Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,171
- 3,359
Wanamichezo hasa mpira wa miguu, kuna huyu mtangazaji wa Clouds FM hasa katika kipindi cha michezo (hili game & sports extra) wakuitwa Masta Tindwa huwa analeta ubishani, kelele, ujuaji usio na maana kabisa katika kipindi. Anapapara nyingi sana, muda mwingine anaongea vitu havieleweki.
Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.
Kitengo cha michezo Clouds FM Usajili wa Masta Tindwa umefeli.