Chupi yako unaanika wapi.................?

Mie mwenzenu nina ugonjwa wa ENZIMA, sasa jinsi nilivojaaliwa hizi kufuli kwanza zaninyima raha!, Pili ndo huo ugonjwa nawashwa kweli kwenye kona za kufuli na kuchubuka! Hivo DR. wa ngozi Muhimbili amenipa go ahead nisiwenavaaa! Na ikibidi nivae G-STRINGS nikienda sehemu za maana Hizo G-Sring nilikuwa naanikaga njeeee kweupe tena kwa kuninginiza na vibanio viwili! Na hapa napoishi wote mabachelor! afu peke yangu ndo mdada, ikaanza tabia sikuipenda! Nikianika G-String zangu nakuta wamebebanisha MIBOXER yao juu wkt kamba iliobaki nyeupeee. Mijitu mingine bwana!!!!!!!
 
hapo wanakuwa wanakubaashia!kha hili neno sijalisikia siku nyingi hivi lipo!?kiswahili kimebadilika kweli
 
You meant ECZEMA??
 
You meant ECZEMA??

DR. na wewe na wewe embu nitue mie! Mwenyewe unajua fika kuwa hilo neno la kigiriki sijui kilatini? Sasa mi ntawezaje kuitamka acha kuspell correctly! Dalili zake ni vipele vidovidogo kwenye ngozi hasa sehemu zenye miunganiko kama mapajani! na vinawasha sana. U got my point. Wapiiiiii MUSCA DOMESTICA!, PERIPLANETA AMERICANA!, LOXODANTA AFRICANUS, ZEA MAISE, japo biology nilidoji sana!
 
mnaanikaje chupi nje jamani...chupi,soksi pamoja na taulo vinaanikwa bafuni tena unafunga taa maalum kwa ajili ya kukausha na kuua bacteria

hiyo kali, tuwekee picha ya hiyo taa. mi boxers zangu naanika juani kwenye kamba
 
wewe unafikir kila mtu ana bafu lake rafiki yangu?wengine tunashare mabafu na vyoo hivo oh!

Basi ianikwe hata chumbani mahali penye mwanga wa kutosha...unajua kuanika kufuli nje ndio mwanzo wa kukuta kunguru wamelibeba
 
DR. na wewe na wewe embu nitue mie! Mwenyewe unajua fika kuwa hilo neno la kigiriki sijui kilatini? Sasa mi ntawezaje kuitamka acha kuspell correctly! Dalili zake ni vipele vidovidogo kwenye ngozi hasa sehemu zenye miunganiko kama mapajani! na vinawasha sana. U got my point. Wapiiiiii MUSCA DOMESTICA!, PERIPLANETA AMERICANA!, LOXODANTA AFRICANUS, ZEA MAISE, japo biology nilidoji sana!
I was just making sure that nilichoelewa ndicho ulichomaanisha, thats all, sorry kama nimekukwaza!!
 
hapo wanakuwa wanakubaashia!kha hili neno sijalisikia siku nyingi hivi lipo!?kiswahili kimebadilika kweli

Sikuhizi wanaita kudungaaa! Wananiboaje sasa! With the exception ya mpangaji mmoja huyo boxer zake nyeupeeeeee! nikikuta kabebanisha simkoromei wala nini, ila namtegaga sianui G-STRING yangu si inakuwa chini ya boxer! Basi akirudi saa nne anagonga jirani umesahau nguo zako hizi! Nimekuanulia, ananikabidhi! Hapo maza mwenye nyumba katoa machooo almanusura kunindikia NOTICE!
 
Mi ninazo kama thelathini hivi, navaa zikifika 15 zimechafuka nafua na kuanika hizo 15 zote nje kwenye kamba,then zikifika 15 tena kama kawa,kama una muda wa kuzishangaa nikianika kwenye kamba sawa we endelea ila ziko 30,hauwezi kuzijua zote na hata ukiziona kwenye kamba kesho nikitoka hauwezi kujua nimevaa ipi, ni mke wangu tu anayeweza kujua hivyo unabaki kuwa kama haujaona tu!
 
una fungus kilo ngapi aisee? Manake chupi, soksi na taulo ni mitambo ya kuzalisha fungus! Na kila siku unapaswa kutumia taulo safi, sidhani kama unaweza. Hiyo ya taa za maabara za kuulia bacteria is too theoritical

sio theoretical ndugu ulimwengu mkubwa zunguka uone teknolojia...ushawahi jiuliza zile nchi za baridi kali inayoambatana na snow huwa wanakausha vipi nguo
 
I was just making sure that nilichoelewa ndicho ulichomaanisha, thats all, sorry kama nimekukwaza!!

Hujanikwaza DR. Hata ukinikwaa 5yrs of med school+1 yr for intern unaweza sema chochote nisikwazike atiiiiii! Sema tu hapo juu umenusurika KUNIAIBISHA!!!!LOL!
 
Back
Top Bottom