CUF kuzindua kampeni ya Dira ya Mabadiliko katika biwanja vya Jangwani Leo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Chama cha wananchi CUF leo tarehe 9/9/2012 watanzindua kamaoeni mchakamchaka itakayodumu hadi mwaka 2015 na bila kulala wala kupumzika katika lengo la kuikomboa nchi katika mikono ya CCM na mafisadi ikiongozwa na mwenyekiti wake Prof Haruna Lipumba ikitarajiwa kurushwa live na TBC1
 
Chama cha wananchi CUF leo tarehe 9/9/2012 watanzindua kamaoeni mchakamchaka itakayodumu hadi mwaka 2015 na bila kulala wala kupumzika katika lengo la kuikomboa nchi katika mikono ya CCM na mafisadi

Umeandika kishabiki,bila kuelezea kwa kina kampeni hiyo itahusu nini na nani ni wahusika wake!
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.
 
Wameona mafanikio ya M4C ndio nao wameona wajaribu, tunawakaribisha na kuwatakia heri.
 
Hapa chama tawala linataka kutake advantage kwa kutumia CUF, kinachofanywa hapa ni kuongeza joto na kuwachanganya zaidi wananchi ili mwisho wa siku mafisadi waendelee kula bata kwa mrija huku wananchi wakiambulia tone moja moja kutoka rasilimali za nchi.
 
Mimi kwa mtazamo wangu naona move yao itaipa nguvu sana M4C na pia Magamba sasa wattajuwa na hali mbaya sana kisiasa kwani walikuwa kila mikutano ya CDM ikifanyika basi wanajaza askari ili walete fujo. Vyama vingi vikifanya hivi basi vugu vugu la mabadiliko litakuwa mahala pake, huu utakuwa upinzani kwa nguvu sana kwa CCM!
 
Umeandika kishabiki,bila kuelezea kwa kina kampeni hiyo itahusu nini na nani ni wahusika wake!
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.

Mkuu sidhani kama saizi kuna kipindi cha kampeni ni mikutano ya kawaida ya vyama vya siasa.
 
cuf kila kitu wanaiga-wameona wanasahaulika ndo maana wanashtuka leo-naamin hawatafika mbali-watakuwa wameshafulia
 
Dira ya Mabadiliko
V/s
Vuguvugu la Mabadiliko

=
Kichuguu
V/s
Mlima

"respectively"
 
Umeandika kishabiki,bila kuelezea kwa kina kampeni hiyo itahusu nini na nani ni wahusika wake!
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.

Unatumia kigezo gani when you term someone's post "kilazaful post". Mbona maelezo yake yanajitosheleza..au angeandika m4c ndio ungeelewa. Kasema kampeni mchakamchaka itakayozinduliwa na CUF,bado unauliza itamhusu nani!! Relax mkuu, usitegemee kuona post unazozipenda tu.!
 
Hongera CUF, lakini ni bora wakajikita zaidi kule Zanzibar ambako wana mtaji mkubwa wa kisiasa kuliko huku bara ambako chama Cha CUF kimekufa kabisa.
 
Unatumia kigezo gani when you term someone's post "kilazaful post". Mbona maelezo yake yanajitosheleza..au angeandika m4c ndio ungeelewa. Kasema kampeni mchakamchaka itakayozinduliwa na CUF,bado unauliza itamhusu nani!! Relax mkuu, usitegemee kuona post unazozipenda tu.!

mkuu inaonekana huipendi m4c kwanini usivijate vyama vingine kama tlp, chausta navingenevyo
 
Tatizo lao ni ile ndoa yao inawatafuna,au wameshapewa talaka jamani maana wanakwenda kumshika mume wao mat...ko.
 
Wameamua kuisindikiza CDM kuelekea MAGOGONI! Fanyeni hivyo maana CDM ikikamata nchi huenda mkafikiriwa hata nafasi ya U-HOUSEBOY.Maana nyie mmekuwa ni watu wa kuonewa huruma kama ilivyotokea huko ZANZIBAR...!
 
Back
Top Bottom