CUF kuzindua kampeni ya Dira ya Mabadiliko katika biwanja vya Jangwani Leo

Walinzi wa CUF wakielekea jangwani
Nimepitia ofisi za CUF makao makuu,tayari viongozi wameenda Jangwani.Punde zitawajia taswira moja kwa moja toka viwanja vya jangwani
 
Wanatoa tofauti kati ya CUF na CCM & CDM

Wanazungumzia kauli ya CDM kubadili jina la Jangwani kuwa CDM Square!
 
Kuna wanaCCM wengi mkutano huu! Ndevu na Suruali fupi wapo wengi! CUF wamebakia na bendera tu
 
Hawa jamaa wanaikandikia CDM kwa kupaita jangwani ni CDM square, pia jamaa wanzidi kupaka sumu dhidi ya CDM.
Na in general CUF wapo kwa ajili ya CHADEMA na sio CCM.
 
Jamaa wa cuf wanampondea mbowe ni mpiga madisco pia waongeza sumu zaidi......
 
Cuf imeisha yaani dah mpaka huruma yaani lipumba tena atagombea twenty 15 yaan kaz kweli kweli
 
JUMA DUNI HAJI: Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
Mimi nitasemea Arusha, Sitaki kuwajibia CDM hapa!
 
Kufa hakuanza kufa mwandishi CUF ndio tulianza kufa kwa makundi, Sumaye ndiye aliyefundisha polisi kuua!

Huyu jamaa ni kama anakebehi kifo cha mwandishi!
 
Mtatiro:
Viongozi wa chama cha Wananchi CUF tunaanzisha jalamba kufikisha ujumbe wa ukombozi!

Serikali wanaiba tokea Ikulu!

Everybody is stealing, wizi mtupu!

Hahahahaha!!
 
Tatizo la cuf ni kuwafanya chadema kuwa ndio wabaya wao badala ya kuwa na common goal la kumuondoa mkoloni mweusi!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Jamani kuna mtu mwenye bango anarukaruka kama mwehu ameshika bango
 
Back
Top Bottom