Jirani yangu anapenda kuanika chupi zake karibu na chumba changu

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,570
12,668
Wakuu, sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu.
Imekuwa ni mazoea sasa, kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba. Wale mtakaotaka picha ya hizo chupi, nimeiambatanisha hapo chini.

Asanten
 
Attachments

  • 20201213_083025.jpg
    20201213_083025.jpg
    15.1 KB · Views: 11
We jamaa bhana...sasa kama kamba ipo karibu na dirishani kwako ulitaka akaanikie juu ya Bati eboo...

Mi nafikiri cha msingi hapo ni wewe kushukuru sana maana vyupi vyenyewe vinavutia Yani ni visafi havina ukoko so unaeza piga navyo picha
 
Mwambie jirani yako kuwa anajua kuchagua chupi nzuri......(iwapo tu si mke wa mtu)
 
We jamaa bhana...sasa kama kamba ipo karibu na dirishani kwako ulitaka akaanikie juu ya Bati eboo...

Mi nafikiri cha msingi hapo ni wewe kushukuru sana maana vyupi vyenyewe vinavutia Yani ni visafi havina ukoko so unaeza piga navyo picha
Yenye ukoko ndio yenye apatite. Hizo safi hata sokoni zipo tunaweza kununua
 
Hamisha kamba ukaifunge karibu na dirishani kwake halafu na wewe unakuwa unaanika boksa zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom