Je, ni sahihi Clouds FM kutumia wimbo wa Taifa katika biashara zao?

THE NEXT DON

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
307
302
Salaam wana JF!
Wimbo wa Taifa ni miongoni mwa alama zinazotumika kulitambulisha Taifa kama ilivyo kwa Bendera ya Taifa na pia Nembo ya Taifa (National Logo)
Katika usikilizaji wangu wa Radio ya Clouds FM, nimebaini kuwa wamekuwa wakitumia Wimbo wa Taifa (Mungu Ibariki Afrika) kama kiashiria cha taarifa zao za Habari.
Kufuatia mwenendo huu nimekuwa nikjiuliza mambo yafuatayo:
(i) Je ni sahihi kwa Radio ya Clouds FM kutumia wimbo wa Taifa katika biashara zao binafsi?
(ii) Je Radio nyingine pia zinaruhusiwa kutumia wimbo wa Taifa kwa kadri zitakavyoona inafaa?
(iii) Kama walipata kibali cha kutumia wimbo wa Taifa, Je ni Wizara gani iliwapatia?
(iv) Na endapo tutaruhusu matumizi ya Alama hizi za Taifa katika biashara za Watu binafsi, je hakuna uwezekano wa kufifisha umuhimu wake?
Nawasilisha kwa ufafanuzi na majibu kwa walio na ufahamu mpana katika suala hili.
 
Kawaulize
 
Sidhan kama kuna tatizo kutumia wimbo wa taifa. Je wangetumia wimbo wa taifa la India stori ingekua ingekua ingine.
 
Salaam wana JF!
Wimbo wa Taifa ni miongoni mwa alama zinazotumika kulitambulisha Taifa kama ilivyo kwa Bendera ya Taifa na pia Nembo ya Taifa (National Logo)
Katika usikilizaji wangu wa Radio ya Clouds FM, nimebaini kuwa wamekuwa wakitumia Wimbo wa Taifa (Mungu Ibariki Afrika) kama kiashiria cha taarifa zao za Habari.
Kufuatia mwenendo huu nimekuwa nikjiuliza mambo yafuatayo:
(i) Je ni sahihi kwa Radio ya Clouds FM kutumia wimbo wa Taifa katika biashara zao binafsi?
(ii) Je Radio nyingine pia zinaruhusiwa kutumia wimbo wa Taifa kwa kadri zitakavyoona inafaa?
(iii) Kama walipata kibali cha kutumia wimbo wa Taifa, Je ni Wizara gani iliwapatia?
(iv) Na endapo tutaruhusu matumizi ya Alama hizi za Taifa katika biashara za Watu binafsi, je hakuna uwezekano wa kufifisha umuhimu wake?
Nawasilisha kwa ufafanuzi na majibu kwa walio na ufahamu mpana katika suala hili.
Kwa hiyo hata wewe au mtu mwingine yeyote asivae T-shirt au kofia zenye rangi ya bendera ya Taifa?
 
Back
Top Bottom