Sajunne
Senior Member
- Jul 19, 2011
- 104
- 58
mada hii sio uongo wala utani, chumba kinapangishwa kipo ndani ya fensi kina hadhi ya kuitwa chumba pia kina geti la griri mlango wa kuingilia. gharama yake kwa mwezi ni bei ndogo sana na mtanzania mwenye kipato kidogo anaweza kupangishwa. na ni maeneo ya MBEZI BEACH ukishuka kituo cha makonde sio mbali kutoka pale.Kwa maelezo zaidi fika banda beach shopping centre, au 0717231333