cHONDE cHONDE ULEVI NI NOMA

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
Sikuyaamin macho yangu nlipomkuta kijana mdogo sana amelewa chakar asbuh kweupe ,hajitambui kabisa hana zile nguo muhimu makalio nje nje so nilistuka kidogo sababu ilikuwa ni mtaan mixer mtaan watu wamefurika ileile....jaman hv pOMBE HADI LINI....?
 
Raha ya pombe kulewa....na huyo alipo hapo haachi ng'oooo hata wangemfanya kitu mbaya
Ulevi wa pombe ni km wa JF
 
haach......labda kama hana mshipa wa aibu.
 
Mwingine alilewa akashindwa kurudi kwake na kuamua kulala njiani, ajabu asubuhi alikutwa amekubatia gogo(kipande cha mti ulioangushwa) akidhani ni mama ya watoto yake...
 
inakuwaje mtu unashindwa kujua unalewa kiasi gan had unalewa mno au ndo bURE HZO.....!!!
 
kushney...walishachezea kitaaambo!
...pombe inawenyewe bhana...vijana wanaiga tuu!acha wachezee moto sasa!
"drink responsibly"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom