Sijui version yetu ya FCC iko wapi, na nini kinaweza kutangazwa hewani na nini hakiwezi.Hapo katika ku expose hii issue kuna mabaradhuli wengine wanapata ideas, kuna wengine wataiona kama Clouds FM walikuwa wanaifanya hii situation kuwa worse, kama kuna watu sadist waliokuwa wanapata satisfaction out of this, at least there can be argued to appear the possibility of this, which cannot be allowed, not even the appearance kwamba sadists watafurahia kufanya hii interview.
My point is, there has got to be a way to expose these ills with dignity and privacy.Sikuona hii Clouds FM. Hao watangazaji wenyewe wana come across kama hawa appreciate the depth and gravity of this situation. Hivi Tanzania hakuna mtoto siku hizi?
Sijui kama ndiyo mambo ya kibongo bongo yanavyokwenda lakini firstly it is very disheartening and secondarily it is rather dehumanizing, instead of helping the victim, the whole circus ends up raping the victim once again.There has got to be a better way.
Mi wala sijaelewa naona mnaongea kichina china, wamebakwa na nani wazazi wanajua?, polisi walimuachaje mbakaji, kulikuwa na maelewano yoyote baina ya wazazi na mbakaji na polisi?
Hiyo link haifanyi kazi leo. au hii PC imeathiriwa na mitikisiko ya mabomu ya Mbagala maana nipo karibu na hapo.
Jamani mi nashindwa kufungua hiyo link, pengine haifanyi kazi leo. please can someone help out and give a summary. Please and please.
Edison,hii inatisha sana.
kuna upungufu wa malezi miongoni mwa wazazi
tangu mwezi wa nne na mwingine mwezi wa kwanza, wazazi hawajagundua!!!!!
sasa hii inatisha sana
Infact hata kuwafanya watoto waongee yote yale Cloud FM ilibidi wasi rushe yote. Hata majina na wazazi wao ilibidi wasitaje. Yale maneno yalikuwa yawe ya mahakamani. Watoto wale watukua na kuwa traumatized maisha yao yote.Nasikia watoto waliofanyiwa unyama walitajwa najina, madarasa wanayosoma na majina ya wazazi wao sasa wamekuwa kituko na wanazomewa madarasani na shule wameacha kwenda. sheria ya vyombo vy ahabari inarushusu hilo?