CUF hiki chama bado kipo? sikisikii kwenye katiba, Sensa, vitambulisho wala mikutano

tatizo hamtembelei mitandao mingine, nyie mnavimba macho jamii forum pekee, angalieni msiwe vipofu

mitandao mingine ipi, tuwekee link tufuatilie basi, eti tunavimba macho... we unafanya nini hapa, kwenu hakuna wakubwa nini!
 
Cuf hamna chama tena hapo toka maalimu seif apewe umakamu wa rais mambo yamevadilika na ameshakuwa mccm alichokuwa anakitaka ni uongozi ambao kashaupata.
Hamad rashid nae cuf wamempiga chini nani tena kabaki cuf? Labda lipumba peke yake ndio mwenye akili kidogo cuf wengine waliobaki ni mamluki.
 
Nimeskia wanaanza na wao kuzunguka wanaiita Mchakamchaka
 
mkuu utaisikia wapi na wewe unasoma jamiiforrum tu!

Usivimbe macho kwenye mtando mmoja jaribu kusoma sehemu tafauti nyenginevyo utapata habari za dr slaa na na chadema yake tu hapa.
ifike sehemu mtaalam mjisahihishe chama chenu hakina mwelekeo by now cuf was a strong than ever it was visioned by many people but for real now you are sinking together with ccm sio siri
 
Back
Top Bottom