Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.
Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.
Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
Zaidi soma > News Alert: - Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao