Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Napenda kufahamu kama chama cha Wananchi CUF kipo na wanachama wake kama wako hai na kama wapo napenda kufahamu harakati zenu za kisiasa katika mambo yafuatayo:
1. Sijawasikia msimamo wenu juu ya sensa ya watu na makazi either kushawishi kujiandikisha au kutojuandikisha sasa kama chama mko upande gani baridi au moto ila neutral hatutaki utakuwa unafiki.
2. Vipikuhusu katiba mpya mbona mpo kimya kunani na mnamchango gani lwa taifa?
3. Vipi kuhusu vitambulisho vya taifa mmependekeza nini au mmeishauri vipi serikali ya CCM
4. Vip kuhusu mikutano yenu ya hadhara imeishia wapi imekuwa tofauti na kipindi kile ambacho haipiti wiki bila kuwasikia ila kwa sasa ni miezi inapita sasa hakuna cha Lipumba wala Mtatiro
5.Meli imezama mmekaa kimya kama wapemba hawajafa nakumbuka kipindi kile kabla hamjaingia madarakani pasingetosha.
6. Vipi kuhusu hari ya kisiasa na uamsho sijawasikia hata katibu wenu na makamu wa rais akizungumzia chochote juu ya hili.
7.
8.....