CUF: Wabunge 10 kufukuzwa; Maalim Seif adaiwa kudidimiza chama!

Ili kuwafukuza, Maalim atalazimika kufuata vikao vya kikatiba na ni vikao hivyo hivyo anavyoviogopa kwa sababu hawajibiki kama katibu mkuu wa CUF. Profesa Safari aliyaona hayo mapema. Ni wakati sasa wa Chadema kujenga ngome Zanzibar ili kuwe na upinzani wa kweli katika jamhuri ya Tanzania. Mpasuko ndani ya CUF utapelekea CDM kuingiza japo wawakilishi wachache BLW na hoja ya Tanganyika ataanzia huko kwa utekelezaji. Naomba wafukuzane hata kesho. Amina

Unawaombea CUF isambaratike

VIpi na wao wakiombea CDM isambaratike??

nyie watu ndio maana nasema "chadema ni agent wa kuua upinzani badala ya kuleta umoja"
 
Hata mimi sioni Hamad Rashid anaweza vipi kuwa tishio kwa Seif Sharrif Hamad,sana sana mbinyo ukizidi kwa Hamad Rashid atatimkia CCM kwasababu dalili zote zimeanza kuonyesha huyu jamaa na magamba kwasasa ni maswahiba wakubwa.
Kati ya Hamad Rashid na Seif na yupo karibu na CCM.?Seif Ndiye aliyeingia Muafaka pekee halafu Lipumba akapinga ,vijana bara waliandamana.Seif alishinda urais 2015 lakini akauza kete!. Seif ni Makamu wa Kwanza wa Rais na analindwa na na serikali ya Jk
 
Kama seif ni Mungu Mtu unafikiri CUF wao hawawezi kuzinduka!Hujui kuwa Tawala za Kiislama zinatolewa na Waislamu wenyewe?Angalia
 
Kama seif ni mungu Mtu unafikiri CUF wao hawawezi kuzinduka!Hujui kuwa Tawala za Kiislama zinatolewa na Waislamu wenyewe?Angalia
 
Nchi za Misri, Libya,Tunisia Seria,Yemen, Tawala za Waislamu zimetolewa na Waislamu.Sasa Cuf ni Chama cha Waisla na Seif ni Mwaarabu
 
Vyama vingine viangalie hali hiyo kwani suala la Udikteta ni baya na toa angalizo kwa CCM ambapo nafasi ya Mwenyekiti Taifa ni ya Utume!
 
Nitashangaa sana kama mrithi wa Seif Maalim (katibu) hatokuwa Ismail Jussa. Hamad Rashid atafune vilivyobaki maana hata kurudi bungeni 2015 itakuwa vigumu.
Huwezi kuwapangia Cuf mtu wa kuwaongoza haya ni mawazo ya CCM na mswada wache wafanye uchaguzi wa amani ,kura zitaamua!
 
Binafsi nailaumu Cuf kwa kuua Upinzani lakinhg kwenye suala la Uchaguz Seif aache watu wagombee ili haki itendeke.HAKI SAWA KWA WOTE
 
Japo mimi sio mwana CUF, siasa za ndani za CUF nazijua!.

Uongozi wa ndani ni kwa kutazamana kwa sura na uongozi wa mazoweya. Hamad Rashid alikuwa na mashiko alipokuwa mkuu wa kambi ya upinzani. Kwa sasa hana mashiko tena! hivyo haihitajiki hata sensi tano kummaliza ameshajiishia zake!.

Maalim Seif kwa CUF ni kama mungu mtu, sio tuu wanamheshimu bali wanamuabudu. Atakayemchagua yeye ndiye!. Kama ni Jussa basi anamashiko zaidi, after all wote ni " waarabu wa Pemba, hujuana kwa vilemba!"

Wacha Maalim aendelee Kugonga Wisky Ikulu bana
 
Mageuzi yameanzia nch za uarabu ambapo Waislamu wamewatoa viongozi wao .Angalia Tunisia,Misri, Libya,Yemeni, Seria,Etc na sasa Cuf!
 
Kinacho mupa mtu uhalali wa kuongoza ni kukubalika kwa Watu unao waongoza na sio pesa!!!
Kumbuka hata Hussen Mbaraka na Gadaffi Walikuwa na pesa lakini hawatakiwi katika uongozi!!!

Angalia Matajiri wa CCM wanavyo haha kuzima Maandamano ya CHADEMA unadhani fedha zinasadia??
Kama Hamad rashid anakubalika atashinda tu!!!
Kama Lowassa anakubalika kuwa Rais atashinda tu na hata kama hakubaliki hawezi kushinda hata kama atakwenda Nigeria kujivua gamba bado hata pata mamlaka ya MUNGU!!!

Je una amini kuwa Kikwete alipata kibali cha kushinda Urais au alichakachua??

Mkuu hapo kwa lowasa sidhani kama anatufaa kwani dalili za kuimaliza TZ kwa ufisadi wake kazioyesha tangia enzi Mwl. Nyerere akiwa hai pia nae Jk aliwekwa hapo alipo na tume ya uchaguzi na sio watanzania ndo maana Mungu anamuumbua sasa na bado tutayaona mengi ya ajabu toka kwake
 
Kati ya Gadaf na Seif nani anatisha!?.Nani anaogopwa?

What r u talking??? nashindwa kukusoma! Maoni yangu ni kuwa mtoa hoja anajaribu kumpigia chapuo Hamad Rashid. Ukweli ni kwamba Hamad Rashid haingii hata nusu ya Ismail Jussa! Jussa is intelligent and powerfull than Hamad Rashid, ambaye amekwisha kisiasa baada ya kutumika na CCM bungeni kuvuruga dhana ya Kambi ya Upinzani kwa kutaka cheo. Tatizo la Hamad Rashid ni opportunist na ndicho kilichomfanya umaarufu wake kushuka.

Anyway, ya ngoswe tumwachie Ngoswe, CUF wanajuana wenyewe nani anawafaa na nani hawafai - tunawatakia kila la heri!
 
Japo mimi sio mwana CUF, siasa za ndani za CUF nazijua!.

Uongozi wa ndani ni kwa kutazamana kwa sura na uongozi wa mazoweya. Hamad Rashid alikuwa na mashiko alipokuwa mkuu wa kambi ya upinzani. Kwa sasa hana mashiko tena! hivyo haihitajiki hata sensi tano kummaliza ameshajiishia zake!.

Maalim Seif kwa CUF ni kama mungu mtu, sio tuu wanamheshimu bali wanamuabudu. Atakayemchagua yeye ndiye!. Kama ni Jussa basi anamashiko zaidi, after all wote ni " waarabu wa Pemba, hujuana kwa vilemba!"

@Pasco, si vibaya mtu kuwa confident, lakini kwenye blue kunanipa mashaka kama kweli unazijua siasa za ndani za CUF kama unavyotaka tuamini! Nani alikuambia Seif ni kama mungu mtu ana anaabudiwa? Na nani alikuambia uongozi wa ndani wanatazamana kwa sura na ni uongozi wa mazoweya? Pasco nani anakupa hizi habari? Labda kama unaongelea CUF ya Tanganyika, lakini kwa CUF ya Zanzibar mambo ni tofauti kabisa. Na ili uilewe CUF -Zanzibar inabidi urudi 1964. Halafu uangalie walianza lini kuwekeza kwenye rasilimali watu! It is complicated!
 
Back
Top Bottom