Ili kuwafukuza, Maalim atalazimika kufuata vikao vya kikatiba na ni vikao hivyo hivyo anavyoviogopa kwa sababu hawajibiki kama katibu mkuu wa CUF. Profesa Safari aliyaona hayo mapema. Ni wakati sasa wa Chadema kujenga ngome Zanzibar ili kuwe na upinzani wa kweli katika jamhuri ya Tanzania. Mpasuko ndani ya CUF utapelekea CDM kuingiza japo wawakilishi wachache BLW na hoja ya Tanganyika ataanzia huko kwa utekelezaji. Naomba wafukuzane hata kesho. Amina
Unawaombea CUF isambaratike
VIpi na wao wakiombea CDM isambaratike??
nyie watu ndio maana nasema "chadema ni agent wa kuua upinzani badala ya kuleta umoja"