CUF hiki chama bado kipo? sikisikii kwenye katiba, Sensa, vitambulisho wala mikutano

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Napenda kufahamu kama chama cha Wananchi CUF kipo na wanachama wake kama wako hai na kama wapo napenda kufahamu harakati zenu za kisiasa katika mambo yafuatayo:

1. Sijawasikia msimamo wenu juu ya sensa ya watu na makazi either kushawishi kujiandikisha au kutojuandikisha sasa kama chama mko upande gani baridi au moto ila neutral hatutaki utakuwa unafiki.

2. Vipikuhusu katiba mpya mbona mpo kimya kunani na mnamchango gani lwa taifa?

3. Vipi kuhusu vitambulisho vya taifa mmependekeza nini au mmeishauri vipi serikali ya CCM

4. Vip kuhusu mikutano yenu ya hadhara imeishia wapi imekuwa tofauti na kipindi kile ambacho haipiti wiki bila kuwasikia ila kwa sasa ni miezi inapita sasa hakuna cha Lipumba wala Mtatiro

5.Meli imezama mmekaa kimya kama wapemba hawajafa nakumbuka kipindi kile kabla hamjaingia madarakani pasingetosha.

6. Vipi kuhusu hari ya kisiasa na uamsho sijawasikia hata katibu wenu na makamu wa rais akizungumzia chochote juu ya hili.

7.

8.....
 
Napenda
kufahamu kama chama cha Wananchi CUF kipo na wanachama wake kama wako
hai na kama wapo napenda kufahamu harakati zenu za kisiasa katika mambo
yafuatayo:

1. Sijawasikia msimamo wenu juu ya sensa ya watu na makazi either
kushawishi kujiandikisha au kutojuandikisha sasa kama chama mko upande
gani baridi au moto ila neutral hatutaki utakuwa unafiki.

2. Vipikuhusu katiba mpya mbona mpo kimya kunani na mnamchango gani lwa
taifa?

3. Vipi kuhusu vitambulisho vya taifa mmependekeza nini au mmeishauri
vipi serikali ya CCM

4. Vip kuhusu mikutano yenu ya hadhara imeishia wapi imekuwa tofauti na
kipindi kile ambacho haipiti wiki bila kuwasikia ila kwa sasa ni miezi
inapita sasa hakuna cha Lipumba wala Mtatiro

5.Meli imezama mmekaa kimya kama wapemba hawajafa nakumbuka kipindi kile
kabla hamjaingia madarakani pasingetosha.

6. Vipi kuhusu hari ya kisiasa na uamsho sijawasikia hata katibu wenu na
makamu wa rais akizungumzia chochote juu ya hili.

7.

8.....

mkuu we uko wapi? kuhusu sensa CUF ilitoa tamko kupitia kwa Sheikh Ponda.
 
Napenda kufahamu kama chama cha Wananchi CUF kipo na wanachama wake kama wako hai na kama wapo napenda kufahamu harakati zenu za kisiasa katika mambo yafuatayo:

1. Sijawasikia msimamo wenu juu ya sensa ya watu na makazi either kushawishi kujiandikisha au kutojuandikisha sasa kama chama mko upande gani baridi au moto ila neutral hatutaki utakuwa unafiki.

2. Vipikuhusu katiba mpya mbona mpo kimya kunani na mnamchango gani lwa taifa?

3. Vipi kuhusu vitambulisho vya taifa mmependekeza nini au mmeishauri vipi serikali ya CCM

4. Vip kuhusu mikutano yenu ya hadhara imeishia wapi imekuwa tofauti na kipindi kile ambacho haipiti wiki bila kuwasikia ila kwa sasa ni miezi inapita sasa hakuna cha Lipumba wala Mtatiro

5.Meli imezama mmekaa kimya kama wapemba hawajafa nakumbuka kipindi kile kabla hamjaingia madarakani pasingetosha.

6. Vipi kuhusu hari ya kisiasa na uamsho sijawasikia hata katibu wenu na makamu wa rais akizungumzia chochote juu ya hili.

7.

8.....

Mkuu utaisikia wapi na wewe unasoma jamiiforrum tu!

Usivimbe macho kwenye mtando mmoja jaribu kusoma sehemu tafauti nyenginevyo utapata habari za DR Slaa Na na CHadema yake tu hapa.
 
cuf inawakilishwa na ccm, sio chama cha upinzani tena, ndo maana hata ccm hawana habari nacho wanahangaika na cdm tu.
 
Kafu imeolewa na kwa tamaduni zetu mume ndio mwenye sauti,habari za kafu muulize nape
 
Cuf walipinga sensa na prof wao alitoa laki moja ili kuanzisha movement, by the way hawa jamaa nimesikia wao nao wana kitu yao inaitwa v4c yaan vision for change
 
Mkuu utaisikia wapi na wewe unasoma jamiiforrum tu!

Usivimbe macho kwenye mtando mmoja jaribu kusoma sehemu tafauti nyenginevyo utapata habari za DR Slaa Na na CHadema yake tu hapa.
Kwahiyo tusome gazeti la al-Nuur na kusikiliza radio Imani?
 
tatizo hamtembelei mitandao mingine, nyie mnavimba macho jamii forum pekee, angalieni msiwe vipofu
 
tatizo hamtembelei mitandao mingine, nyie mnavimba macho jamii forum pekee, angalieni msiwe vipofu
 
Mkuu utaisikia wapi na wewe unasoma jamiiforrum tu!

Usivimbe macho kwenye mtando mmoja jaribu kusoma sehemu tafauti nyenginevyo utapata habari za DR Slaa Na na CHadema yake tu hapa.

Mkuu tusaidie kutupa link yahiyo mitandao mingine!!Ila usiache kuperuzi Jf maana toka nimejiunga napata mambo moto siyachadema tu hata Uhamsho shekhe Ponda pia CUF ila kwasasa humu siwaoni?Hata midia zingine kama magazeti nk!
 
Cuf walipinga sensa na prof wao alitoa laki moja ili kuanzisha movement, by the way hawa jamaa nimesikia wao nao wana kitu yao inaitwa v4c yaan vision for change

masikini kafu ndoa mbaya kisa pesa!
 
NCCR, TLP na CUF vimeshauliwa na mchawi bado yupo hai ingawa mahututi, kwa hivyo ninavishauri vyama vilivyo hai viwe macho.
 
Back
Top Bottom