Wewe kama bado una muda wa kuisikiliza radio hiyo usituletee ulichosikia humu forum kwani wengine hatusikilizi radio hiyo na wala hatuhitaji kusikia wanafanya nini sawa mkuu!
zamani hata ukikutwa na bendera ilikuwa kesi lakini sasa hivi hata kama unamlegezo unaingia ikulu kupiga chata
POLENI WOTE MLIOPATWA NA MAFURIKO..
Huu wimbo una hadhi yake acheni kupiga piga hovyo kama jingle plse.
Ndo nashangaa, inakuwaje watumie wimbo wa taifa kuvuta attension ili wapige hela kwenye matangazo!!Kila siku nasikia unapigwa tu na mbaya hakuna attention na connections nzuri ...ukiisha tuu hapo hapo matangazo kama mwendelezo wa wimbo ambao hawaujui kabisa ipo siku wataendeleza hivo hivo....
Wakiamua kupga sijui wameruhusiwa na wenye chao sijuii bhasi iwepo connections nzuri kabla na baada ya wimbo
All in all wimbo huu upewe heshima zake
Inasikitisha kweli mambo yanabadirika kiukweli. ..Ndo nashangaa, inakuwaje watumie wimbo wa taifa kuvuta attension ili wapige hela kwenye matangazo!!
Ivi na machinga nao wakitumia zile spika zao mtaa wa kongo au barabara ya 6 Dodoma, patakalika kweli!