MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
hili la cluodsfm radio kupiga wimbo wa Taifa kila asubuhi.. hivi nani alishauri muwe mnapiga hii au ndo masharti ili chombo kiendelee kupata uhai.
wimbo huu hupigwa tu pale inapotokea dharula za kitaifa ama sherehe za kitaifa.
MNATUPA TAABU SANA...
kila siku nikiusikia nadhani kuna tukio jipya la kitaifa linatolewa taarifa kumbee ni promozenyu tu. MNABOA badilisheni huo sio wimbo wa kufanyia promo.