CUF kuzindua kampeni ya Dira ya Mabadiliko katika biwanja vya Jangwani Leo

Nasubiri kusikia hoja zitakazo jengwa na namna zitakavyowasilishwa na viongozi hao wa CUF. Ndipo ntakapoweza kutathimini kama kweli wamedhamiria au wanaiga kama baadhi ya wadau wanavyo dai, au wanaajenda ya kukisaidia chama tawala.
 
mkutano mkubwa wa hadhara wa chama cha wananchi cuf unatarajiwa kufunika leo katika viwanja vya jagwani aka chadema square, maandamano ya magari, pikipiki, bajaj na baiskeli ndo yanaelekea eneo la tukio. kwa hapa kariokoo naona malori yakiwa yamebeba wafuasi na wapenzi wa cuf wakieleke cdm square.
 
Wao hawapigwi mabomu, mbona wanaandamana??
 
Unatumia kigezo gani when you term someone's post "kilazaful post". Mbona maelezo yake yanajitosheleza..au angeandika m4c ndio ungeelewa. Kasema kampeni mchakamchaka itakayozinduliwa na CUF,bado unauliza itamhusu nani!! Relax mkuu, usitegemee kuona post unazozipenda tu.!
aisee umeandika kwa huruma kwelikweli ila sijaelewa M4C imeingiaje humu.

Hapa chama tawala linataka kutake advantage kwa kutumia CUF, kinachofanywa hapa ni kuongeza joto na kuwachanganya zaidi wananchi ili mwisho wa siku mafisadi waendelee kula bata kwa mrija huku wananchi wakiambulia tone moja moja kutoka rasilimali za nchi.

Cha ajabu itasikia nao wakiungana na ccm kuishambulia chadema,bahati mbaya nao wanafuata nyayo za ccm, siku hizi chama makini hakiwezi kutumia TBCCM kueneza sera zake kwani malengo hayo ni lazima yachakachuliwe
 
Kudhihirishs cut ni tawi la ccm ona hata matangazo yanarushwa na kituo gani? Usishangae hata malipo yatafanywa na ccm kama walivyo fanya Igunga
 
mkuu mbona hujatuambia ni saa ngapi TBC itaonyesha hako ka mkutano bwana
maana wao kwa kuiga mpango wa chadema hawajambo
 
Thread imepoa mno. Ungekuwa ni Mkutano wa CHADEMA tayari tungekuwa page ya Kumi na tano saa hizi.
 
una mawazo kama ya kwangu mkuu uko sahihi sana maana ccm A +B ndiyo zao kujaza uwanja kwa kubeba watu kama ng'ombe, awamu hii tutakodi hata mkokoteni
 
Yani CUF mkutano wao unaoneshwa na TBC???!!

Ni kuanzia saa ngapi??

Updates pls!!
 
Yaani vyama vyote nchi hii vimeamua kuiiga CHADEMA kwa kila inachofanya yaani chadema wameanzisha vugu vugu la mabadiliko ccm wakaiga na kuja na vua gamba vaa uzalendo sasa cuf nao wameiga kwa kuja na dira ya mabadiliko.Hivi chadema ndo kimekuwa chama tawala na vingine vimekuwa vya upinzani kwa kuiga kila inachofanya.
 
Nimepita mida hii jagwani naona watu wanaminika najiuliza CUF wanatoa wapi hawa watu wakati Prof Lipumba alipata kula laki 6 Tanzania nzima.
 
Nimepita maeneo ya Jagwani nikafikiri ni muhadhara!!! Asante mkuu kwa ufafanuzi

mkuu haya maswla ya kuhusisha chama fulani na dini fulani huwa sio mazuri hata kidogo.
Please naomba tubadilike watz wenzangu.
 
Jamani tusiwakatishe tamaa maana walivuma kabla ya ndoa yao na ccm.
Leo wana nondo za kufa mtu huenda wakarudisha heshima yao.
 
Nimepita mida hii jagwani naona watu wanaminika najiuliza CUF wanatoa wapi hawa watu wakati Prof Lipumba alipata kula laki 6 Tanzania nzima.

teh teh teh teh teh teh! Ukiona mpaka wana kijani wanapigia kampeni kafu basi uje hapa kuna ndoa tayari.......
 
Nimepita mida hii jagwani naona watu wanaminika najiuliza CUF wanatoa wapi hawa watu wakati Prof Lipumba alipata kula laki 6 Tanzania nzima.

Elewa hicho ni chama tawala zanzibar hivo hapo ni cuf + ccm lazima wapeane nguvu kumshinda adui yao M4C.
 
Back
Top Bottom