CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya 25 bungeni wacheni ushamba ! matokeo haya ni matunda ya mchakato wa demokrasia unavyozidi kupevuka nchini! CCM wan asema kama Nape Nnauye angegombea Ubungo, Mnyika asingeona ndani sijui kama kweli au hapana! Wacheni ubaguzi ....nyie wanaharakati..!:smile-big:
 
Sasa tusonge mbele tukadai matokeo ya Segerea, kisha tunaelekea ukonga! Nguvu ya Uma ni jimbo kwa jimbo, wao watabaki na kampeni zao za shuka kwa shuka! Hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
sad-face.jpg

sad sad ccm.....wapi malaria sugua????????

yuko hoi moi!
 
Dr Faustine Ndungulile wa Kigamboni kwa ticket ya CCM ameshinda Ubunge kwa jimbo hilo.
 
votes:

ccm: 34,412
chadema: 43,365
cuf: 9,131
nccr: 11,970

Would you belive this? Hatimaye sasa furaha yangu imekamilika kwa kuwa mbunge wa jimbo langu la Kawe ametangazwa kuwa mshindi. TBL na SBL andaeni bia za kutosha wiki hii...Ni sherehe tu!
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMA,safi wanamageuzi wote,asanteni sana Watanzania.Historia itawakumbuka sana.Wale hawatausahau mwaka 2010.Na MBADO!!:smile-big:
 
Kuliko kuipigia ccm kura mara mia nisipige kura maisha yangu yote

Usipopiga kura ni sawa tu na umeipigia CCM kwa sababu kura yako moja inaongeza uwezekano wa kuinyima CCM ushindi. Kwa hiyo ndugu yangu ondoa mawazo ya kutopiga kura maisha yako yote. Kumbuka kuwa viongozi wabovu huchaguliwa na baadhi ya wananchi wasiotumia haki yao kupiga kura.

Nimekutana na marafiki zangu wengi wasomi (kwa maana ya kwenda darasani mpaka kiwango cha shahada) ambao hawakupiga kura kwenye uchaguzi uliopita. Nilipowauliza walitoa sababu kubwa kuwa nchi hii demokrasia bado haipo hivyo hawaoni sababu ya kupiga kura. Mimi sikuwaelewa kabisa kwa sababu siamini kuwa kwa kuacha kupiga kura unasaidia kukuza demokrasia.
 
votes:

ccm: 34,412
chadema: 43,365
cuf: 9,131
nccr: 11,970

The Following 28 Users Say Thank You to TGS D For This Useful Post:

birungi (Today), coby (Today), Cynic (Today), genekai (Today), Geza Ulole (Today), Halisi (Today), Josh Michael (Today), KIDUNDULIMA (Today), Kilasara (Today), Kiraka (Today), kitatange (Today), Lekanjobe Kubinika (Today), manyema (Today), Masaki (Today), Mawazo1109 (Today), Mfwatiliaji (Today), Mtu Kwao (Today), MWEEN (Today), Mzee Mwanakijiji (Today), Ndibalema (Today), Ngambo Ngali (Today), Safari_ni_Safari (Today), Semilong (Today), SUWI (Today), taffu69 (Today), The Dreamer (Today), The Good One (Today), Tonge (Today)​
 
Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya 25 bungeni wacheni ushamba ! matokeo haya ni matunda ya mchakato wa demokrasia unavyozidi kupevuka nchini! CCM wan asema kama Nape Nnauye angegombea Ubungo, Mnyika asingeona ndani sijui kama kweli au hapana! Wacheni ubaguzi ....nyie wanaharakati..!:smile-big:

Toba !! Yamekuwa haya!!
Ndugu yangu, mbona pongezi zimetolewa saana? N aunajua nini? CUF haiamniki tena, maana hiyo imeshakuwa ni CCM B, wameamua kula na mafisadi.
Hivi huku bara cuf walikuwa na viti vya majimboni vingapi?? au ndo vile vya kuteuliwa unavyoviongelea???
 
hakuna matokeo yaliyonifurahisha kama haya ya Mdee.

na hakuna yaliyowauma CCM kama haya ya Mdee. Makamba aliapa kwamba haitawezekana asilani Kawe kwenda upinzani.

Big up lovely sister Halima. Umenifurahisha sana uliposema baada ya kutangazwa kwamba "kura ya mtu ni deni kwako."
 
raha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
 
Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya 25 bungeni wacheni ushamba ! matokeo haya ni matunda ya mchakato wa demokrasia unavyozidi kupevuka nchini! CCM wan asema kama Nape Nnauye angegombea Ubungo, Mnyika asingeona ndani sijui kama kweli au hapana! Wacheni ubaguzi ....nyie wanaharakati..!:smile-big:
Ndugu upinzani wote tunafuraha kwa ccm kushindwa, ni post zinazotokea kwa muda huo leta habari za CUF tushangilie pamoja!
 
Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya 25 bungeni wacheni ushamba ! matokeo haya ni matunda ya mchakato wa demokrasia unavyozidi kupevuka nchini! CCM wan asema kama Nape Nnauye angegombea Ubungo, Mnyika asingeona ndani sijui kama kweli au hapana! Wacheni ubaguzi ....nyie wanaharakati..!:smile-big:
Ushindi kwa chama chochote cha ushindani ni kitu cha kujivunia mimi ninajivunia ushindi wote wa ushindani kwa hiyo wote tupongezane kwa hilo. Cha maana ni lazima vyama vyote hivyo vifanye kazi pamoja bungeni na wasikubali kugawanywa.
 
Back
Top Bottom