Chupi yako unaanika wapi.................?

Afu muache sanaa. Wanaopiga pasi chupi hapa kiukweli kiroho safi ni wangapi? Preta, zile tong za lacy unazipasi??
Mbado kuona!
 
Last edited by a moderator:
Sehemu nzuri ya kuanika pichu ni kwenye kamba juani ili ikauke vizuri. Kama yupo kwenye nyumba ya kupanga nadhani haileti picha nzuri kuziacha wazi bali anaweza kuzifunika juu kwa kutumia kanga nyepesi na kuzibana vizuri na kibanio. Si vizuri nguo za ndani kuonekana ovyo ingawa ni muhimu zikauke vizuri kuepuka magonjwa.
 
umeona enh!sasa wengine pichu ni za vikamba tu na wengine ndo yale makaptura,sa tukianika nje si ndo mambo ya aibu haya!u wengine ndo zile ennzi zetu wavulana walikuwa wanatuwekea vioo kwa chini af wanakusogelea afa wanavunjika mbavu!ahahahhahhaha akha babu!mambo mengine kujitafutia aibu tu kwenye foleni za maji!ahahahhaahahhahahhaha

kumbe na wewe chupi za VIP ulivaa enzi zile?
dah hii nchi tumetoka mbali lol
 
mkuu, chupi inaanikwa nje tena juani. Kama chupi yako ni nyavu halafu Atlas basi ianikie ndani.
 
jaamani kama kuna mtu analifahamu duka linalouza chupi aina ya VIP aniambie, ninazitafuta kwa udi na uvumba!
please! please jaamani!
 
kumbe na wewe chupi za VIP ulivaa enzi zile?
dah hii nchi tumetoka mbali lol

aahahahaahhaahahhaha sasa zile ukute umezivaa af unaendesha baiskeli uuuuuuwih!tumetoka mbali bana eti siku hivi sijui kuna lacy,sijui G string,siye tulikuwa na chupi za Taiwan!ukiwa huna hiyo unajionaje sio kha!aahahhahahhahahhahahhahahah
 
jaamani kama kuna mtu analifahamu duka linalouza chupi aina ya VIP, aniambie, nazitafuta vibaya mno, nimezunguka kariakoo nzima nimekosa! please! please! jaaamani msaada tafadhari!
 
jaamani kama kuna mtu analifahamu duka linalouza chupi aina ya VIP, aniambie, nazitafuta vibaya mno, nimezunguka kariakoo nzima nimekosa! please! please! jaaamani msaada tafadhari!

mkuu itabidi tujipange twende wote siku moja mi mwenyewe nazitafuta nataka VIP kama mbili hivi na za Taiwan za rangi tofauti nataka nyeusi,nyekundu,na ya blue!ahahhahahhahhahahhaha jamani jamani TZ tumetoka mbali jamani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom