umeona enh!sasa wengine pichu ni za vikamba tu na wengine ndo yale makaptura,sa tukianika nje si ndo mambo ya aibu haya!u wengine ndo zile ennzi zetu wavulana walikuwa wanatuwekea vioo kwa chini af wanakusogelea afa wanavunjika mbavu!ahahahhahhaha akha babu!mambo mengine kujitafutia aibu tu kwenye foleni za maji!ahahahhaahahhahahhaha
Mkuu isije kuwa unavaa pampers...tehe tehe teheeeMie sianikicoz natumia disposable
kumbe na wewe chupi za VIP ulivaa enzi zile?
dah hii nchi tumetoka mbali lol
mi natafuta za TAIWAN bana!dahjaamani kama kuna mtu analifahamu duka linalouza chupi aina ya VIP aniambie, ninazitafuta kwa udi na uvumba!
please! please jaamani!
jaamani kama kuna mtu analifahamu duka linalouza chupi aina ya VIP, aniambie, nazitafuta vibaya mno, nimezunguka kariakoo nzima nimekosa! please! please! jaaamani msaada tafadhari!
Mashine za kukausha nguo zina kazi gani?