CUF: Wabunge 10 kufukuzwa; Maalim Seif adaiwa kudidimiza chama!

@Pasco, si vibaya mtu kuwa confident, lakini kwenye blue kunanipa mashaka kama kweli unazijua siasa za ndani za CUF kama unavyotaka tuamini! Nani alikuambia Seif ni kama mungu mtu ana anaabudiwa? Na nani alikuambia uongozi wa ndani wanatazamana kwa sura na ni uongozi wa mazoweya? Pasco nani anakupa hizi habari? Labda kama unaongelea CUF ya Tanganyika, lakini kwa CUF ya Zanzibar mambo ni tofauti kabisa. Na ili uilewe CUF -Zanzibar inabidi urudi 1964. Halafu uangalie walianza lini kuwekeza kwenye rasilimali watu! It is complicated!
FGM, usitake nimwage humu mambo ya CUF mpaka ya chumbani!. Kwa vile CUF bara ni non issue na kule ZNZ ndio bado wako kwenye fungate ikiwemo GNU kitekeleza sera za CCM, naomba tuwaache wafu wawazike wafu wao!. Sisi tusonge mbele kuelekea katiba mpya.
 
FGM, usitake nimwage humu mambo ya CUF mpaka ya chumbani!. Kwa vile CUF bara ni non issue na kule ZNZ ndio bado wako kwenye fungate ikiwemo GNU kitekeleza sera za CCM, naomba tuwaache wafu wawazike wafu wao!. Sisi tusonge mbele kuelekea katiba mpya.

Usituweke roho juu bana kama unafahamu chochote mwaga humu humu..

Vunginevyo huna chochote unachofahamu zaidi ya kutaka uonekane wafahamu kumbe boya tu..

Mwaga tukusikie na kukuchallenge
 
Sasa hapa natoa ushauri wangu,Chadema kwa sasa hivi bado hakijapata nguvu zanzibar,hivyo basi kinachotakiwa sasa hivi wafanye kile kinachoitwa vita vya panzi furaha ya kunguru,watafute wabunge wazuri kutoka CUF,wawachukue ili wawezeshe kuijenga chadema upande huo wa zanzibar.kwa hiyo wakati ugomvi unafukuta moto ukiwaka vizuri CDM waanze kuwavuta taratibu angalao CDM ipate mwakilishi hata mmoja kutoka Zanzibar.
ureni nadhani huwajui vizuri wazenj,hata uweke mbwa au jiwe huko pemba na baadhi ya majimbo ya unguja wagombee kupitia cuf na uweke mtu ambae ni binadamu kutoka ccm au chama chochote cha siasa hawezi kuishinda cuf,wazenj wana msimamo kuliko alqaeda,wakisema no ni no,na cdm wasijindanganye kabisa kule zenj cdm kinaitwa chama cha makafiri,samahani kama nitakua nimemkwaza mtu ila naapa kuwa huo ndio ukweli kuhusu siasa za zenj,hakuna zaidi ya cuf nakufatiwa kwa mbali na ccm,chaguzi zote zenj cuf wanashinda kwa asilimia 80 mpk 90.
 
Hizi ni propaganda za kitoto nimeongea na hamad rashid mwenyewe moja kwa moja nikamuuliza kuhusu habari hiyo anasema ni uongo na propaganda chafu,na akasema mwenye nakala ya hiyo barua yake aitoe hadharani authibitishie ulimwengu,hakuna kitu kama hicho hamad rashid ni mboni au jicho la cuf,na cuf huwa hawachafuliwi na propaganda za kitoto kama hizi,wakamuulize salmin amur juma aliekua rais zenj akajiita komandoo kwa kuwapiga kuwadhalilisha na kuwatesa nakuwatolea propaganda chafu leo ni kipofu anadhalilika vibaya.ogopa cuf si mchezo,salmin anawajua vyema kwamba cuf hawayumbishwi na udikteta vitisho wala siasa za majitaka kama hizo hapo juu,ambazo naweza uita uharo wa gazet la udaku.
 
Hizi ni propaganda za kitoto nimeongea na hamad rashid mwenyewe moja kwa moja nikamuuliza kuhusu habari hiyo anasema ni uongo na propaganda chafu,na akasema mwenye nakala ya hiyo barua yake aitoe hadharani authibitishie ulimwengu,hakuna kitu kama hicho hamad rashid ni mboni au jicho la cuf,na cuf huwa hawachafuliwi na propaganda za kitoto kama hizi,wakamuulize salmin amur juma aliekua rais zenj akajiita komandoo kwa kuwapiga kuwadhalilisha na kuwatesa nakuwatolea propaganda chafu leo ni kipofu anadhalilika vibaya.ogopa cuf si mchezo,salmin anawajua vyema kwamba cuf hawayumbishwi na udikteta vitisho wala siasa za majitaka kama hizo hapo juu,ambazo naweza uita uharo wa gazet la udaku.
Wakati mwingine jamani tutumie nasi akili zetu wenyewe.. Tusiwe kama gong'ota kugonga shina la mti kwa mdomo wa Mbayuwayu..

Hii habari imeandikwa ndani ya gazeti kama kweli nii uongo huyu Hamad Rashid anashindwa nini kuwashtaki hawa watu waliandioka uzushi huu? ushahidi sisi tutaupata wapi kwani hiyo barua zimeandikwa ngapi au zimefanyiwa nakala ngapi?..Kama ushahidi anao yeye mwenyewe sisi tutaupata wapi. Majibu mengine bana..

Hakuna kiongozi yeyote wa CUF kasimama na kukana habari hizi isipokuwa sisi humu ndani ndio tunakuwa mashahidi wa kitu tusokijua mwanzo wala mbele...Kama kuna uongo ajibu tuhuma hizi dhidi ya hilo gazeti na sii ati nimeonana na Hamad Rashid akanambia blaaa...blaaa... blaaa...Mwambie Hamad Akane kwa kulishtaki gazeti hilo au mwandishi..
 
What r u talking??? nashindwa kukusoma! Maoni yangu ni kuwa mtoa hoja anajaribu kumpigia chapuo Hamad Rashid. Ukweli ni kwamba Hamad Rashid haingii hata nusu ya Ismail Jussa! Jussa is intelligent and powerfull than Hamad Rashid, ambaye amekwisha kisiasa baada ya kutumika na CCM bungeni kuvuruga dhana ya Kambi ya Upinzani kwa kutaka cheo. Tatizo la Hamad Rashid ni opportunist na ndicho kilichomfanya umaarufu wake kushuka.

Anyway, ya ngoswe tumwachie Ngoswe, CUF wanajuana wenyewe nani anawafaa na nani hawafai - tunawatakia kila la heri!
Unataka kutupoteza,Hata kama Ismail Jusa ni kichwa lazima agombee apate ridhaa ya watu! Usiwe kama CCM .Kama Seif haogopi kwa nini ametenga 180m kumumaliza Hamad Rashid?Kwa nini Seif anahaha kufanya mikutano ya Rushwa?.Demokrasi ya Kweli ni kufanya uchaguz na kuruhusi watu wagombee! .Kama unataka nenda kamusaidie Kampeni vinginevyo anapigwa chini na nguvu ya umma!
 
Maalimu Seif ni Mubabe na mungu mtu !.Anavunja haki ya watu kugombea sasa yafaa akubali yaishe! Aruhusu uchaguzi ufanyike sawasawa na
 
mbowe naye ni nani anamzuia zito kugombea je hii ndiyo demokrasia ya cdm acheni unafiki cdm ni madikteta na ni chama cha kihawala
 
[h=2]Hivi Maalim Seif Anaaminika? [/h]
Ukweli kUhusu Mgogoro wa Seif na Hamad Rashid CUF

Nimefuatilia makoa mkuu ya CUF nikagundua kuwa hali ni tete kwani kuna makundi Moja ni la Hamadi Rashid na Jingine ni la Maalim Seif Na kwamba makosa aliyofanya Seifu yamewagusa wengi na hapana Shaka kwamba ameanza kuyarekebisha!!!

Moja ya Mambo ambayo yamekuwa kero kubwa ni suala la pesa ambapo Mgao wa pesa za operations za Makao makuu zilikuwa hazipo Wakati kule Pemba wanatanua kwa kutumia fedha za serikali.

Julius Mtatilo aliwahi kuongea na gazeti la Sema Usikike akaelezea ukata wa fedha ambapo analazimika kutumia fedha zake Mwenyewe kwa ajili ya shughuri za Chama !!!

Mtatilo aliwahi kulalamika kwamba Ruzuku imechelewa lakini ukweli ni kwamba hata Ruzuku hiyo ilipotolewa ilikuwa haipelekwi Wilayani kama sheria inavyotaka!!

Mtu wa karibu na ofisi ya Uhasibu anasema Juzi tu baada ya Hamadi Rashidi kuelezea nia ya kugombea nafasi ya Katibu Mkuu ndipo Maalimu Seif akaamuru pesa zipelekwe kwenye Wilaya 1oo na kila Wilaya imepelekewa 300,000/= katika awamu ya kwanza na Fungu lililotengwa ni Tshs 180m kwa miezi 6.

Baadhi ya maofisa wa makao Makuu CUF wanalalamika kuwa ni kwa nini fedha zote hizo zilikuwa hazipelekwi mpaka watu walalamike??

Mjumbe Mmoja wa Baraza kuu kutoka Pemba anasema Maalimu Seif anatafuta njia za kumufukuza Hamad Rashid na jana aliitisha kikao cha siri Pemba na kufanya njama za kuandaa kashifa za Hamad Rashid lakini Watu waliokinyume na sef Pemba wakafichua uovu huo!!!

Mpaka sasa Cuf kimekuwa chama cha kuwindana!!!
Maalimu hataki Uchaguzi ufanyike na sasa anataka atoe urithi jambo ambalo halikubaliki!!!
 
Masikini CUF!! Maalim Seif amepata alichokuwa akililia kwa muda mrefu na sasa hana shida tena na kitu iitwayo CUF. Duh utawala mtamu kweli. Ikumbukwe tangia mwaka 1984 alipofukuzwa madarakani alikuwa hajapata kusindikizwa kwa ving'ora wala ulinzi wa polisi sasa anavyo atake nini tena, gunia la chawa!
 
KAFU laana kubwa inawasumbua sasa na mwisho wake wataona na kwa CCM hawawezi kuchomoa labda wawepo majivu ya kuona nje ya box vinginevyo kwisha habari yao
 
KAFU laana kubwa inawasumbua sasa na mwisho wake wataona na kwa CCM hawawezi kuchomoa labda wawepo majivu ya kuona nje ya box vinginevyo kwisha habari yao

Naoana chadema wanaiogopa cuf kuliko hata ccm jinsi mnavyoombea ife..hata siamini wapinzani kuna siku wataungana..ok ila safi kwetu sisi.

Kadiri mnavyotengana na kuchukiana inakuwa rahisi kutawala bravo..
 
Ili kuwafukuza, Maalim atalazimika kufuata vikao vya kikatiba na ni vikao hivyo hivyo anavyoviogopa kwa sababu hawajibiki kama katibu mkuu wa CUF. Profesa Safari aliyaona hayo mapema. Ni wakati sasa wa Chadema kujenga ngome Zanzibar ili kuwe na upinzani wa kweli katika jamhuri ya Tanzania. Mpasuko ndani ya CUF utapelekea CDM kuingiza japo wawakilishi wachache BLW na hoja ya Tanganyika ataanzia huko kwa utekelezaji. Naomba wafukuzane hata kesho. Amina

unandoto za kijinga kweli Cdm wasahau zanzibar kama tundu lisu napiga msumali kwenye tundu lake unategemea wa zanzibar watawakubali vp?
 
Back
Top Bottom