Mzimu wa Hamad Rashid: CUF Mwanza yameguka, zaidi ya wanachama 1,000 wajitoa

hasan124

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
716
128
Zaidi ya wanachama 1000 wa chama cha wananchi CUF wa jijini Mwanza wamejivua uanachama wao Leo wakiweka wazi kumuunga MKONO Mbunge wa WAWI Mhe. Hamad Rashid na pia kuonyesha ni namna gani wamechoshwa na uongozi wa kidikteta uliopitiliza katika chama hicho.

Hali hii inaonyesha wazi kuwa ile dhamira ya viongozi wa chama hicho ya kutoweka nguvu bara ilivyokiathiri chama hicho.

Habari za ndani zinadai kuwa Huu Ni mwanzo tu kwani kuna uwezekano mkubwa wa wanachama na viongozi wa kubwa zaidi ndani ya chama hicho kujiondoa wakimuunga MKONO hamad rashid na fununu zaidi zinasema wimbi hili linaweza kuendelea katika mikoa ya tanga, dar es salaam na mingine mingi ambayo ndio Kama base ya chama hiki kwa bara.

Habari za uhakika zinasema waliojiondoa Ni pamoja na viongozi waandamizi wa chama hicho JIJINI......habari zaidi tazama star tv jioni ya Leo.
 
Hehehe karibu kwenye chama chenye nia ya kweli ya kuwakomboa wananchi wa Tanzania katika lundo hili la umasikini [ CHADEMA]
 
Labda CCM A

Mimi nadhani watajiunga na CCM A2 aka CHADEMA, na kabla ya kujiunga itawabidi wakaonane na mukubwa wa Magwanda ili awafungishe safari hadi Magogoni wakapate Baraka za Mkuu wa kaya kwani naona CHADEMA wameshakua watoto wa Ikulu; wanaingia hadi usiku sasa!
 
Zaidi ya wanachama 1000 wa chama cha wananchi CUF wa jijini Mwanza wamejivua uanachama wao Leo wakiweka wazi kumuunga MKONO Mbunge wa WAWI Mhe. Hamad Rashid na pia kuonyesha ni namna gani wamechoshwa na uongozi wa kidikteta uliopitiliza katika chama hicho.

Hali hii inaonyesha wazi kuwa ile dhamira ya viongozi wa chama hicho ya kutoweka nguvu bara ilivyokiathiri chama hicho.

Habari za ndani zinadai kuwa Huu Ni mwanzo tu kwani kuna uwezekano mkubwa wa wanachama na viongozi wa kubwa zaidi ndani ya chama hicho kujiondoa wakimuunga MKONO hamad rashid na fununu zaidi zinasema wimbi hili linaweza kuendelea katika mikoa ya tanga, dar es salaam na mingine mingi ambayo ndio Kama base ya chama hiki kwa bara.

Habari za uhakika zinasema waliojiondoa Ni pamoja na viongozi waandamizi wa chama hicho JIJINI......habari zaidi tazama star tv jioni ya Leo.
Kama vile habari za kutunga vile....
 
Hamad Rashid amerejea tena hapa mgengoni! Huyu kijana alihadaliwa na usiku wa kiza na badala yake alikunya njiani na sasa kumepambazuka anaona aibu! Wewe umeona wapi ng'ombe akachinjiwa mkiani!
 
Utabaki na fikra zako hizohizo potofu.....lakini kaa ukijua mpasuko Ni mkubwa kuliko ww na haoooo wanaokutumia mnavyofikiri........4tha first time since multipartism iingie TZ (1st election 1995) Pemba lazima itapata wawakilishi na wabunge kutoka mbali na hicho chake cha Chuki Uadui na Fitna...Umeisoma hiyo MPEMBA?!!! Teh teh
 
Kama vile habari za kutunga vile....

Hakitungwi kitu hapa yegella....muulize hata mpemba mbishi atakupa data......ww subiri tu kesho nahisi utasikia zaidi ya hiyo.......mjini hapa......nasikitikia tu hawa jamaa wa cuf.......kujenga wamejenga pamoja then ghafla ooh!! Tunatoa uozo.......
Leo hii Jusa anadai Hamad Rashid Ni uozo?!! Kwa taarifa yake na wooote wanaodhani hvyo imekula kwao kwani uozo ndio utakao baki ndani na wasafi ndo hivyoooo tena wanatoka tartiiiiiibu.
 
Kama vile habari za kutunga vile....

Hapana Mkuu, labda kama imetungwa na vyombo vya habari. Nimeiona pia kwenye muhtasari wa habari StarTV jioni hii saa 12:00. Nadhani kama sijakosea ni kama wananchama wa CUF 1260 hivi kutoka wilaya ya Ilemela jijini Mwanza. Its genuine.
 
Huwa sibahatishi kwani najua umakini wa Wana JF hivyo vitu vya kubuni havina nafasi ktk kichwa changu
 
Hamad Rashid amerejea tena hapa mgengoni! Huyu kijana alihadaliwa na usiku wa kiza na badala yake alikunya njiani na sasa kumepambazuka anaona aibu! Wewe umeona wapi ng'ombe akachinjiwa mkiani!

utahangaika sana....hujamalizana na tibaijuka, ushahamia huku.
Cheap, bei ya kongoro.
 
Sina hakika kama CUF ina idadi ya wanachama kama hao Mwanza,hii stori ya kutunga kutoka kwa mashabiki wa HR.

Dah! Umetisha, nguvu ya cuf Ni juzijuzi tu 2010 imeshushwa na CDM hvyo kaa ukielewa ule ndio ulikua mwanzo wa mwisho wa ChukiUbinafsiFitna.......inaonyesha wanachama wake walikipenda ila tunamjua aliyekipenda zaidi...
 
Back
Top Bottom