Chupi yako unaanika wapi.................?

Utakua malaya, na utakua huvai chupi. Sasa kama huvai utakua unavua nini?
anavua upepo!! Anavaa chupi aina ya hewa !! Hii hata ukimchungulia huoni papuchi waLa huoni chupi.

Zaidi utapata vurugu ya maono tu!! Utaanza oooh!! Yule siyo binadamu!!!

Hana papuchi!!!
Dunia iko kivingine sana dogo uliza uambiwe!!!
 
Kwny kamba ili ipate hewa na kuua vijidudu, ikikauka nenda kainyooshe
pole mwenzangu chupi ina vidudu??? Chawa au viroboto??

Poleni kumbe watu mnatembea mlishaoza zamaniii!!!
Uswahilini kuna mambo!!! Kua uyaone..
 
pole mwenzangu chupi ina vidudu??? Chawa au viroboto??

Poleni kumbe watu mnatembea mlishaoza zamaniii!!!
Uswahilini kuna mambo!!! Kua uyaone..
Ukiifua yale maji yanaweza kua na vimelea
 
Ukiifua yale maji yanaweza kua na vimelea
Jamani tuna wagonjwa humu!!

shahawa unazotoa usingizini siyo vimelea vile!! Ni watoto wako wale!! Ukimuazima Dem pichu hii bila kuifua anapata mimba faster.

Abortion ya kiume ni kuua hao watoto eti mnasingizia ni vimelea. Sasa weye ungeitwa kimelea wkt u mchanga km shahawa ungekubali...????

Msisahau!! kiunoni ndiko mlikotoka wkt madingi zenu wanavaa pichu zenye ukoko pale kazini kwao feri!!!!

Muda wa kufua hana.... anasubiri boat za wavuvi!!!

akianika tu si yake tena hiyo.!!atatembea kimnining'inizo weee! Mpaka basi!.akitembea jengere zinagonga kushoto kulia*7. Ukiwashwa ki hivi uba maatizo kiafya!!
 
nadhani haukunielewa, nimesema yale maji unayotumia kufulia na kusuuzia nguo yanaweza kuwa na vimelea vya wadudu,sio kwamba vile vinavyotoka kwenye mwili ndo vijidudu vya magonjwa.
mfano kuna magonjwa yanaambukizwa kwa njia ya maji, kwahiyo maji yanakuwa kama medium.
 
Nashangaaga sana watu hasa wanawake wanafua vyupi halafu wanaanika kwenye dirisha ndani au uvunguni mwa kitanda kwenye chaga au sehemu nyingine ambazo sio sahihi.

Fua chupi anika nje kwenye jua ikauke vizuri sijui mnaficha ficha nini.
 
Kama una nyumba yako anika bafuni na uwe na chupi za kutosha ili zikauke vizuri kisha piga pasi . Nguo ya ndani ina usiri wake . Kama umepanga anika chumani . Kuna mama mnene sana alianika nguo yake ya ndani nje , kibaka akaiba akifikiria ni jacketi .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Back
Top Bottom