CUF kuzindua kampeni ya Dira ya Mabadiliko katika biwanja vya Jangwani Leo

Mtatiro:
Viongozi wa chama cha Wananchi CUF tunaanzisha jalamba kufikisha ujumbe wa ukombozi!

Serikali wanaiba tokea Ikulu!

Everybody is stealing, wizi mtupu!


Hahahahaha!!

Mawaziri wanaiba,hadi migambo wanaiba!
 
nimepita hapo jangwani saa iv, kumetulia zaidi ya msibani, watu hakuna kabisa! Kuna wanawake wamepewa kazi ya kuzunguka na bendera za cuf mitaa ya magomeni. . . . Loh! Hii aibu wataifichia wap??

Nimepita mida hii jagwani naona watu wanaminika najiuliza CUF wanatoa wapi hawa watu wakati Prof Lipumba alipata kula laki 6 Tanzania nzima.
Which is which sasa? nani anasema ukweli?
 
Chama kubwa is back! Chama Kubwa is Back ! You gotta love em !

Kwakweli walikuwa hawavumi lakini leo nyomi yao hapo Jangwani inanipa matumaini makubwa...

'Naapa Naahidi Mbele ya Chama...' Ohh enzi hizo zimepita, Songa Chama Kubwa, Haki sawa kwa wote
 
Chama kubwa is back! Chama Kubwa is Back ! You gotta love em !

Kwakweli walikuwa hawavumi lakini leo nyomi yao hapo Jangwani inanipa matumaini makubwa...

'Naapa Naahidi Mbele ya Chama...' Ohh enzi hizo zimepita, Songa Chama Kubwa, Haki sawa kwa wote


kumbe na wewe member?
 
Dira ya Mabadiliko??????? wanafanya kazi kwa maelekezo ya ndugu zao CCM. Hizi nazo ni jitahada ya kudhoofisha M4C. Lakini hawatofanikiwa. Niko na imani kubwa sana na team inayoongoza M4C
 
Hongera CUF, lakini ni bora wakajikita zaidi kule Zanzibar ambako wana mtaji mkubwa wa kisiasa kuliko huku bara ambako chama Cha CUF kimekufa kabisa.

yaonekana unajihami eleza kwanini cuf isijikite bara nawakati ni muungano huoni wabunge wakuchaguliwa bara wapo hii ndoinawaumiza ccm na cdm. Bora cuf ipo bara cdm zenj ndoto za alli nacha
 
Back
Top Bottom