim Seif si tu katibu mkuu wa CUF taifa bali pia ni makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Je Hamad rashid ni nani?

maalim ameunguruma kwa nguvu zote manzese na ving'ora kibao , je Hamad rashid kaunguruma wapi? au habari maelezo?

Barubaru mambo ya siasa huyawezi... kafunge vidonda wagonjwa...

Hamad bado anatambulika kuwa ni Mbunge wa Wawi.... Kisheria

Elewa hii nchi inatawaliwa na Sheria kwa hiyo nawe fuata Sheria isemavyo.

Sheria sio ya Kushindana nayo Utachoka mwenyewe tu.
 
Hii ni sifa kubwa, hapa ndio utajuwa maana ya power, na ndio maana viongozi wa Zanzibar asilimia kubwa wana makazi Dar es salaam lakini hakuna Viongozi wa Tanganyika wenye makazi Zanzibar, hata kama kusoma hujui basi hata picha huoni?

Sifa- kufanya injustice??

Hamtawezi ku-maintain hicho kitu..trust me..
 
Hamad bado ni imara na azidi kuwa mwiba mchungu kwa cuf.wakiendeleza mgogoro nae cuf inakufa.
 
Ujinga ni mzigo vita siyo lazima kupigana ina maana zaidi ya hiyo..na hivi sasa kuna vita vikubwa vya mawazo kuhusu muungano uwe vipi?

Haina mamlaka ki-hivyo; msingekuwa mnalalamika na kuamua kupeleka mapendekezo ikulu (sorry kunywa juice) kuuliza nafasi ya Tanganyika..lol

Time is not the issue..iko siku wazenj wakishika silaha ya kiitikadi; watapata waunganji mkono siyo tu Tanganyika bali dunia kwa ujumla..na siku hiyo mtaachia wenyewe..na zenj itakwenda kufua mbele na kujiunga na OIC, na kuwa Islamic state hata kama mamluki kama maranya atachukia

Tulikwenda ikulu kunywa juice na raisi wa Tanganyika. Bila aibu na ninyi ccm B mkakurupuka na kwenda kuonana na raisi wa Tanganyika.

Kwanini hamkwenda kuonana na raisi wenu wa pemba kama unadhani ana mamlaka?
 
Acha kuniletea uzezeta wako hapa, ile post yako niliyojibu ulikuwa umetumia masaburi kuiandika hata usijue uliandika nini.

Mtu mwenyewe mpemba unamdanganya nani hapa eti we mTanganyika. Hakuna mTanganyika mjinga kama wewe, labda uwe wa kwanza.

Ndio unaongea nini hapa, u-tanganyika wangu huwezi kuufuta kwa kuandika hapa JF..

Kuhusu zenj, mimi nawaunga mkono iundwe serikali tatu; na wazenj serikali yao wajitawale; na watanganyika wajitawale; kwenye muungano tunagawana sawa kwa sawa..

Na siku ikianza vita ya mawazo, silaha nk. nitawaunga mkono wazenj kwasababu wanadai haki, siwezi kujiunga kwa wanaopenda kudhulumu na ku-oppress watu..

Sioni ila naona kuwa jambo hili liko karibu sana..kufika
 
chadema vipi mmeshapenya huko? hata katika ngazi ya tawi?

Hapa tunaizungumzia ccm B ya wapemba. Hata mkutano mmoja hamjawahi kufanya jimboni kwa Shamhuna halafu unaleta longolongo za kitoto hapa.

Kama unawashwa na chadema njoo kule kwenye thread zinazoihusu upewe mambo.
 
Tulikwenda ikulu kunywa juice na raisi wa Tanganyika. Bila aibu na ninyi ccm B mkakurupuka na kwenda kuonana na raisi wa Tanganyika.

Kwanini hamkwenda kuonana na raisi wenu wa pemba kama unadhani ana mamlaka?

Tumeshawafundisha kuidai Tanganyika yenu, that was great achievements ever,..
 
Hapa tunaizungumzia ccm B ya wapemba. Hata mkutano mmoja hamjawahi kufanya jimboni kwa Shamhuna halafu unaleta longolongo za kitoto hapa.

Kama unawashwa na chadema njoo kule kwenye thread zinazoihusu upewe mambo.

Chadema ccm-C, nimeuliza mmeshafika huko hata katika ngazi ya tawi? hilo ngumu kujibu au huna jibu?
 
DATA ZAIDI KUTOKA JIMBONI WAWI KUTOKA MKUTANO WA KUMPINGA HAMAD RASHID:Namba za MAGARI yaliyotumika kusafirisha watu kutoka majimbo mengine Kama ziwani,wete n.k ili kumuumbua mhe. Hamad Rashid na kujikuta wamejiumbua wenyewe ni Kama ifuatavyo: Z 632 AF, Z 737 AQ, Z 175 AD na Z 901 BH.Nimeonelea sio vibaya kuwa'update watu ili waone upande wa pili wa shilling. Inasikitisha sana kuona Chama kinaendeshwa kwa matakwa ya watu wachache halafu kiko mbele kuhubiri HAKI SAWA KWA WOTE......haki ipi wanayoijua??!!Malaria sugu, mpemba mbishi, barubaru mpooo?!! Acheni mambo ya kuabudu watu ninyi shauri yen.
 
Back
Top Bottom