CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

Usolijua ni kama usiku wa kiza kinene.

Maalim Seif si tu katibu mkuu wa CUF taifa bali pia ni makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Je Hamad rashid ni nani?

maalim ameunguruma kwa nguvu zote manzese na ving'ora kibao , je Hamad rashid kaunguruma wapi? au habari maelezo?

Hivi si ni maalim Seif huyu aliekuwa anawalaumu viongozi wa Serikali ya CCM kutumia magari ya serkali kwa shughuli za chama? je ni sawa kwa yeye sasa hivi kutumia resource za serikali kwa shughuli za chama? kweli unafki ni ugonjwa mbaya sana.
 
Tatizo ni kwamba wafuasi wa CUF hawajui ni kipi hasa wanachokitaka kifanywe na CUF zaidi ya kuhodhi madaraka.
Ajali ya meli CUF mpaka leo kwa kutumia vikao vya chama haijampa joto Waziri wa usafirishaji ajiuzulu, kwa hili tu sioni tofauti ya utendaji wa CUF na CCM
 
Hawa CUF ni vizuri wakakubali kama wamechemsha kilitosa lile jembe lao, Hamad Rashid alikuwa mtu muhimu sana ndani ya chama hicho. Kimsingi walitakiwa kujibu tuhuma alizotoa na si kumfukuza kwa kufichua UOZO uliomo ndani ya chama hicho, Hii itawacost sana. Nawapa CUF ushauri wa bure: WAMUITE HAMAD RASHID, WAMTAKE RADHI NA KUMJIBU TUHUMA ALIZOTOA HADHARANI:
 
Usolijua ni kama usiku wa kiza kinene.

Maalim Seif si tu katibu mkuu wa CUF taifa bali pia ni makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Je Hamad rashid ni nani?

maalim ameunguruma kwa nguvu zote manzese na ving'ora kibao , je Hamad rashid kaunguruma wapi? au habari maelezo?
Katibu mkuu taifa lipi?!! La zanzibar? Kama Ni hapo nakubaliana na ww..........Katibu Mkuu gani asiyefanya kazi zake upande mmoja wa muungano?!! Aseme basi Kama mnataka INJI yenu tujue moja ikipatikana mtaomba kuingia kwenye jumuia ya east Africa au mtajiunga UAE?!!
hamad rashid Ni kiongozi muadilifu, muwajibikaji, asiye na UCHU wa madaraka na anayesimamia haki. Hana usultani, mwana demokrasia wa kweli mwenye kukubali mabadiliko.
Hamad Rashid Ni kiongozi mwenye uthubutu kwani wenye akili Kama zako Ni wengi ambao mnamapenzi kwa mtu bila kujali Kama analosema AMA kutenda Ni sahihi au la. mmeweka mbele ndio mzee, naona still bado unaishi zile zama za zidumu fikra japo uko Nje.
 
Kwa swifa hizo alistahikhi kuingia Chadema maana CUF hakumfai ndio maana kafukuzwa.

Haya mchagueni awe mgombea mwenza Znz?
 
Habari za kuaminika kutoa Pemba zinasema chama cha CUF kimekosa washirika ktk JIMBONI WAWI ya kumpinga mh. Hamad Rashid na matokeo yake Ni kwamba imewalazimu kutafuta njia mbadala na kuitisha mkutano wa hadhara Pemba nzima kikiendelea na zoezi lake la kujitakasa mbele ya wanachama wake kwa kitendo cha kuwafukuza Hamad Rashid na wenzake.
ili kufanikisha zoezi ile CUF almaarufu Kama CCM "B" (kwa kutumia tekniki ile ile ya kiccm) wamekodisha malori kutoka kona zote za Pemba kusudi wapate watu wengi kuonyesha zoezi Lao limefanikiwa.

Nani huyo wa kuaminika ambaye kakupa hizi habari!? Usiandike ambacho hukijui, mimi nipo hapa Wawi na nawathibitishia wana ukumbi kwamba hichi ulichokiweka ni uzushi ambao umeutunga tu, hujaupokea kutoka kwa mtu yeyote! Wewe kama umetumwa na Hamad Rashid (Ami yangu) mwambie aje hapa nyumbani angalau tumuone sio awe anasìnda kisutu tu, mwambie aje raia tuna hamu naye!
 
Hamad Rashid WAWI anaina kama Moto, akifika zomeazomea
Malaria sugu utaumbuka......tuko hapa.....nawahakikishia kuwaletea habari kila tukio siku hamad rashid anaenda Pemba tuone Kama kweli kaumbuka AMA kaumbua watu. Na ishara ndio Kama hivyoooo JIMBONI CUF wagomewa na wananchi kuandamana kupinga hicho walichokiita uasi......kuzibaziba mashimo ndio haoooo wanaitisha Pemba nzima sasa.
 
Nani huyo wa kuaminika ambaye kakupa hizi habari!? Usiandike ambacho hukijui, mimi nipo hapa Wawi na nawathibitishia wana ukumbi kwamba hichi ulichokiweka ni uzushi ambao umeutunga tu, hujaupokea kutoka kwa mtu yeyote! Wewe kama umetumwa na Hamad Rashid (Ami yangu) mwambie aje hapa nyumbani angalau tumuone sio awe anasìnda kisutu tu, mwambie aje raia tuna hamu naye!
mpemba sikia!!!!!!!!! wengi tunaumia kwa kuzorota kwa CUF
ILA UKWELI UNABAKI PALEPALE KUWA CUF hawajulikani hasa ni kipi wanachokisimamia kwa maslahi halisi ya taifa. Hili limeipa Cuf shida kukubalika hasa kutoka kwenye kundi la wasomi wanaopenda kudadisi mambo kwa kina.
Baadhi ya misimamo ya CUF inashangaza na inaleta shida kujua CUF ipo kwa maslahi ya wanainchi au watawala?????????
 
Pamoja na kashkash zote zinazomkuta Hamad Rashid na pamoja na 'kuminywa' kwa demokrasia ambako pengine panawezakuwa palifanywa na CUF, Hamad Rashid aende Pemba tuone!!! anavuna alichopanda. KAMA MTAKUMBUKA YEYE NDIYE KIONGOZI WA KAMBI NDOGO YA UPINZANI BUNGENI AKISAIDIWA NA NAIBU WAKE KAFULILA...CDM wakawa wanakataa kuungana na hivyo vyama (kwa wakati ule kwanza) ili wakubaliane katika maeneo muhimu flan flani lakini ni HAMAD NA KAFULILA waliokataa kata kata waking'ang'ania kambi mbili ama kubadilisha kanuni za BUNGE; walifanikiwa moja lakini wakaonywa...haya sasa wako wap????

Naamini kwamba ktk demokrasia kuna kukubaliana katika kutokubaliana (cjui niko sahihi) kwa hiyo inawezekana Hamad kama ilivyokuwa wakati wa kuunda kambi ya upinzani, inawezekana CUF walimuonya akagoma na kuifanya shingo yake kuwa ngumu akiamini kwamba ndiye pekee anaweza kuwa sahihi; nadhani sekeseke hili ndani ya vyama vya siasa esp NCCR NA CCM 'B' (kama alivyosema Shoka) linatusaidia kuwajua wabunge wetu vzr zaidi. tusubiri
 
mpemba sikia!!!!!!!!! wengi tunaumia kwa kuzorota kwa CUF
ILA UKWELI UNABAKI PALEPALE KUWA CUF hawajulikani hasa ni kipi wanachokisimamia kwa maslahi halisi ya taifa. Hili limeipa Cuf shida kukubalika hasa kutoka kwenye kundi la wasomi wanaopenda kudadisi mambo kwa kina.
Baadhi ya misimamo ya CUF inashangaza na inaleta shida kujua CUF ipo kwa maslahi ya wanainchi au watawala?????????

Wasomi wa nchi gani hao unaowazungumzia wewe? Kama ni Wasomi wa Kitanganyika mimi sitokua na haja ya kuendeleza mjadala na wewe tena, na tayari utakua umeshachukua ushindi.
 
mpemba elewa!!!hamna mwenye hati miliki ya CUF ZAIDI YA WANAINCHI
CUF ilianzishwa kuwasaidia wanainchi wa tanganyika na zenji

huku bara kuna hatari kubwa ya kuporomoka democrasia ikiwa cdm watafanya SUK na ccm bara in feature so mahali salama pa kukimbilia ingekuwa ni CUF ili tuiadhibu CDM + CCM ikiwa wataungana.

Mfano kwa sasa wazenji hawana mtetezi simply bcs maalim seif juzi alisifia maendeleo yaliyopo zenji ktk kipindi cha miaka 48.
CUF lazima wabadilike huku bara atapata wafuasi wengi vyuo vikuu ikiwa atawaongoza wabunge wake watetee maslahi halisi ya taifa japo kwa miaka miwili.Kinyume na hapo burian CUF
 
UPDATE PEMBA:
CUF yatoa watu majimbo ya Ole, Chonga, Chakechake, Ziwani na maeneo mengine kama punjini etal, baada ya Wawi kugoma wakisema wangeandamana endapo tu ingekuwa ni kwa kupinga bei ya mchele na mahitaji mengine kupanda, na sio kuandamana eti kumpinga mbunge wao wanaempenda na anayewasaidia hadi gharama za kulimia. inasemekana watu waliohudhuria mkutano huo ni kama 100 hii si aibu hii.
 
Habari za kuaminika kutoa Pemba zinasema chama cha CUF kimekosa washirika ktk JIMBONI WAWI ya kumpinga mh. Hamad Rashid na matokeo yake Ni kwamba imewalazimu kutafuta njia mbadala na kuitisha mkutano wa hadhara Pemba nzima kikiendelea na zoezi lake la kujitakasa mbele ya wanachama wake kwa kitendo cha kuwafukuza Hamad Rashid na wenzake.
ili kufanikisha zoezi ile CUF almaarufu Kama CCM "B" (kwa kutumia tekniki ile ile ya kiccm) wamekodisha malori kutoka kona zote za Pemba kusudi wapate watu wengi kuonyesha zoezi Lao limefanikiwa.

Naona umeamua kujifari na kujiliwaza hivi unawajua wapemba wewe? Labda nikupe habari tu lile trekta aliotoa kwa wanakijiji wamemrudishia lipo kwa mama yake!
 
mpemba elewa!!!hamna mwenye hati miliki ya CUF ZAIDI YA WANAINCHI
CUF ilianzishwa kuwasaidia wanainchi wa tanganyika na zenji

huku bara kuna hatari kubwa ya kuporomoka democrasia ikiwa cdm watafanya SUK na ccm bara in feature so mahali salama pa kukimbilia ingekuwa ni CUF ili tuiadhibu CDM + CCM ikiwa wataungana.

Mfano kwa sasa wazenji hawana mtetezi simply bcs maalim seif juzi alisifia maendeleo yaliyopo zenji ktk kipindi cha miaka 48.
CUF lazima wabadilike huku bara atapata wafuasi wengi vyuo vikuu ikiwa atawaongoza wabunge wake watetee maslahi halisi ya taifa japo kwa miaka miwili.Kinyume na hapo burian CUF
waTZ wooote tungekuwa na uelewa kama wako maria nchi tungeshaikomboa hii kutoka kwa mafisadi, lakini akili fupi kama hizi za mpemba mbishi ndio mara zote huwa vikwazo ktk maendeleo ya taifa hili changa. haya mambo ya kwenda kuzoazoa watu wa majimbo mengine huko ili tu mmuumbue mtu mmoja naamini yasingekuwepo kabisa. wajiulize hao kina Juma Duni na wengine waliopo madarakani hivi sasa wamefanya nini? hoja alizotoa hamad rashid wamezijibu lini? na wapemba wamefaidika nini na uwepo wa CUF madarakani toka mwaka 1995 hadi leo, je? kuna mabadiliko yeyote yaliyotokea ama ndio yale yale ya ccMfsdi?
 
UPDATE PEMBA:
CUF yatoa watu majimbo ya Ole, Chonga, Chakechake, Ziwani na maeneo mengine kama punjini etal, baada ya Wawi kugoma wakisema wangeandamana endapo tu ingekuwa ni kwa kupinga bei ya mchele na mahitaji mengine kupanda, na sio kuandamana eti kumpinga mbunge wao wanaempenda na anayewasaidia hadi gharama za kulimia. inasemekana watu waliohudhuria mkutano huo ni kama 100 hii si aibu hii.

Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Hii inanikumbusha ile habari ya Member Mwingereza na maandamano ya Washington! Ya kumpinga JK
 
Naona umeamua kujifari na kujiliwaza hivi unawajua wapemba wewe? Labda nikupe habari tu lile trekta aliotoa kwa wanakijiji wamemrudishia lipo kwa mama yake!
kwanza mama yake amefariki tangu mwaka 2008, pili trekta liliuzwa na mkutano mkuu wa jimbo na fedha kugawanywa kwa kila tawi {matawi 21} kila tawi likapata tshs. 425000/=. Zilizobaki walilipwa dereva na mafundi kutoka karakana ya serikali.
Ukitaka kuthibitisha hili nenda matawini utapata ukweli
Acha UKASUKU.......nionavyo mimi kwa pointi dhaifu kama hii ya trekta ninyi ndio wapotoshaji wenyewe kama haoo wanaofanya mikutano kwa kukusanya watu huku na kule ili tu kumuumbua mtu mmoja. Jibuni hoja
 
Back
Top Bottom