CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

Weraaaaaaaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. CCM kimeanguka pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. And they will never recover from this. never. I am telling you never. Hayo waliyoyapoteza, ndo basi tena.
Natamani kumuona kinana, membe, Makamba na JK wakiongea ushindi wa elnino, 85%+. Natamani sana kuwaona waliosema wanaojaa kwenye kampeni za Dk. Slaa ni wahuni wasiojiandikisha kupiga kura. Natamani kuwaona waliosema mbona 1995 Mrema alisukumwa kwenye gari.
Jamani natamani matokeo ya urais ya Mwanza, Mbeya, Arusha, Kilimanjaro yatolewe.
Hongera dada, kazi yako bungeni tunaijua. Tunaamini sasa una support kubwa, hivyo kazi itakuwa ni nzuri zaidi. Once again, Hongera sana
 
nani kama Halima mdee ndani ya ccm??? na asimame
:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya 25 bungeni wacheni ushamba ! matokeo haya ni matunda ya mchakato wa demokrasia unavyozidi kupevuka nchini! CCM wan asema kama Nape Nnauye angegombea Ubungo, Mnyika asingeona ndani sijui kama kweli au hapana! Wacheni ubaguzi ....nyie wanaharakati..!:smile-big:
Hapa wewe wapongeze tu, ukiona post imefutwa, ndo ukoment kama hivyo!! KAma mie hapa ni mfuasi wa mageuzi, ila matokeo ya Zbar na Pemba hayana hamasa manake walishapanga mezani tangu zamani
 
Job well done, halima na mnyika hamieni sasa ukonga na segerea kuwapa tafu mpendazoe na wengine
 
:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Hawa jamaa ni wachakachuaji, hizi kura zote kapiga nani? Hata Ubungo walikuwa wanakaribia kuiba.
 
Iron Lady Hon. Halima Mdee weraaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaa uko juuuuuuuuuuuuuuuuuu wamebana wameachiaa pipipiii piiiiiiiiiii wamebana wameachia.

Hakuna cha Salimu Mohamed Salim, Hakuna cha Makamba mzee wa kuropoka, hakuna cha kikwete ni sauti ya umma
imeamua naomba ujiandae kuwatumikia wananchi wako, timiza ahadi zako kwa vitendo.
Nategemea utayatatua matatizo sugu ya viwanja lilopo wilaya ya kinondoni, usisahau ahadi yako ya kutatua kero ya maji inayowagabiri wapiga kura wako
Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.Hongeren wana Kawe kwa kufanya maamuzi sahihi
 
:hippie::hippie::director::director::director::director::director::director::director::director::peace::peace::peace::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Hongera Halima Mdee, Hongera CHADEMA!!! Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
votes:

ccm: 34,412
chadema: 43,365
cuf: 9,131
nccr: 11,970

Fantastic,update on time.

we can learn from CCM, whenever there is some signs of oppostion to win, matokeo kutangazwa mpaka mtutu wa bunduki, shame up on them
 
Yaani CCM hawana hata haya....yaani mwanadada huyo kawapita kwa kura zaidi ya elfu tisa lakini bado hawako tayari kuyakubali...............
 
yani wamemchakachua mtoto wa kike hivi?
hongera mtoto wa kike Halima ww shujaa wa karne
njoo tukupongeze hapa!!umenipa raha sana
 
Back
Top Bottom