CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

Mkuu Mwita Maranya, ni heri kwanza ujue unajadiliana na mtu wa namna gani kwani wapo wengine utadhani chizi, mara oh, wanataka kunya nje ya jengo, mara oh wanataka kuvua nguo na kuziweka kichwani, mara oh mimi blah blah blah...

Hebu shuhudia huu mtiririko;





Kaazi kweli kweli...


Mag3,

Huyu mpemba anarukaruka tu kama kunguru wa zanzibar. Mwishowe kajifunga mwenyewe magoli na bila ajizi tumemnasa.
 
Kama unaukana upemba wako sema tu tutakupa utanganyika wala hatuna hiyana.
Ingawa huu ni muendelezo wa tabia zenu za kukana asili yenu tumewaona wengi na kuna mmoja hapa JF huwa anasema tu bila aibu kwamba yeye kawasaliti ndugu zake na kwenda kwa wajomba huko mashariki ya kati. Kwahiyo unapoukana upemba wako sikushangai.

Kama tukikutana face to face uka-prove ungesema ungekuwa na haki zote kuamini mimi ni nani? lakini kata issue hayo ya mimi ni mpemba au siyo huwezi kupata hakika yake..maana hata hao wa JF wanaosaliti unawajuaje? wewe kweli unaamini hizi ID..utakuwa na ujinga mkubwa kichwani..

Kata issue achana na identity yangu, ila kilicho dhahiri mimi ni "Muislam" above all identities
 
Wote ni wazanzibar na hakuna chama dume wala jike la kuoa na kuolewa hiyo ni skewed definition for your ill-intentions..

walioteuliwa ni wazanzibar wanatumikia wazenj, huwezi ku-perfect system kwa muda wa mwaka au miaka..

Subira ni sifa ya muungwana na muislam, na wazenj ni waislam na waungwana, sasa nyie chadema kinawauma nini kama cuf hawakufaidi? kama siyo hasidi na chuki mkuu?


Sijazungumzia uislamu hapa. Nazungumzia ndoa ya ccm na ccmB ambapo bwana na bibi wote ni wazenji!

Tulieni kwenye ndoa yenu msubiri tuchukue nchi ili angalau wazenji wapate unafuu wa maisha. Maalim na kikundi chake mmeweka mbele ubinafsi mkasahau maslahi ya wananchi mkajikumbuka wenyewe.
 
Kama tukikutana face to face uka-prove ungesema ungekuwa na haki zote kuamini mimi ni nani? lakini kata issue hayo ya mimi ni mpemba au siyo huwezi kupata hakika yake..maana hata hao wa JF wanaosaliti unawajuaje? wewe kweli unaamini hizi ID..utakuwa na ujinga mkubwa kichwani..

Kata issue achana na identity yangu, ila kilicho dhahiri mimi ni "Muislam" above all identities


Kwamba wewe ni muislamu, its a fact!
Kwamba wewe ni mpemba, its a fact!

Wenye ujinga vichwani ni wasaliti wa origin zao!
 
unajuwa kitu kimoja alisema nyerere ikuru kuna nini? mtu anakimbilia? hamad aliwakata chadema bungeni kanakwamba hataki upizani ndoo hapo alipoteza umarufu sasa yamerudi wenye chama hawamtaki hiyo saizi yake akatafute chama chake chadema hoyeeee
 
Kweli wewe hujui ulinenalo.

Kwani alipochukua uanachama alipewa barua? Kwa mujibu wa Jussa ni kuwa wamemwandikia spika Makinda kuwa Hamad sio mwanachama wao wamemfukuza.

Sasa ni kazi ya Spika kutekeleza yanayofuata. kumbuka kazi ya chama sio kumvua ubunge bali ni kumvua uanachama. Ila sheria ndio inayomvua ubunge wake.

Hamad anasubiriwa kwa hamu kubwa wawi na sio habari maelezo.

Mbunge atabaki kuwa mbungev mpaka atakapohama chama kwa hiyari yake ..... hii ni kutokana na katiba.
 
Sijazungumzia uislamu hapa. Nazungumzia ndoa ya ccm na ccmB ambapo bwana na bibi wote ni wazenji!

Tulieni kwenye ndoa yenu msubiri tuchukue nchi ili angalau wazenji wapate unafuu wa maisha. Maalim na kikundi chake mmeweka mbele ubinafsi mkasahau maslahi ya wananchi mkajikumbuka wenyewe.

Lini itakuwa ndoto hii nzuri?

Sasa hivi tuko bize na katiba then serikali tatu, then OIC then Zanzibar Islamic State, mimi nafikir chadema watachukia sana kadri miaka inavyokwenda..
 
Nilikua nimerusha mitego yangu kwa bahti njema mitego imenasa!! Ahsanteni kaeni na wasomi wenu akina Dr. Bana, John Tendwa, Werema na Vilaza wengine. Zanzibar Daimaaaaaa Mbeleeee. Am proud to be Zanzibari.



You're dead wrong my friend....kwa kusema kweli wewe kama jina lako linavyojionesha ni mpemba wala sio mzanzibar...subiri mpate nchi yenu utakuja hapa kukiri huu ukweli
 
You're dead wrong my friend....kwa kusema kweli wewe kama jina lako linavyojionesha ni mpemba wala sio mzanzibar...subiri mpate nchi yenu utakuja hapa kukiri huu ukweli

Chizi akichizika chizika naye, akiingia shimoni achana naye. Assalaaaaaaaam aleykummmm.
 
mpemba sikia!!!!!!!!! wengi tunaumia kwa kuzorota kwa CUF
ILA UKWELI UNABAKI PALEPALE KUWA CUF hawajulikani hasa ni kipi wanachokisimamia kwa maslahi halisi ya taifa. Hili limeipa Cuf shida kukubalika hasa kutoka kwenye kundi la wasomi wanaopenda kudadisi mambo kwa kina.
Baadhi ya misimamo ya CUF inashangaza na inaleta shida kujua CUF ipo kwa maslahi ya wanainchi au watawala?????????

Angalau unaonesha hujuwi kweli si ubishi tu kama ilivyo kawaida ya CDM. Hebu nieleze lini CUF ilikuwa na nguvu na kwa ushahidi gani , na nguvu hiyo sasa haipo kwa ushahidi gani?
Hebu angalia! CUF tangu kuundwa ilipata kiti kimoja tu Bara kutokana na ukabila wakati huo Rwakatare hajajuwa wapi kwa kuendea. sasa hivi CUF bado wana kiti kimoja Bara sasa hizo nguvu na kushuka kwao kuko wapi?
Nenda Unguja, Cuf walikuwa wakipata kiti kimoja tu sasa wanavyo karibu ya vitano jee huko ni kuanguka au kunyanyuka.

Nenda Pemba ambako CCM inashindwa hata kwa kura ya mawe na mpaka sasa hali ni ile ile sasa kushuka kuko wapi?

Iwapo nyinyi jamaa mnafanya siasa mchezo wa mpira wa kuwa lazima ufunge ndio uwe mshindi, siasa haiko hivyo, siasa ni maslaha kwa wananchi na kama maslaha ya Wazanzibari ni kuungana kwenye kuitawala nchi basi mkubali hivyo la mnataka tuendelee kupigana ili tusidai haki yetu mnayotunyima basi nyinyi endeleeni kumwaga damu sisi tulifanya hivyo wala hatukuona faida yake. Tatizo nyinyi mnapenda kutuiga lakini sijui kwanini hili la kugombana sie tumeshaliacha nyinyi ndio mnalishangaria?
 
Pamoja na kashkash zote zinazomkuta Hamad Rashid na pamoja na 'kuminywa' kwa demokrasia ambako pengine panawezakuwa palifanywa na CUF, Hamad Rashid aende Pemba tuone!!! anavuna alichopanda. KAMA MTAKUMBUKA YEYE NDIYE KIONGOZI WA KAMBI NDOGO YA UPINZANI BUNGENI AKISAIDIWA NA NAIBU WAKE KAFULILA...CDM wakawa wanakataa kuungana na hivyo vyama (kwa wakati ule kwanza) ili wakubaliane katika maeneo muhimu flan flani lakini ni HAMAD NA KAFULILA waliokataa kata kata waking'ang'ania kambi mbili ama kubadilisha kanuni za BUNGE; walifanikiwa moja lakini wakaonywa...haya sasa wako wap????

Naamini kwamba ktk demokrasia kuna kukubaliana katika kutokubaliana (cjui niko sahihi) kwa hiyo inawezekana Hamad kama ilivyokuwa wakati wa kuunda kambi ya upinzani, inawezekana CUF walimuonya akagoma na kuifanya shingo yake kuwa ngumu akiamini kwamba ndiye pekee anaweza kuwa sahihi; nadhani sekeseke hili ndani ya vyama vya siasa esp NCCR NA CCM 'B' (kama alivyosema Shoka) linatusaidia kuwajua wabunge wetu vzr zaidi. tusubiri

Hizi ni kesi mbili tofauti na ikiwa unataka tushindane nani alikuwa sahihi kati ya CDM na Hamadi basi labda uanzishe yako. Kafulila na Hamadi walikuwa wanatumia demokrasia yao walioiona wao wenyewe kuwa ni sahihi lakini bahati mbaya wamekinzana na vyama vyao. Kila Chama kina utaratibu wake na kina mambo wanayazingatia na ndio maana Busara ya CDM kwa Shibuda ilikuwa kuufyata kama hakuna lililotokea lakini kwa madiwani wa Arusha kesi ilikuwa tofauti. Busara ya NCCr na Cuf ni kitimua na kama mnaona wamefanya vibaya CDM naweza kula matapishi yenu kwa Kafulilah na pia kumsamehe Hamadi kwa kukupingeni katika sakata la uroho wa uwaziri kivuli.
 
mpemba elewa!!!hamna mwenye hati miliki ya CUF ZAIDI YA WANAINCHI
CUF ilianzishwa kuwasaidia wanainchi wa tanganyika na zenji

huku bara kuna hatari kubwa ya kuporomoka democrasia ikiwa cdm watafanya SUK na ccm bara in feature so mahali salama pa kukimbilia ingekuwa ni CUF ili tuiadhibu CDM + CCM ikiwa wataungana.

Mfano kwa sasa wazenji hawana mtetezi simply bcs maalim seif juzi alisifia maendeleo yaliyopo zenji ktk kipindi cha miaka 48.
CUF lazima wabadilike huku bara atapata wafuasi wengi vyuo vikuu ikiwa atawaongoza wabunge wake watetee maslahi halisi ya taifa japo kwa miaka miwili.Kinyume na hapo burian CUF

Hivyo kwa akili yako CUF na CCM kama jina ni vyama vya wananchi wa Zanzibar. Hii yote ni kulazimishana tu ndio maana makubaliano ya CCM na CUF kule Zanzibar yalifanywa na wenyewe Wazanzibari. Hivyo hukumbuki CCM zanzibar walivyodinda kule Dodoma kuburuzwa kwa amri ya Bara?
 
Hivi kwanini wana CHADEMA na CCM (John Tendwa na Werema) kipindi hichi wanampenda sana Hamad Rashid na kufika hadi kumtetea kama ambavyo inaonekana hapa Jamii Forum, wachangiaji wengi hua wanamtetea na ama kumkweza Hamad Rashid huku wakimponda Maalim na Bingwa wa Siasa Afrika! Jee watu hawa (CCM+CHADEMA) wana mapenzi ya dhati juu ya Hamad Rashid au kwa Vile 'Wafanya biashara wa kisiasa' hawa wanamgombania dalali huyu ili mtaji wao wa kisiasa utononeke na hatimae ifikapo 2015 waje kujipatia pesa zaidi halafu wajifiche kwenye speaker za magari ya music!
 
UPDATE PEMBA:
CUF yatoa watu majimbo ya Ole, Chonga, Chakechake, Ziwani na maeneo mengine kama punjini etal, baada ya Wawi kugoma wakisema wangeandamana endapo tu ingekuwa ni kwa kupinga bei ya mchele na mahitaji mengine kupanda, na sio kuandamana eti kumpinga mbunge wao wanaempenda na anayewasaidia hadi gharama za kulimia. inasemekana watu waliohudhuria mkutano huo ni kama 100 hii si aibu hii.


Mbona unatuchanganya wewe Hamadi Rashidii? Ulifanyika au haukufanyika? Walitowa watu Punjini (Labda uhindini huko, Pemba haiko hiyo Punjini) au kulikuwa na watu 100 tu?
 
waTZ wooote tungekuwa na uelewa kama wako maria nchi tungeshaikomboa hii kutoka kwa mafisadi, lakini akili fupi kama hizi za mpemba mbishi ndio mara zote huwa vikwazo ktk maendeleo ya taifa hili changa. haya mambo ya kwenda kuzoazoa watu wa majimbo mengine huko ili tu mmuumbue mtu mmoja naamini yasingekuwepo kabisa. wajiulize hao kina Juma Duni na wengine waliopo madarakani hivi sasa wamefanya nini? hoja alizotoa hamad rashid wamezijibu lini? na wapemba wamefaidika nini na uwepo wa CUF madarakani toka mwaka 1995 hadi leo, je? kuna mabadiliko yeyote yaliyotokea ama ndio yale yale ya ccMfsdi?

CUF imekuwepo Pemba tangu ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi na kila uchaguzi juu ya kujuwa kuwa hata wakishinda hawapewi ushindi Wapemba wamekuwa wakiipigia CUF sasa leo ndio kwanza tuwaulize kwanini wanakipiguia Cuf au kipi wamefanyiwa hata kukipigia? Kwa akili hiyo yako basi inabidi tuulize wengi kwanini wanapigia kura vyama vyao, iwapo lazima tuonyeshe tulichofanyiwa na Chama. Nafikiri tungebaki kukipigia Chama kimoja tu kwa vile wao ndio wanaweza kusema nini wametufanyia.
 
Back
Top Bottom